EL NINO📢 (@nyema_) header
EL NINO📢 (@nyema_) profile picture
Iringa, Tanzania
Joined February 2016
MWANAUME Usimtengenezee mazingira mwanamke akahisi anakuweza
23
Hukumu ya LISSU Leo, itukumbushe maskini wote, hatuwezi kupambana na wenye mamlaka. Si mnaona mpo mitandaoni Tu mnaishia kulialia Tu na hamna uwezo wakufanya lolote Tuendelee kuziheshimu mamlaka, hayo mengine Mungu atatupambania.
59
Akutwa na hatia ya kosa la uchochezi hukumu kifungo cha miaka 4 gerezani Lakini Lissu anaweza kukata rufaa?
29
Huwa mnanifurahisha Sana Raia mnavyolialia Kwa mambo msioweza kuyabadilisha Watu walishauawa hamna kitu mtakacho badili
29
Mnanifurahisha Sana jinsi mnavyolalamika humu mitandaoni (X) na kulialia Alafu hamna kitu chochote kitatokea
23
Kama hujui kwanini upo duniani basi wewe ni mtu mjinga sana duniani
39
Kwanini maraisi waliokuwa waislamu hapa Tz ndio wanapenda sana kuziingiza familia zao serikalini?🤔
31
Usanii ni uhuni
This post is from an account that no longer exists. Learn more
47
Tofauti ni ipi kaka ya router na pocket WiFi ukiachilia mbali gharama ya vifaa?
Vodacom wanazo huduma mbili ambazo ni muhimu sana kuwa nazo: 1. Vifurushi vya intaneti bila kikomo ambavyo vinaanzia tshs 60k (uwe na router au pocket wi-fi). 2. Vifurushi vya intaneti na dakika kuanzia tshs 15k kwa mwezi mzima, hapa ni simu yako tu. Hakikisha hukosi hizi 🫵. nitter.cf/faraja_zungu/status/21…
35
Hii wiki naona ni ya 3 3 tu arsenal man u 😁
25
Vp wameona?? 🤣🤣🤣
Leo Vipofu wataona na viziwi watasikia hapo mjini Brighton
27
Arsenal kama Chelsea 😂
14
Na chuki pia
"Mbona huko nyuma hamsemi" huyu sheikhe 🙌 Nb:unasimesha mtoto kwa ada ya 2.9m mpaka 3m lakini hutaki kutoa 6k ya ada chuo cha mtoto
1
35