It’s a season of looking nice and smelling fresh all day everyday, thanks to @zeesoftfabricsoftener 🔥🔥🔥. Kesho fika mapema Greenspan Mall tukuibie siri ya kunukia vizuri kwa hisani ya Zee Soft.
#Zeesoft #TheMagicTouch #KituoChaWakenya #OneLoveTour
195
Hey mbogi ya GreenSpan Mall!
Kesho tuko area na @zeesoftfabricsoftener kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nane mchana. Zawadi zitakuwa kwa wingi na discount za Zee Soft kama kawa lazima. Queen @mwendemacharia pia atakuwepo. Usikose aisee!!!
#Zeesoft #TheMagicTouch #KituoChaWakenya
2
336
#UbashiriWaLion:Crystal palace vs Real sociedad ..over 1.5 na wote tunabaki tukila whooolemeal.
#ZilizovumaThursday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
2
339
Experience ni international ya MbusiiNaLion ndani ya Temple ya Warasta, twende nalo Hadi saa jamo 👊🏻.
Uko area code gani?
#ZilizovumaThursday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
2
3
598
James Karinga: Sio lazima uwe mwanachama wa Benki ya NCBA ili uweze kupata huduma zetu ,bora uwe na miaka kumi na minane na uwe na kitambulisho. Tunajali kila Mkenya ,hatuangalii uko hadhi gani kimaisha.
#ZilizovumaThursday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
194
Kesho kambi tunaipiga pale GreenSpan Mall na #TheMagicTouch courtesy of #ZeeSoft 🔥🔥🔥. Make sure umekam through because Queen @mwendemacharia atakuwa kwa #Santa mode, zawadi na discount zitakuwa kibao!!! Don’t miss on this one!
#TheMagicTouch #OneLoveTour #KituoChaWakenya
We had a chat with Hon. Syombua Kioko, aspiring Women Rep for Machakos County
#Ilikuwaje
#JamboMassawe
#KituochaWakenya
183
Syombua Kioko: Je, ni vipi sisi wanawake tutakuja pamoja tuweze kusuluhisha mambo ambayo tunayo?
#Ilikuwaje
#JamboMassawe
#KituoChaWakenya
2
450
Kama unataka kuanzisha biashara yako, kuipanua, au kuajiri wafanyakazi na hauna pesa, NCBA Bank wanakupatia hiyo pesa, na unaanzisha biashara yako na kubuni nafasi za kazi kwa wengine pia.
#ZilizovumaThursday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
Kwa nini wanaume wengine huacha majukumu ya watoto wao pindi tu wanapoachana na mama mtoto?
#DeadBeat
#JamboMassawe
#KituoChaWakenya
208
Ni jambo gani wazazi wako walikufanyia ambalo mpaka leo huwezi kuwasamehe?
#BustaniLaMassawe
#JamboMassawe
#KituoChaWakenya
Ni timu gani kati ya hizi haitaepuka relegation this season liwe liwalo?
1. Sunderland A.F.C. (18)
2. Manchester United (19)
3. Crystal Palace (20)
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
226
Jamaa akosana na mpoa baada ya mpoa wake kutongozwa na shemejo yake.
#Patanisho #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Ikulu imeomba bilioni ksh8.427 kwa mwaka wa fedha wa 2027/2028 ili kugharamia ukarabati, ununuzi wa samani za ofisi, uboreshaji wa vifaa vya mawasiliano na kusaidia kwa other operations.
What’s your take? Wapewe?
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
SI MIMI - Mbunge Peter Salasya akana madai kwamba aliiba simu ya mbunge mwingine.
Kwa nini mshuku Salasya lakini? 😂😂😂
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
222
Je, unamchunguza ule unayemchagua kuwa kiongozi ama unampigia kura tu?
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
289
#UbashiriWaLion: Champions league night.. Atletico Madrid vs Viking ... Atletico Madrid Kichwa.. Sporting cp vs Manchester United... Manchester United kichwa na wote tubaki tukila whooolmeal.
#GaldemWednesday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
1
11
1,210
#ToboaSiri: Nilipata mke wangu na wanaume watatu kwa bedroom yangu.
#GaldemWednesday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya
Greetings in the name of the most high Jah ,unazidi kusikiliza Temple ya Warasta ukiwa area gani ?
#GaldemWednesday
#MbusiiNaLionTeketeke
#KituoChaWakenya







