Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven) header
Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven) profile picture

Strategic Communicator & Journalist | Diplomacy & Public Affairs | Agriculture Advocate | Responsible Citizen | Chelsea & Yanga

Mbweni, Kiharaka, Bagamoyo
Joined January 2026
Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)Photo by Richard Steven Itembe - Ricky (@richard__steven)
“Usimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu, ishi nae kwanza ujionee, yote ni kwa sababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti - “ BWM
4
1
4
863
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Mtoto na mke hawapostiwi asee, watu hawana adabu😂
Very private about my child.
7
8
2
78
6,486
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Learn to disappoint women’s kwenye emergency zao tunza hela yako Kijana
37
180
15
830
26,737
Nisogee open beach na viporo vyangu nikalale siku iishe
3
64
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Kheri ya Dominika ya mwisho ya mwaka A. Dominika ya Kristo Mfalme. Yesu ndio Mfalme atawala duniani na mbinguni.
3
9
80
1,168
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Maafisa Wanafunzi wakivalishana vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 21 Novemba, 2026.
4
6
555
Gen Z hakuna kitu utawaeleza sio hata Gen z Kuku Wao ni Vayolensi kila sehemu
The kinda attitude and confidence I want
36
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Dear RC Don’t plan to miss tomorrow’s Mass for the Feast of Christ the King. Good songs 🔥
2
1
14
486
I know nobody asked guys but my beautiful lady is looking ridiculously gorgeous tonight Kamependeza mnoo 🙌
25
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maafisa Wanafunzi kundi la 07/23- Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25- Regular kwenye uwanja wa Gwaride wa JJ Mkunda katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 21 Novemba, 2026.
10
14
1,390
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
MAAFISA KUTOKA NCHI 9 ZA AFRIKA WAHITIMU TMA MONDULI, WAPO MARUBANI, MADAKTARI BINGWA, WAHANDISI Maafisa wanafunzi kutoka nchi tisa za Afrika wamehitimu mafunzo ya kijeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, wakiwa na taaluma mbalimbali zikiwemo marubani, madaktari bingwa, wahandisi, walimu na wataalamu wa uchumi. Akizungumza katika hafla ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa Kundi la 07/23 la Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25-Regular, Mkuu wa chuo hicho, Meja Jenerali Jairos Mwaseba, amesema wahitimu hao wanatoka mataifa mbalimbali yakiwemo Afrika Kusini, Burundi, Ethiopia, Kenya, Msumbiji, Namibia, Rwanda, Uganda na Zambia. Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi, Novemba 21, 2026, katika chuo hicho ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewatunuku Kamisheni hizo, ikiwa pia ni mahafali ya saba ya kijeshi ya Kundi la 07/23. Meja Jenerali Mwaseba amesema, maafisa wa Kundi la 07/23 wamepata mafunzo kwa miaka mitatu, huku Kundi la 73/25-Regular wakipata mafunzo kwa mwaka mmoja, yakilenga kuwajengea uwezo wa uongozi, mbinu za kijeshi, kufanya maamuzi na kushirikiana katika kutekeleza majukumu katika mazingira yenye changamoto mbalimbali. Amesisitiza umuhimu wa uwekezaji katika miundombinu, vifaa na teknolojia, akieleza kuwa ni sehemu muhimu ya kujenga maafisa wenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za kisasa na zijazo. Aidha, Mkuu huyo wa chuo ametoa shukrani kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi, Dkt. Rhimo Nyansaho, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda, pamoja na bodi ya wasimamizi wa chuo chini ya mwenyekiti wake, Jenerali Samwel Othman, huku akiahidi kuendelea kuboresha mitaala, mbinu za ufundishaji na tathmini ya mafunzo.
1
10
23
2,053
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Sema tunachukuliana poa sana humu ndani... Anyway acha tuendelee iko siku tutazipanga..
12
12
2
85
3,007
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Tanzania na ICAO zinaimarisha ushirikiano kuendeleza mafunzo na kujenga uwezo wa wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga. Mazungumzo jijini Montréal, Canada, yamelenga kuoanisha mafunzo na mahitaji ya sekta na kuimarisha uwezo wa kitaalamu nchini. #UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
1
9
10
180
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
1
91
1
1,335
13,213
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Katika kujiandaa na ukaguzi wa ICAO wa USOAP CMA unaotarajiwa Aprili 2027, @officialtcaa inaendelea kuimarisha uwezo wa watumishi na wadau wa sekta ya usafiri wa anga. Ushirikiano na ICAO unalenga kuongeza ufanisi katika usimamizi wa usalama wa anga nchini. #UsafiriWaAnga |
9
9
130
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Make Sure🫵🏾😌".
3
54
918
14,351
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
TCAA na ICAO zinapanga kuimarisha utoaji wa mafunzo kupitia Kituo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC), ikiwemo kuwaandaa wakufunzi wa ndani. Hatua hii itaongeza uwezo wa kutoa mafunzo maalumu nchini na kukuza utaalamu katika sekta ya #UsafiriWaAnga #TCAATanzania
1
9
1
10
258
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Tanzania na ICAO zinaimarisha ushirikiano kuendeleza mafunzo na kujenga uwezo wa wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga. Mazungumzo jijini Montréal, Canada, yamelenga kuoanisha mafunzo na mahitaji ya sekta na kuimarisha uwezo wa kitaalamu nchini. #UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
1
12
14
300
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Replying to @officialtcaa
@officialtcaa na ICAO zinapanga kuimarisha utoaji mafunzo kupitia Kituo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC), ikiwemo kuwaandaa wakufunzi wa ndani. Hatua hii itaongeza uwezo wa kutoa mafunzo maalumu nchini & kukuza utaalamu katika usafiri wa anga. #UsafiriWaAnga #TCAATanzania
2
18
1
15
511