Asemeje wakati kesho anajua ana msiba
15
USIMSAHAU MCHIZI retweeted
#TajiriLaKihaya
Ndio Tunamaliza kuona Man Utd wanavyofirimbwa Hapa Marriot Hotel…
Kipa namba moja na mbili wa Orlando Pirates… SIPHO CHAIN na SIYABONGA DLADLA…
Wamenihakikishia CLEANSHEET hapo Kesho…
Hela nilikuwa nayo me siwezi peleka hela yangu kwenye nyumba ya ibada wakati road Kuna omba omba shazi
Replying to @1Cypher0
Sema hukuwa na sadaka afu kila ukiona watu mikononi wana pesa ndogo 2000 na kwenu ushazoea kelele za coin😂😂😂🙌🏿🙌🏿
20
Niliwahi kwenda kanisa katoriki nikawa nasikia siku ya kapu la mama kushangaa wanatoa kasanamu kwa bikra maria et wanaanza kukaabudu nilitoka nje sijawahi kurudi tena.
2
58
USIMSAHAU MCHIZI retweeted
Baba Nyonzo wa Berega, Morogoro nawatakia klabu ya Brentford matokeo yoyote Chanya dhidi ya Man Utd leo.
😂😂😂
46























