Joe retweeted
Kwa hii dunia fanya kila kitu u escape poverty bana nishai enda kutembelea morio wangu nikapata anakula puncake na skuma kumuuliza why akaniambia hakua na doh ya ku buy unga ya ugali hio saa man ikabidi ametumia unga ya chapo daily najituma nisikue in the same situation
Hii handwriting ukikaa chini vizuri na maji kwa glass na utulie without thinking too much, utajua ni ya nani 😂😂😂
Replying to @Tutu_lips_
The other day you were here defending Rubison ju mnadinyana, leo uko hapa trying to defend Andeka ju anakukula pia,respect yourself guok
Joe retweeted
"Karibu mwanangu, nimekusameheee...karibu mwanangu nimekusamehe"
#KBCniYetu ^EB
Shock on you, she has an extra pair of the keys to my place. She comes in every Saturday when I'm at work, does thorough cleaning, changes my bedding sheets, arrange everything in the house and leaves after making some good food. She goes back home with a packet of Unga, a Kilogram of sugar and 1,500 shillings inside her pockets.
Kuna msichana ametupa takataka hapa alafu akaingia kwa mat, karibu nipande nduthi nimfuate mbio nimzabe bare lakini wacha tu nichoree ndio wasianze hizo GBV month awareness tena. I hate these people who litter carelessly. Hao ndio wanaharibu drainage systems hii town.
















