Leadership is about results. Babu ana track record ya kuonyesha!
He promises to fix the roads as he empowers ther youths
Hii ndio siasa ya wananchi! Babu Owino leo yuko Mathare, akikutana na wananchi na kuimarisha uhusiano wa moja kwa moja na watu wa mashinani.
NAIROBI NI BABU KWA SABABU!
BABU IN MATHARE!
Mtaa kwa mtaa, eneo kwa eneo. Mazungumzo ya Nairobi mpya yanaendelea. Wananchi lazima wawe sehemu ya maamuzi yanayohusu maisha yao.
BABU IN MATHARE! 🔥
Mathare imewaka! Wananchi wamejitokeza kumpokea mwana wao. Huu ndio uhusiano wa kweli kati ya kiongozi na wananchi.
Babu kwa Sababu!


















