Masharikan 馃寧 (@Adambrv) header
Masharikan 馃寧 (@Adambrv) profile picture

Masharikan/Istafrikan | Hoja dume tu | Tracking East African issues | DM for credit or media removal

East Africa
Joined June 2012
Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)
Tanzania 馃嚬馃嚳 Tunaendekeza sana siasa badala ya mambo ya msingi. Hapa ni uwanja wa New Amaan Complex - Unguja Kuweka SMZ hapo ni 'upuuzi kibiashara'. Ilitakiwa iwe ZANZIBAR. Ndio brand mama. Na ingeuzika kimkakati No visitor/tourist cares about SMZ. They know ZANZIBAR only!
1
2
1
17
1,835
Zanzibar ni komavu Imesikiliza kuwa kutokuweka ZANZIBAR pale uwanja wa Amaan ni kutotumia FURSA YA KIDUNIA KIBIASHARA. Mpira wetu waonekana dunia nzima sasa! Wamesikiliza! Wanafanya hivyo Fumba Stadium! Dunia, jiandae kuona ZANZIBAR masaa 24/7 kuanzia AFCON2027! SAFI SANA!
Tanzania 馃嚬馃嚳 Tunaendekeza sana siasa badala ya mambo ya msingi. Hapa ni uwanja wa New Amaan Complex - Unguja Kuweka SMZ hapo ni 'upuuzi kibiashara'. Ilitakiwa iwe ZANZIBAR. Ndio brand mama. Na ingeuzika kimkakati No visitor/tourist cares about SMZ. They know ZANZIBAR only!
1
570
Chuma hiki hapa! Dabi ya Kariakoo alikua na jezi yake spesho/maalum Simba ndani Yanga ndani Wala hakuwa na muda 'ku-influence' usajili, uendeshaji timu hizi au matokeo ya ndani ya ligi. Ila kimataifa alikua mkali kweli kwa NT
3
489
Tanzania Yani tulipofika utumishi uliotukuka na uzalendo kwa Taifa ni kuwa mbunifu wa visingizio na maneno maneno mengiii ya kipumbavu kuficha uzembe, rushwa, kutowajibika, wizi nk. masaa 24/7! Yani wanaofanya hivyo ndio wanaodumu zaidi uongozini Halafu wao wanaona ni ujanja!
1
151
Zanzibar! Inatutoa aibu sana sasahivi Tanzania. Bila hivyo kusingekua na uwanja hata mmoja Huku Tanzania Bara, mabilioni yameliwa na MAFISI ujenzi na 'matengenezo makubwa' ya Mkapa lakini: 1 Eti 'hitilafu' 2 Viwanja bado 3 Visingizio kibao 4 PR stunts mzigo 5 Kelele mingiii
81
Mawazo Mbadala Kwa Sh Bilioni 5 jenga kiwanda cha kuchakata taka kuzalisha: 1 Umeme 2 Vifaa vya ujenzi 3 Vifaa vya plastiki/sandarusi, nk Weka: >Vituo vya kupokea/kusoti taka >Maduka ya bidhaa >Vituo vya mafunzo ya teknolojia hiyo Linganisha faida na kuwapa 'kontenti krietaz'
3
127
Dear humans, Look at the future. Do you see yourself in there? Or are you already deemed obsolete?
1
115
Elie Mpanzu October POTM Tanzania Premier League His October shenanigans below
1
1
7
507
Inafikirisha! Kwa nini Tanzania umekua hivi? Yani ujinga wa wasioweza kushindana FAIRLY uwanjani kwenye mpira tu unasababisha unaruhusu PASPOTI yako (moja kati ya zenye thamani na heshima kubwa duniani) inajisiwe hivi? Individuals behind have showed how schiupid/dumb they are
Kiungo Mohamed Damaro ametangaza uamuzi wa kuachana na uraia wa Tanzania alioupata Januari 2025, akieleza kuwa amefikia uamuzi huo kwa sababu binafsi na za kifamilia. Aidha, Damaro ametangaza kusitisha mkataba wake na klabu ya Singida Black Stars, huku akiwashukuru wote waliomuunga mkono.
3
637
What a dumb idea!! This is when schiupidity of very senior national leaders and a long list of big institutions results in utter embarrassment for a country before the whole world! All these useless brainless tactics for 5 fuckin years just to contain Simba! Bankrupt brains!
1
1
13
829
Anna Tibaijuka pleading
Replying to @AnnaTibaijuka
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
1
3
324
Januari 2023
Tundu Lissu Returns | Arejea Kurasa za mbele magazeti. Kila mmoja na mrengo wake
2
247
Februari 2022
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokutana na kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Ubelgiji.
4
392
See, usiogope sana viwanja vyenye mwinuko! Hata vibonge wanabebwa vizuri tu Valentine's Day
Hillside houses Cool! Nyumba za kwenye mteremko
7
337
POS Imagine if Pape Ousmane Sakho was patient and still at Simba...
Ladies and gentlemen, Brothers and sisters, THIS IS SIMBAAAA! #CAFCL Photos courtesy: @RabbiHume
1
8
453
Container shops
Mini Super Market? Au Mitumba Shop? #MgodiWaAdam
3
167
Why M23 exists Kagame tells
M23: Why they exist Rwandese 馃嚪馃嚰 President Paul Kagame
4
270
The Korowa people
Wajua? Watu wa Korowai Hawa wanapatikana Jimbo la Papua huko Indonesia karibu na Papua New Guinea. Ni indigenous minority wanaokadiriwa kuwa 3000 hivi. Hujenga nyumba juu kwenye miti mirefu kwa sababu mbalimbali ikiwemo usalama. Hukaa pamoja #MgodiWaAdam
1
259
October 10 ilikua super Kariakoo Derby inayofata ni lini? Nchi ipo kwenye stress sana. Au tukutane CAFCL
6
356
Niionavyo Simba Lazima pale uongozini kuna implants/agents ambao kazi yao ni kutuvuruga AT THE CORE! Walifanya kazi kubwa miaka mitano tuliyoporwa ubingwa. Yani Mnyama alikua mwenyewe AGAINST THE WHOLE FUCKIN WORLD! Kukatengenezwa kongani/clusters za timu kudili na Msimbazi
6
2
15
2,307