AdellaAM retweeted
Watu wameamua tuu kusambaza mahusiano yanayofeli kuliki yanayofanikiwa, ni jambo linafanyika kimkakati sana, lengo ni kuifanya Taasisi ya familia ionekane sio muhimu kama ilivyokua awali.
Nadhani madhara tumeanza kuyaona mdogo mdogo.
Nimependa hii interview kutoka kwa mmoja wa Feminist bobezi hapa nchini.
Eti “Ukitaka kuitwa baby, darling, hukai hata Wiki” 😁
Maelezo yako yamenikumbusha juu ya Mitazamo ya Wenza wanao achana haraka without even trying. Wengi hushindwa kutambua, Mwenza ulienae ni Mume/Mke bora zaidi ya wote unaoweza kuwa nao na hakuna jipya huko nje. Ila sababu tunaishi ulimwengu wa kuaminishwa ndoa si mhimu/lazima, kuna wakati unaweza kufanya maamuzi ya kuondoka kwa mambo yanayovumilika na mapungufu ya Kibinadamu.
Nimebahatika kuonana na watu wanaojutia kuondoka. Na kuna wale wengine ambao kweli Mwenza alikuwa so Toxic, asingeondoka angepoteza hata Maisha. Na nimeshuhudia watu wakipoteza maisha sababu tu wanaogopa kuondoka na Mwenza aka move on.
Whatever the case, mie nasihi kutokuwa wepesi sana kuona kwamba kuachana ndo njia bora. Ni kheri hata kukubaliana mkatengana kwanza kwa mwaka au hata miwili kabla ya kuamua kuachana kimoja ili kupima kama ni uamuzi sahihi.
AdellaAM retweeted
Karibuni kununua vitabu vyangu vioya kwa watoto wanaojifunza kiingereza. Ni vifupi naamini vimejaa ucheshi na mvuto wa kumshawishi mtoto kupendsa kusoma
AdellaAM retweeted
𝐐𝐮𝐢𝐳 𝐀𝐥𝐞𝐫𝐭‼️
Which team is going to win tonight at the #AFCON2024 SEMI-FINALS? 🤯
#SemiFinals
#BafanaBafana
#NigeriaVsSouthAfrica
#Nigeria
AdellaAM retweeted
Kangaroo Mother Care (#KMC) has been proven to make a positive impact on #Preterm babies. For #WorldPrematurityDay2023, explore how skin-to-skin contact is vital for premature babies and their development.
nutritionintl.org/our-work/h…
AdellaAM retweeted
"Mwenyezi Mungu amefinyanga watu tofauti kwa mahitaji na matumizi tofauti. Huwainua anaowahitaji kwa wakati unaofaa na kwa makusudi maalum." ~Togolani Mavura.
AdellaAM retweeted
Kuna nguvu kubwa sana katika kusamehe, kukubali aibu, kukaa kimya pia kusimama na Mungu wakati wote, Kama tungelipiza visasi, tungewachafua waliotuchafua, tungewaharibia waliotuharibia leo tusingefika hapa tulipo.
AdellaAM retweeted
UWE mwenye kusikiliza, kwa lengo la kutaka kuelewa. Usiwe mwepesi wa kuongea. Ukishalitoa neno kinywani haliwezi kurudi.
You cannot unsay things.
AdellaAM retweeted
Tumekuwa busy sana kutafuta pesa huku tukitunga misemo fake “Pesa ndio kila kitu “tukaachia malezi TV , Shule na wasidizi wa ndani.Tulisema nataka nihakikishe watoto wangu wanapofika chuo kikuu wawe tiyari na mashamba , nyumba na mali.
Tukifikiri hii ni highest achievement ktk maisha kuliko utu,tabia njema na heshima.Sasa tunaishangaa jamii imekuwaje huku wazazi tukisema watoto wa siku hizi hawana adabu na kumbe ni wazazi wa jana hatakujali vizuri.
Kaa chini siku moja tafakari wajibu wetu ktk familia zetu na utagundua kuwa tumenunua nyama nyingi na juice kuliko kujenga tabia za familia zetu. Ni kweli kwenye friji kuna kila kitu je watoto wetu wanajifunza attitude sahihi kutoka kwetu ?
Tuwe makini sana tusije kuwa na shimo la maji machafu lililojaa vinono mbali mbali kuliko maarifa kwa watoto wetu ktk fikra zao. Kuna tatizo kubwa ulimwenguni , kubwa kuliko mabadiliko ya Tabia Nchi na Dunia haioni wala haisemi.
Dunia inaangushwa na ukosefu maadili kuliko kitu chochote.Kizazi chetu tunaweza kupiga U turn kwani hatujachelewa sana.Kama tukitafakari kuamua kuwa walezi halisi na sahihi sasa.
Tuna confusion society sio kwa sababu hila za shetani zina nguvu ila ni kwa kuwa muda wetu hauko kwa Mungu na familia.
Huu mji tulikofikia ni either maji yanatoka ila umeme umekatika, au umeme upo ila maji hola, au vyote hamna 😥😥😥😥
Ewura wamefanya yao usiku asubuhi watu wameacha magari yao home. Nimesubiria Mwendokasi dakika 40 zinapita zimejaa hata pa kuweka pua hamna 😂😂😂. Sema na mie sijioni nikinunua gari kwa bei hizi za mafuta. Tutaendelea kubanana 😂😂😂😂 #publictransport
1
2
126
AdellaAM retweeted
Replying to @MarekaMalili
Huwa nna stori nataman Sana ku-share lakini kwa ufupi, wakati Niko chuo niliwahi kuugua TB na nlikuwa nikiishi ghetto pekeangu. Ila huyu binti sayuni aliamua kutoka hostel na kuja kuniuguza mpaka nlipomaliza dozi yangu.... From 33kgs to 64kgs. Mungu anitunzie huyu binti. AMEN
Celebrating Ubongo’s 10 years of edutaining our children #ubongoturns10
AdellaAM retweeted
KENYAN WORKERS ARE DISHONEST
I got the opportunity to meet 6 rich men this weekend and I asked them a question that:
'Why are they not building factories for the youth of this country to get job to do?
They burst into laughter as if I have said something funny, then one said
The people shouting no food and jobs are all thieves!!
I was like really!!
He continued……”I run a manufacturing business and a trading business.
The biggest challenge in my manufacturing business is not Kenya power, or infrastructure, the biggest challenge is getting HONEST WORKERS.
Everyone we hire appears to be on a mission to steal as much as possible, Inflated invoices, recording less than the actual number of units produced, finding everything within their power to beat the system.
The worst part of it all is that all the fraud we've uncovered is NOT done by a single person, it's usually many staff who collude with each other, from production, to sales, to finance, even top management.
There was a year I overhauled management 3 times in a year.
But I've found a solution. I now use Indian expatriate management. They are more competent, so honest and so straightforward.
I thought they were expensive at first with all the visa fees, accommodation, house staff, but now that losses due to staff theft have been reduced to a minimum, and efficiency increased, the Indian management has turned out to be cheaper than the previous African management.
Now, all sensitive positions involving money go to Indians. Africans are only allowed in non-sensitive positions.
I used to criticize indigenous Kenyan companies like the MRM or Tononoka Group that hire so many Indians when there are many unemployed Africans, but now, I understand their painful decision.
My biggest challenge in the trading business is the same, getting honest staff. The form of trading occurs in the open market, and involves staff having access to huge sums of money running into a few millions.
I know how much I pay to security companies to provide escorts for the staff, not to prevent robbery, but to ensure that the staff go straight to the bank to deposit the money after the day's sales and not disappear with my money.
This money spent on security companies is even enough to be declared as profit. We have to spend on CCTV, biometric scanners and other things that wouldn't be needed if staff weren't looking for the slightest opportunity to steal.
It got so bad at a point that my main criteria for employing staff was no longer competency or certificates, but honesty.
At least, competency and skills can be learnt, but once you're dishonest, you're dishonest.
We always complain of the economy and how there are no jobs. I know people abroad who would have loved to set up job creating businesses in Kenya or across different african countries but they can't because they can't get any trustworthy person to run it
AdellaAM retweeted
Mhe waziri mwenye dhamana ya afya @ummymwalimu pengine hata wewe unajiuliza kwa nini wataalamu wa maabara wanalalamika.
Kifupi, hakuna aliyeonekana kuyasemea haya, hata tuliowaita viongozi wa taaluma walikaa pembeni wakishuhudia chombo hiki kinazama.
Mheshimiwa Waziri, haya ni malalamiko kwa uchache.
1. HAKUNA USAWA KATIKA MGAWANYO WA AJIRA ZA AFYA NCHINI
Tangu mwaka 2021 mpaka mwka 2023, ajira kwa upande wa Kitengo cha
maabara zimekuwa zikitolewa kwa kiwango kidogo mno, shughuli za vipimo vya maabara zinafanywa na
kada nyingine ambazo hazina utaalamu wa kutosha hivyo kupelekea
wateja wengi kupewa majibu yasiyo sahihi.
AJIRA ZA OR- TAMISEMI MWAKA 2021
Astashahada walipewa nafasi 142 sawa na
Wenye Stashahada walipewa nafasi 10 (0.3%
Shahada hawakupewa nafasi hata moja Sawa na 0%
Jumla ajira zilikua 2726.
MWAKA 2022
Astashahada nafasi 152 sawa na 2.2%
Stashahada nafasi 197 sawa na 2.8%
Shahada walichaguliwa 35 tu Sawa na 0.5%
Jumla ajira zilikua 6873
MWAKA 2023
Astashahada nafasi 56 sawa na 1.05%
Stashahada nafasi 18 sawa na 0.33%
Shahada nafasi 13 sawa na 0.24%
Jumla ajira zilikua 5319
Mheshimiwa, asiseme mtu hitaji halipo, tumefanya tafiti na tumegundua vituo hivi havina wataalamu wa maabara hata mmoja, je nani anafanya vipimo?
Vituo hivi havina wataalamu wa maabara.
Bulela dispensary - GEITA
Didia Dispensary - SHINYANGA
Mavota dispensary - KAGERA
Mselekea dispensary - MOSHI
Ibologero dispensary - TABORA
Bukondo dispensary - MWANZA
Kemgesi dispensary - MARA
Kisa dispensary - RUKWA
Mawe dispensary - ARUSHA
Tewe dispensary - TANGA
Ligumbiro dispensary - NJOMBE
Chajo dispensary - KILIMANJARO
Kilimani dispensary - MANYARA
Chumo Dispensary - LINDI
Na hivi ni vichache tu, Sasa je, Hawa wananchi huduma wanapewa na nani?
2. MAFUNZO YA UPIMAJI KWA WATU WASIO WATAALAMU WA
MAABARA NCHINI (NON LABORATORY
TESTERS) YAFUTWE.
Sheria hii iliwekwa mwaka 2007 kwa sababu kulikua na upungufu, huu upungufu haupo tena, wataalamu wa kufanya kazi zao wapo, huu utaratibu UFUTWE.
3. USAWA WA UONGOZI KATIKA KADA YA AFYA.
Mheshimiwa, kuna nafasi mpaka zimekaririwa anatakiwa kukaa daktari au muuguzi, kwa nini?
Nafasi ambayo sio ya kutumia taaluma bali uwezo wa uongozi, kwa nini tunakua kama tunaamini waliosoma maabara hawawezi kuwa viongozi?
Nafasi ya facility incharge, nafasi ya DMO kwani hizi nafasi zinawataka madaktari watibu?
Tunaomba ziwe nafasi za wazi, ziruhusu mtaaluma yeyote wa kada ya afya aongoze.
Kada hii pia mheshimiwa watu wamesoma management na leadership na hizi nafasi zinahitaji uongozi ila sio nafasi za kutumia ujuzi wa taaluma zao.
4. IDARA ZILIZOPO NDANI YA MAABARA ZISIMAMIWE NA WATAALAMU WA MAABARA.
Mheshimiwa, nenda Muhimbili pale kitengo cha maabara madaktari ndio wasimamizi wa vitengo vya maabara, kwa nini?
Tunatambua utaratibu huu unatokana na hoja kwamba kipindi cha nyuma tulikua hatuna wasomi wengi wa kada hii, leo tunao mheshimiwa, tuna wasomi wa PHD maabara, acha wakae vitengo vyao.
Ni sawa na kusema leo mtaalamu wa maabara asimamie kitengo cha mama na mtoto kisa alijifunza kuhusu hedhi.
Haiwezekani. Tunaomba vitengo vyetu tuvihudumie wenyewe.
Hata uwepo wa ulazima wa mkurugenzi wa diagnosis wizarani kuwa daktari haitakiwi mheshimiwa, tupo, mtutumie.
5. SIFA ZA KUJIENDELEZA NA KOZI MBALIMBALI ZIRUDIWE UPYA.
Mpaka leo kuna kozi huwezi soma kama sio daktari licha ya kuwa ni kozi zinazomuhusu mtaalamu wa maabara moja kwa moja.
Mfano Histopathology na Cytopathology.
6. VIONGOZI WA TAALUMA HAWAENDANI NA KASI.
Mheshimiwa, kwanza haya yote yangefaa kusemwa na wao.
Leseni zinachelewa, utaratibu wa mitihani unachelewa, sasa kuna maswala ya CPD utaona nako hakutiliwi mkazo, kuna swala la gharama za matumizi ya vyeti vya wanataaluma katika kufungua vituo vya huduma za afya bado hazijakaa sawa
Mheshimiwa binafsi namjua mtu alifanya mitihani ya shule akafaulu, ikabidi alipie kufanya mtihani wa provisional licence ambayo anakaa nayo kwa mwaka mmoja kisha analipia kufanya mtihani mwingine wa full registration.
Sasa Mheshimiwa, hii ni sawa? Mfululizo wa mitihani yote hii ni kupima nini? Kama hatuviamini vyuo tuvifunge, chuo kimempika mtaalamu akaiva, kafanya mtihani wa chuo kafaulu, kafanya mtihani kwa leseni wa kwanza kafaulu, kwa nini baada ya provisional asipewe full registration bila mtihani?
Utaona kuna mengi sana ya kuyasemea ila viongozi wanajua na hawaoni kama wana nafasi ya kufanya hivyo.
Mhe @ummymwalimu tuna imani kubwa na wewe, tunaomba utusikilize, tunaomba uyapokee haya, hakuna huduma bora bila mihimili iliyosimama.
Tunahitaji muhimili wa maabara usimame, ukusaidie kuboresha huduma za afya nchi wananchi wapate huduma inayostahili.
AdellaAM retweeted
Biashara ya wife ni kuuza mitumba. Na mimi huwa nashiriki katika hatua mbalimbali za kumsupport
Mpaka ikanifanya niijue vizuri biashara hii. nimejua chimbo zote muhimu za kununua, nimejua chimbo nzuri za kuuzia
Na hii ni stori ya kuwatia moyo wanaotaka kuwekeza ktk biashara hii
Kuna wiki kadhaa nahangaika maeneo wanayouza mchele hapa Dar ili niupate ule mzuri ulionyooka (napenda mchele mzuri haswa). Jibu ambalo nimeishia kupewa ni kwamba “mchele mzuri unauzwa nje hapa nchi hautapata dada”. Nina stress 😢😢😢😢😢
AdellaAM retweeted
Thank you for your well wishes jana. They were heartfelt.
I feel like sharing just one lesson my 1st year of marriage taught me.
(There are PLENTY but this one is my favorite)
AdellaAM retweeted
Tunayo furaha, Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali @adamthony kuteuliwa na Waziri wa Madini kuwa Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi (TEITI) kwa kipindi cha 2023 - 2026. @EITIorg
@NRGInstitute @ICNLAlliance


























