Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja) header
Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja) profile picture

Vice Chancellor of Iramba. 29/10/2025 HATUTASAHAU πŸ•Š πŸ’”πŸ˜­

Republic of Croatia
Joined July 2022
Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)Photo by Sekenke One 🌻 (@AlexSamoja)
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha πŸ˜‚ He is back ✊
100
221
6
2,744
94,778
Dainess mdogo wangu walikupiga risasi tabata na mwili wako haukuonekana tukafanya ibada ya picha kanisani 😞 baadae mwili ukapatikana kitunda ukiwa umeharibika sana na kubadilika Ni mwaka sasa tunakukumbuka sana ni ngumu kusamehe na kusahau πŸ™πŸ»
75
450
12
1,547
24,192
Sekenke One 🌻 retweeted
Tar 30.10.2025 ilikuwa siku ya pili ya mauwaji ya halaiki.πŸ’” Tangu Kimara, Ilemela, Kahama, Tunduma, Mbeya, Arusha - watu waliuliwa kinyama. Wengine walifuatwa majumbani. Kamwe hatutasahau ushenzi huu. Historia hii chafu lazima izungumzwe, tuijutie, ikomeshwe, isijirudie!
4
63
236
2,563
Sekenke One 🌻 retweeted
Nimepitia comments za watu wanao post kuomboleza ndugu zetu waliouawa na wengine kudhulika na matukio ya October 29, 2025 Naona baadhi ya watu wanafurahia vifo na maumivu ya wengine kwa sababu tu wako mrengo tofauti niseme tu Mungu yupo Uhai au mateso ya mwanadamu mwenzako hayapaswi kuwa shangwe kisa tofauti za kisiasa. Leo ni sisi kesho inaweza kuwa wewe au wajukuu zako Tuwe na mioyo ya nyama na tutangulize ubinadamu kwanza, hakuna kitu cha thamani zaidi ya uhai duniani
18
60
1
223
5,250
Mimi nikiaanza kufukuzia Corporate Girl 10/10, manzi ina kazi au biashara zake na ina IPhone 18, afu mtu anambie huwezi mpata huyo sio Type yako, Huwa namuonyesha hii picha ili ajue Am JOSE MOURINHO
63
Sekenke One 🌻 retweeted
Too many young blood claimed for one to remain in power. RIP Maria. 29.10πŸ’”πŸ˜­
6
121
1
538
5,860
Sekenke One 🌻 retweeted
Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu wote waliopoteza maisha siku kama ya leo mwaka 2025 Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un 🀲🏿
19
165
4
503
7,901
Sekenke One 🌻 retweeted
Walichukua uhai wa Tina binti mpambanaji Mama wa mtoto mmoja na nguzo ya familia... #HatutaSahau 29/10πŸ•ŠοΈπŸ•―οΈπŸ’”
41
262
3
862
10,904
Sekenke One 🌻 retweeted
Kuna mdada anasema ameachana na boyfriend wake ambae ni DAKTARI na saivi anadate na kijana anapiga Boda Boda. Anasema Kijana wa Boda Boda ana ela kumshinda yule Dakatari maana huyu wa Boda boda anamuachia uyo mdada elfu 30 kila siku. Kumbe Udaktari hauna ela ni sifa tu?πŸ™€πŸ™Œ
42
14
8
472
35,524
October 29, ni tarehe tu ya kumbukizi, ila watu wengi walikufa 30 October baada ya Mkuu wa Manyota kuita waandamanaji ni wahalifu jioni ya October 29, 30.10.2025 ndo nilisikia Milio ya Risasi kama Radi za Rukwa, Fellow Tanzanians, Fly with smile, shine in the skyπŸ•Š πŸ•Š πŸ•Š
1
12
36
407
Sekenke One 🌻 retweeted
Oya wanaume wenzangu, kama umepata nafasi ya kumtesa mwanamke kwenye mapenzi, naomba umteseni kwa niaba yangu, Nisaidieni kulipiza kisasi kwa Salome πŸ˜‚πŸ˜­πŸ”₯
17
27
1
202
3,848
Sekenke One 🌻 retweeted
Waliopoteza maisha walikuwa watoto wa watu, wazazi wa watu, na matumaini ya familia zao. Kuona viongozi wakiongea bila hata dalili ya kujuta ni kielelezo cha ukosefu wa utu.
5
187
575
5,041
Sekenke One 🌻 retweeted
Endelea kupumzika kwa Amani masta Pale sports Extra bado pengo lako halijazibwa. Rip MASTA TINDWA #OCT29 πŸ’”πŸ₯²
6
58
1
363
4,726
Sekenke One 🌻 retweeted
Muuwaji wa ndugu zetu 29/10/2025
6
101
1
363
9,491
Sekenke One 🌻 retweeted
This family lost a son, our fellow Lawyer, who was shot on 29 October 2025. We shall never forget & may justice prevail!πŸ’”πŸ˜­
11
176
1
633
4,971
Sekenke One 🌻 retweeted
U mean this one ?? 😎
This Combo, Greatness Tupu πŸ˜‹
2
5
18
680
Sekenke One 🌻 retweeted
On this day, bullets took your life away. Since October 29, 2025, your parents have missed you deeply. Your dream of seeing Arsenal win the Premier League finally came true in 2026. Rest in peace, brother. You and everyone else we lost will never be forgotten. πŸ’”πŸ•ŠοΈ
57
398
10
1,566
32,955
Ndoa tamuuu bhana umeona tabasam la Mr &Mrs Engineer ❀️πŸ₯° wakichukua nasaha mbili tatu kutoka kwa Aunt mafix hapa🀣
42
60
11
446
33,141
Sekenke One 🌻 retweeted
Good morning XFamilia🌀
25
51
1
61
737
Sekenke One 🌻 retweeted
October 29–a day that took so much from us! Cry, my beloved country πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’”πŸ˜­
15
270
1
943
7,156
This Combo, Greatness Tupu πŸ˜‹
7
18
1
117
6,128