Alexander A Msoffe retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) alifanya kazi kubwa ya kumpigania Miss Grand International 2026, Jihan Dimack, kiasi cha kukaribia kuingia matatizoni.
Alexander A Msoffe retweeted
Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea – Ujumbe wa faraja wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026
Alexander A Msoffe retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na waombolezaji mara baada ya ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu la Dodoma, tarehe 13 Desemba 2025, jijini Dodoma.
Alexander A Msoffe retweeted
STENDI KUU YA MABASI WILAYA YA KAKONKO.
Kuanza kutumika kwa kituo hicho cha mabasi na vyombo vingine vya usafiri, kumetajwa kuondoa kero kwa wasafiri kukosa eneo maalum la huduma hiyo sambamba na kufungua fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara wadogo pamoja na waendesha pikipiki (bodaboda).
Alexander A Msoffe retweeted
Mradi wa kuunga bomba kuu la kusambaza maji kutoka tangi la ushirika hadi tangi la Nhonge, ili kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa Nhonge.
Alexander A Msoffe retweeted
Replying to @ChangeTanzania
Wewe na wenzako ni Mashetani wa hovyo kuwahi kutokea, sikiliza kwa makini utaisikia sauti ya mungu nakuahidi ukilikiliza mfululizo hiyo clip kweye Mara ya kumi na Tatu utaisikia sauti ya Mungu waziwazi.
We sikiliza utatoa ushuhuda zaidi ya huo
Alexander A Msoffe retweeted
Kiserikali anajulikana kwa jina la Clayton Chipando ( 39) lakini Mitaa inamfahamu kwa jina lake maarufu la BABA LEVO, cheo chake kwa sasa ni Ubunge wa Kigoma Mjini aliokabidhiwa na Wananchi October 2025…. leo @ayotv_ imeimulika kwa ufupi safari yake kuanzia kwenye mashuti yake ya Udiwani hadi kwenye magoli ya Ubunge…. Kigoma kaiweka mabegani, kazini kwake ni kazi na uchu wa maendeleo……
#MillardAyoUPDATES
Alexander A Msoffe retweeted
Tanzania imeendelea kuandika rekodi juu ya rekodi zake katika sekta ya utalii baada ya kushinda Tuzo tatu kubwa za kimataifa katika hafla ya World Travel Awards ( WTA) 2025 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Manapa Nchini Bahrain.
Tuzo ilizoshinda Tanzania ni
Nchi Bora inayoongoza kwa Safari Duniani 2025 – kwa mara ya tatu mfululizo
Hifadhi Bora zaidi Duniani 2025 - Serengeti ikizishinda hifadhi maarufu kama Kruger (Afrika Kusini), Yellowstone (Marekani) na Phong Nha (Vietnam)
Eneo Bora la Mikutano na Mapumziko ya Taasisi (Corporate Retreat Destination) – Zanzibar
Ushindi huu umeipa Tanzania hadhi mpya kama moja ya Vituo vinavyoongoza duniani katika Utalii wa safari, hifadhi za Wanyamapori na Utalii wa mikutano hatua iliyofungua mlango wa Tanzania kuteuliwa kuwa Mwenyeji wa Tuzo za Grand Final 2026.
Uteuzi huo unaifanya Tanzania kuwa kitovu cha kimataifa cha tasnia ya utalii, kwa kutarajiwa kupokea wageni kutoka zaidi ya mataifa 100 wakiwemo Viongozi wa sekta hiyo, Wawekezaji, Waandaaji wa matukio na Vyombo vya habari vya kimataifa ambapo kupitia ushindi huu mkubwa wa tuzo tatu, Tanzania sasa inaingia katika maandalizi ya kuikaribisha dunia mwaka 2026 hatua inayotarajiwa kuongeza uwekezaji, fursa za ajira na kukuza hadhi ya Nchi kimataifa. #MillardAyoUPDATES
Alexander A Msoffe retweeted
Replying to @ChangeTanzania
Those pushing for unrest do so safely behind screens, shielded from the real pain that ordinary families face during violence. It is our duty to reject manipulation and safeguard the progress that has strengthened our roads, schools, hospitals, and economy. #KizaziChaUtulivu
AmaniKwanzaTZ
Alexander A Msoffe retweeted
Replying to @ChangeTanzania
Violence is not just physical, its roots are emotional manipulation, fear-mongering, and coordinated disinformation. Before a stone is thrown, someone has already planted a lie. Reject the seeds of chaos before they take root in our society. #ProtectOurPeace
StopTheViolence
Alexander A Msoffe retweeted
Kikosi kazi dhidi ya Coastal Union🔰💪🏽
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko























