Ali J. Mwadini (@AliMwadini) header
Ali J. Mwadini (@AliMwadini) profile picture

Ambassador of Tanzania to the French Republic

Paris
Joined July 2014
Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)Photo by Ali J. Mwadini (@AliMwadini)
Thank you Ambassador Sharma
India 🇮🇳 congratulates Tanzania 🇹🇿 for this historic occasion to make Kiswahili an official language of the UNESCO General Conference. India, as a long-standing partner of our brothers and sisters of Africa, and a champion of linguistic and cultural pluralism, supports this initiative. ‘India inaunga mkono Afrika’. @VishalVSharma7
1
183
Our most profound and sincere condolences to the leadership and brotherly people of Nigeria, following the passing on of former President Muhammadu Buhari. May God Almighty grant patience and strength to the bereaved family and admit the late President to his mercy.
2
201
Eid Mubarrak
Wishing you Joyous and blessed Eid al-adha
1
4
207
Karibu sana Maulid.
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa @AliMwadini akiwa na Mtangazaji wa Wasafi Mzee wa Minyama @mshambuliaji alipoutembelea Ubalozi wa Tanzania Mjini Paris.
1
6
387
Utani tu. Sio ya leo.
1
1
3
156
Tunawatakia heri na mafanikio wakati tunaadhimisha siku ya wafanyakazi duniani.
1
3
202
Nawatakia Eid njema yenye furaha na baraka tele.
1
1
7
280
Jana nilipata nafasi ya kumkaribisha Mhe. Dkt. Abdulelah Ali S Altokhais, Balozi na Mwakilishi Mpya wa Saudi Arabia kwenye UNESCO na kujadili naye maeneo ya kuimarisha ushirikiano katika masuala yenye manufaa kwa nchi zetu na yenye tija kwa jamii ya kimataifa.
1
1
6
259
Wenye sifa munahimizwa kuchangamkia fursa hizi.
4
5
261
Tunamshukuru kipekee Mhe. Waziri Dkt. Pindi Chana kwa kunogesha ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Madrid (FITUR) ya mwaka huu, sambamba na wadau wote walioshiriki.
1
7
265
Akiwa Madrid, Mhe. Waziri Chana alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa (@UNWTO) na kusaini makubaliano ya Tanzania kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Utalii wa Vyakula (Gastronomy Forum).
73
Jana niliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Barcelo Rebelo de Sousa, Rais wa Ureno. Rais Marcelo ni mtu mcheshi na mchangamfu sana. Alisifia uzuri wa Tanzania na kueleza shauku yake kuona uhusiano wa nchini zetu mbili unashamiri zaidi.
12
14
81
5,130
Dr. Jane Goodall, a renowned ethologist who spent much of his life doing researching about chimpanzee at Gombe National Park, was invited to address the Executive Board of the UNESCO. We applauded her work which has contributed positively in nature conservation, worldwide.
9
15
593
Wiki iliyopita nilibahatika kutembelea mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Kilwa. Mradi huu utakapokamilika hapana shaka utatengeneza fursa mkubwa katika sekta za uvuvi, biashara na usafirishaji.
2
11
2
31
1,926
Congratulations Dr. Ndugulile Congratulations Africa.
1
6
33
1,176
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania amenikabidhi jezi itakayotumika na wanariadha wa Tanzania katika michezo ya Olimpiki, Paris. Tarehe 10 na 11 tutakimbizana kweli kweli. Nawahimiza Wanadiaspora na mashabiki wa Tanzania kujitoka kwa wingi kuwapa hamasa washiriki wetu.
1
6
13
669
The team. Congratulations!
2
15
4
120
17,067
Congrats Excellency
I had a fruitful discussion with the Minister of Commerce, Industry and Investment Promotion of Oman, H.E Qais bin Mohamed Al Yousuf. Among others, we discussed improving trade relations between our two countries, given the fact that we have good historical relationships.
1
4
210
Nawapongeza wabunifu hawa kutoka Tanzania na nawatakia mafanikio katika kutangaza kazi zao hapa Ufaransa
Balozi @Alimwadini amekutana na wabunifu wa sanaa za ufundi wakiongozwa na Bw. A. Nyamagale, Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi nchini Tanzania. Wabunifu hao wapo nchini Ufaransa kushiriki maonesho ya Sanaa za Ufundi yanayofanyika kuanzia tarehe 15 hadi 22 Julai 2024.
1
4
11
605