
ยถYou can say anything to anyone,but how you say it will determine how they reactยถ.MD๐จ๐ฝโโ๏ธ| Co-host @medicstalktz
Dar es Salaam,Tanzania
Joined April 2012
- Tweets12.8K
- Following406
- Followers344
- Likes23.5K
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Kwenye siasa hakuna usaliti wa kishetani kama huu wa Godbless Lema.
Mara 100 wale wanaosaliti kwa kuhamia CCM kuliko hawa wanaobaki ndani ya chama na kufanya kazi za Abdul na mama yake wakiwa ndani ya chama.
Nawaambia hivi Lema na Mbowe now ni mabesti kuliko mnavyoweza hata kufikiria.
Lema is sabotaging Chadema more than you know.
Kinachoniuma kati ya vyote ni jinsi anavyotumia jina la Lissu kufanya usaliti wake.
Mimi sio mwanaharakati pekee ninaejua hili au ninaesumbuliwa na hili. Wapo wengine ila wanaona kama vile kuongea kutafanya more damage than kutibu ila mimi nawaambia kuwa kumkalia Lema kimya is more damaging than kuongea.
I hate this guy with a passion.
Kweli baada ya October 29 unaweza kuwaambia Watanzania wamezoea maisha mabaya sijui nini? Eti hawafanyi lolote.
Eti Chadema haiwezi kuifanya vurugu au uasi? Nani kasema Chadema ifanye uasi? Nani kasema chadema ifanye fujo?
Wananchi wanachosema ni muhamasishe na muungane nao kwenye maandamano. Uasi na vurugu iko wapo hapo?
Alafu anavyoongea utasema yeye ndio mwenyekiti au makamu mwenyekiti wa chama.
Namchukua huyu mtu na maneno yake kwa Watanzania. Sijui hata why bado anaachwa anapanda kwenye masteji wakati kila mtu anajua he is compromised.
Kila siku mambo anayoongea ni ya kuvunja moyo wananchi na kuwa confuseโฆโฆ.
I wish there was a way huyu mtu na wenzie wasiwepo Chadema at all Ila ndo hivyo hawana mpango wa kutoka wanataka kuimaliza from within.
Najua kuna ambao bado mnamuamini na mtaniona mbaya ila nawaambia hivi huko mbele mtanielewa.
Huyu ndio kiongozi wa TEAM MBOWE kwenye kamati kuu ya Chadema.
Huyu anafanya mikutano na Abdul wa kimama kila siku. Alafu kina Abdul wanamcheka na kumsema ni mshamba wa hela. Na kwa Abdul kapelekwa na Mbowe.
Hiyo mikutano anayofanya, anaongozana na wadada wa kamati kuu, wote kawageuza kwa pesa za Abdul, wanataka chama kikafanye maridhiano na kimama bila international community, bila any condition, yani Yale maridhiano kama ya ACT.
I know sio muda sahihi ila muda unaenda, mambo yana move fast.
WATANZANIA HALI NI MBAYA SANA NDANI YA CHADEMA. NA KIRANJA NI HUYU.
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Siku nikichafukwa nitawataja MCHICHA MWIBA wote ambao wana VISEBENGO vya KUBEZA mapambano ya kudai HAKI. Hivi kwa nini wanaume wanakuwa na MAMBO YA KISICHANA?
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Lissu: MWAMBIE LEMA AACHE HIZOโฆโฆโฆ
Lissu: Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,, hajaelewa somo????
Ni mara kadhaa Lissu anasema neno juu ya Lema though kwa matani ila message sent.
Kuna watu bado wako in denial kuhusu Lema. Mtastuka keshafanya damage kubwa mnooo.
Kampeni aliyofanya ndani ya kamati kuu ili Lissu awe mwenyekiti ndio kampeni anayofanya sasa hivi ili Heche aondelewe na Mbowe arudishwe. MARK MY WORDS ON THIS.
WATANZANIA MNANIJUA SIWEZI KUMKALIA KOONI MTU KIASI HIKI BILA KUWA NA UHAKIKA NA NINACHOKISEMAโฆโฆ.
Jiulizeni mimi nna nini cha kufaidika nacho kwa kusema haya juu ya Lema?
Mam
Kwenye siasa hakuna usaliti wa kishetani kama huu wa Godbless Lema.
Mara 100 wale wanaosaliti kwa kuhamia CCM kuliko hawa wanaobaki ndani ya chama na kufanya kazi za Abdul na mama yake wakiwa ndani ya chama.
Nawaambia hivi Lema na Mbowe now ni mabesti kuliko mnavyoweza hata kufikiria.
Lema is sabotaging Chadema more than you know.
Kinachoniuma kati ya vyote ni jinsi anavyotumia jina la Lissu kufanya usaliti wake.
Mimi sio mwanaharakati pekee ninaejua hili au ninaesumbuliwa na hili. Wapo wengine ila wanaona kama vile kuongea kutafanya more damage than kutibu ila mimi nawaambia kuwa kumkalia Lema kimya is more damaging than kuongea.
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Kwamba ni MWAKA MZIMA SASA hawa wauaji sio tu wapo mtaani bali pia wanafahamika na hakuna aliyepata ujasiri wa kuwaadabisha tells a lot about WATANGANYIKA. Sorry to say this lakini truth be said: WATANGANYIKA ARE ABSOLUTELY USELESS BUNCH OF HUMAN BEINGS ๐ก
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
I hate this guy with a passion.
Kweli baada ya October 29 unaweza kuwaambia Watanzania wamezoea maisha mabaya sijui nini? Eti hawafanyi lolote.
Eti Chadema haiwezi kuifanya vurugu au uasi? Nani kasema Chadema ifanye uasi? Nani kasema chadema ifanye fujo?
Wananchi wanachosema ni muhamasishe na muungane nao kwenye maandamano. Uasi na vurugu iko wapo hapo?
Alafu anavyoongea utasema yeye ndio mwenyekiti au makamu mwenyekiti wa chama.
Namchukua huyu mtu na maneno yake kwa Watanzania. Sijui hata why bado anaachwa anapanda kwenye masteji wakati kila mtu anajua he is compromised.
Kila siku mambo anayoongea ni ya kuvunja moyo wananchi na kuwa confuseโฆโฆ.
I wish there was a way huyu mtu na wenzie wasiwepo Chadema at all Ila ndo hivyo hawana mpango wa kutoka wanataka kuimaliza from within.
Najua kuna ambao bado mnamuamini na mtaniona mbaya ila nawaambia hivi huko mbele mtanielewa.
Huyu ndio kiongozi wa TEAM MBOWE kwenye kamati kuu ya Chadema.
Huyu anafanya mikutano na Abdul wa kimama kila siku. Alafu kina Abdul wanamcheka na kumsema ni mshamba wa hela. Na kwa Abdul kapelekwa na Mbowe.
Hiyo mikutano anayofanya, anaongozana na wadada wa kamati kuu, wote kawageuza kwa pesa za Abdul, wanataka chama kikafanye maridhiano na kimama bila international community, bila any condition, yani Yale maridhiano kama ya ACT.
I know sio muda sahihi ila muda unaenda, mambo yana move fast.
WATANZANIA HALI NI MBAYA SANA NDANI YA CHADEMA. NA KIRANJA NI HUYU.
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimewasilisha barua rasmi kwa Rais wa Kenya, William Ruto ya kumuomba kuingilia kati suala la madai ya kutekwa kwa Mwanaharakati Twaha Mwaipaya.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026 Jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
amesema barua hiyo imewasilishwa leo katika Ofisi za Ubalozi wa Kenya Nchini Tanzania, ikiwa na kichwa cha habari kinachosomeka โUrgently Appeal for Your Personal Intervention in the Abduction of Twaha Mwaipaya and Protection of Democratic Activists in East Africa.โ
Kupitia barua hiyo, CHADEMA imemuomba Rais Ruto kutumia nafasi yake kuingilia kati suala hilo, huku kikisisitiza umuhimu wa kulinda usalama wa Wanaharakati wa Demokrasia katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
#MillardAyoUPDATES
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Huyu sio mtu wa kwanza ananiambia hili jambo.
This could explain why Ruto is allowing Samia Suluhu to abduct Tanzanian activists on Kenyan soil. Quid pro quo.
Wanaharakati wa Tanzania mlioko Kenya, please jificheni mpaka uchaguzi wa Kenya uoshe. Ruto is sacrificing you all for the presidency.
Samia Suluhu hawezi kuingiza majangili Kenya na kuweza kum track na kumteka mwanaharakati ndani ya Kenya bila ushirikiano wa serikali ya Kenya.
Twaha katekwa na marais wawili, Samia na Ruto.
The Kenyan government is equally complicit in the abduction of @Twaha_Mwaipaya as the Tanzanian illegitimate Government.
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Dunia nzima habari ambayo inatrend ni tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya.
Tuendelee kupaza sauti #FreeTwahaMwaipaya
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Uliyemshauri Pambalu alirudi Bongo, ukampa hakikisho la usalama wake kwamba uliongea na Mafwele, akakwambia arudi tu hawana tatizo nae, naomba utambue kwamba umetusababishia matatizo makubwa sana.
Kila siku huwa nawakumbusha wapambanaji wenzangu kwamba ogopa sana mtu ambae anaaccess na wewe lakini pia anaaccess na watu ambao daily wanawinda roho zetu.
Maana unatakiwa ujiulize inawezakanaje mtu ambae anajipambanua kuwa ni mpigania Haki halafu wakati huo huo kwa mdomo wake anasema Mafwele ni rafiki yake? Unawezaje kuwa na urafiki na mtu ambae Dunia yote inajua kuwa anateka na kupoteza watu na wengine huwa anawabaka na kuwafila, inawezekanajeโฆ???
#FreeTwahaMwaipaya๐
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Wahuni wamemuotea Homeboy wangu๐
Haya mambo yanaumiza sana, tumekua tukiyakemea kwa miaka sasa.
Hatutaacha, hatutachoka kuendelea kuyakemea.
Unapoona matukio kama haya usiache kukemea, nitakwambia kwanini!!
Hili genge la watekaji halitumiki kuteka tu wapinzani, wanaharakati wanaoikosoa serikali na wanaojihusisha na siasa NO.
Ni genge hili hili hutumika na litatumika kuteka, kupoteza na kuua watu kwa sababu za kimahusiano, biashara na mambo mengine kwa maslahi ya watu fulani.
Usiamini, usipuuze, usifurahie na kujiona uko salama kwa sababu tu hujihusishi na siasa au hukosoi watawala na serikaliโฆ.
NO BODY IS SAFE MY DEAR.
Ipo siku utaingia kwenye 18 zao either kimahusiano, kibiashara, kinamna yoyote ileโฆ.na utapitia mateso haya haya wanayopitia wanaharakati!!
Huu sio utamaduni wa kuu~entertain au kuukalia kimya utaendelea kuota mizizi hadi kizazi kijacho!!
Tuungane kwa pamoja kuupinga!!
Twahaโฆโฆ.it hurts to look at your pictures without knowing where you are or what youโre going through.
I pray for your safety and may the blood of Jesus protect you.
We want to hear your voice and see you smile again.
Come home safely home boy โค๏ธ
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Asanteni sana majirani zetu Wakenya kwa kumpazia sauti Twaha Mwaipaya.
#FreeTwahaMwaipaya
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Twaha ananiuma jamaniiiiiiiiiiiiโฆโฆ..
Watanzania, lazma tupambane kwa njia yoyote ile. This is too muchโฆโฆ
Yani the fews times nilizo chat na huyu kaka niligundua ni bonge moja la mtu na kwamba yupo dedicated na kuona haki inapatikana Tanzania.
Twaha alipambania nchi yake na sisi tumpambanie mpaka tumpate akiwa haiโฆ:.
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
DAR: Wakili kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC), William Maduhu amesema hayo Oktoba 22, 2026 wakati akihojiwa kupitia Kituo cha Redio cha Wasafi FM.
Ikumbukwe, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania iliuagiza uongozi wa Gereza la Ukonga kuruhusu Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuzungumza naye kwa usiri, huku maafisa Magereza wakikaa umbali wa kuona bila kusikia mazungumzo yao, shauri lililofunguliwa na Wakili Maduhu na wenzake.
Soma jamii.app/MaduhuLissuUkonga
#JamiiForums #Sheria
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
OFFICIAL ENDORSEMENT FOR TUNDU LISSU FOR THE SAKHAROV PRIZE FOR FREEDOM OF THOUGHT.
It is a profound honour to formally endorse Tundu Lissu for the European Parliamentโs prestigious Sakharov Prize for Freedom of Thought.
Mr Lissu exemplifies the foundational principles of this accolade through his enduring, courageous advocacy for democratic governance, the rule of law, and human rights in Tanzania. His dedication to justice was vividly demonstrated early in his career during the struggle for multi-party democracy; despite facing severe state retaliation, including being subjected to physical assault and arbitrary detention in state custody, his legal and moral resilience ultimately secured the liberation of those wrongfully imprisoned by state overreach.
Throughout his career, Mr Lissu has encountered extreme personal peril. Having survived a catastrophic 2017 assassination attempt, he continues to endure severe political persecution, currently facing fabricated treason charges that carry the death penalty following more than 500 days in state custody.
Awarding the Sakharov Prize to Tundu Lissu would rightfully recognise his extraordinary personal sacrifices and extend vital international solidarity to all those championing fundamental freedoms across East Africa. #FreeTAL
@Europarl_EN
@EPPGroup
@EPP
@ecpa_eu
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Maombi muhimu sana haya kushiriki,
wenzetu wengi sana wamedhulmiwa uhai
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
HISTORIA IMEANDIKWA:
Tanzania, kwa mara ya kwanza, IMEANDIKA HISTORIA ya kuwa na โMHAINIโ wa aina hiyo ๐. Sijui DUNIA inaionaje Tanzania kwa kweli? Maana kuna wakati, USIPOCHANGANYIKIWA, basi, utakuwa na NEEMA YA MUNGU.๐ฅฒ
Official_Andre_255๐น๐ฟ retweeted
Ile event nilivyowaambia ndio hii.
Hii listi ilikuwa ni machawa tupu, ime editiwa baada ya video yangu, huyo balozi wa Marekani kaalikwa baada ya video yangu pia ili ku-balance mambo.
Audience itajaa wapuuzi woote wa Chaumma, Act, viongozi wa dini na machawa wao wengine.
Yani huku Lissu anahukumiwa hawa watakuwa na huu upuuzi.























