Mwenyekitty retweeted
Dem akisha malizana na hoe phase anakuja kukwambia anataka kusettle na anaweza taka umpee mtoto juu relationship yenu iko peaceful nawewe unakua excited like a fool thinking she's the one
Mwenyekitty retweeted
Hii life after campus will humble you by force, lower your expectations if you鈥檙e on your final year.
Mwenyekitty retweeted
unashanga why is your life so shitty hapa inje kumbe ulijilaani ukijaza majina zako pale kwa choo highschool
Mwenyekitty retweeted
Nimejaribu kumind my own bs nikashindwa, tell me why this single mom apa kwa ploti ametahiri kijana juzi amemtoa kwa corridor kaote jua na kayoghurt akikaambia "Njeri maliza ama nikuchape" kumbe kanaitwa Brian njeri. Men we are loosing it 馃槶
Mwenyekitty retweeted
Kuna morio tumejuana like 3yrs back and not even a single day nishai sikia akitaja wazazi wake ama kupigiwa simu from home, naskianga kumuuliza like radaa?
Mwenyekitty retweeted
Siwezi uliza dem yangu when was the last time she had sex, I'm not that strong bana
Mwenyekitty retweeted
Mzae alikujaga home na bad news ati "jirani yetu mama nani alienda kupata mtoto hosi akampoteza" only for mathee to reply "wangu huwa naenda kuwakunia hosi juu akuna mtu hujali" as kids tukaanza kucheka ati mum ni funny馃槀, sahii ndio najua mbona haikuwa funny kwa mzae.
Mwenyekitty retweeted
Young couples hii mapema yote wamesimama stage, matatu zinawapita tu sababu wanangoja yenye iko na space ya watu wawili pamoja hawataki kuketi separately. Mafala
Mwenyekitty retweeted
Kutoka block huwezi toka ukiwa home town. lazima uende kwa watu hawakujui. Tafuta pesa kidogo toka kuwa exposed na Mungu atacheza ata cheza kiyeye bana.
Mwenyekitty retweeted
Kwa Bois anaanza maisha ya kumove out kwa wazazi anafaa kuwa na like how much na vitu gani anafaa akuwe nazo kejani?
Mwenyekitty retweeted
Our parents should bring back arranged marriages bana . Wengi wetu tumeshindwa kuanza game juu kila mahali ni 1-0.
Mwenyekitty retweeted
Men have finally known their worth. Kuna vile Wameanza kuringa sana siku hizi.馃槀


