Awesi Ally Mkubwa retweeted
#Tanzania: UN experts concerned that 1-year after post-election violence, victims still await publication of findings from Commission of Inquiry. “We condemn patterns of repression against civil society organisations, journalists & #humanrights defenders.”
ohchr.org/en/press-releases/…
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
Wapemba tulikua tunaona kujiunga jeshi au polisi ni kazi ambazo ni haramu kwenye uislam. Tulichelewa sana kuondokana na hii dhana ingawa mpaka leo bado kuna watu wanaziona ni kazi zisizoendana na maadili ya uislam.
Ivi unawezakua kiongozi wa nchi hii tena kutokea CCM hii halafu ukawa na hata 80% ya kuipata pepo ya muumba wa viumbe vyote ulimwenguni?
Allah a'lam.
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Ni mwaka umetimia tangu nchi yetu ipitie kipindi kigumu na kilichogharimu maisha ya watanzania wenzetu😥😰
Oct 29.
#Oct29
Ukweli ni kwamba waislam sisi tulikua nyuma kwenye elimu ya mazingira. Waislam kipindi hicho walikua wanathamini elimu ya dini tu elimu hii nyingine waliipaka matope kwa kuitia hila mbaya kwamba ni elimu ya kikafiri ndiomaana unamkuta mtu ana elimu ya dini ila elimu ya mazingira hana na ukibahatika ana elimu zote mbili huwezikumkuta kua praise team/Chawa like aliekua sheikh mkuu wa mkoa wa Dar.
Mfano wa sheikh mwenye elimu zote 2 ni sheikh Mselem Ally, sheikh Ponda Issa.
Nimeona clip sheikh Shafi akieleza namna kanisa Katoliki lilivyo na structure ya uongozi.
Naungananae kukubali hoja zake kwamba kanisa katoliki akisimama Kitima akatoa tamko la kanisa si tamko lake wala maoni yake binafsi bali ni uongozi mzima umekaa chini na kuadhimia kwa pamoja. Kituambacho sisi waislam uongozi huo hatuna.
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Ni mwaka umetimia tangu nchi yetu ipitie kipindi kigumu na kilichogharimu maisha ya watanzania wenzetu😥😰
Oct 29.
#Oct29
Justice and accountability
Demands for post-poll justice as Tanzania accused of weaponising counterterrorism laws bbc.in/4iefj6z
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Demands for post-poll justice as Tanzania accused of weaponising counterterrorism laws bbc.in/4iefj6z
Moja ya unyanyasaji mkubwa kwenye zama hizi ni kunyimwa uhuru wa kutoa maoni.
Hii hali inaumiza sana, mfano unaona habari mtandaoni labda inatoka kwenye mamlaka lakini wewe huridhishwi na hio taarifa unatamani kutoa maoni ila unaanza kufikiria usalama wako baada ya kutoa maoni unawezakua hatarini.
Mkuu anavoteua na kutengua kwanini hua hakuna sababu ya utenguzi?
Hili kwangu naliona halijakaa sawa
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Tanzanian authorities have not held anyone to account for the post-election violence security forces inflicted on protesters, which left hundreds of people dead.
bit.ly/4BuBoW9













