Azania Post (@AzaniaPost) header
Azania Post (@AzaniaPost) profile picture

Online Newswire

Tanzania
Joined July 2016
Photo by Azania Post (@AzaniaPost)Photo by Azania Post (@AzaniaPost)
Ni mshambuliaji yupi kati ya hawa ni hatari zaidi kwenye Ligi Kuu Bara msimu huuu? Piga kura na retweet tafadhali. @simbascofficial @zittokabwe @regmengi @yangasc1935 @Chahali @MariaSTsehai @JMakamba @Salym
0%Haritier Makambo - Yanga
100%Meddie Kagere - Simba
4 votes • Final results
Ndio jinsi mwandishi Erick Kabendera anavyotembea hivi sasa instagram.com/p/B2UIhMaAuFL/…
Wananchi wa Uturuki wakirumbana kuhusu rais wa nchi hiyo, Edorgan instagram.com/p/B1_AkYWh8ri/…
1
Wananchi wakiondoka ukumbini huku wakiimba wimbo wa uzalendo wa Zanzibar baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kuzuia kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ya Maridhiano ya Wazanzibari yaliyozaa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. instagram.com/p/B0lOlX3B1jN/…
Zitto Kabwe: Kuna watu wanasema tutatangaza tuu matokeo (hata kama CCM imeshindwa). Maalim kasema labda watangaze Bara!! Maalim tunakuhakikishia hata bara wasithubutu kutangaza. instagram.com/p/B0iT1fthu9R/…
1
3
"Wanadanganyana kuwa 2020 hakutakuwa na uchaguzi bali ni kutangazwa tuu. Kama ni kutangazwa watatangazwa Bara sio Zanzibar"- Maalim Seif, Mshauri wa Chama, ACT Wazalendo. instagram.com/p/B0fjQ__Bq0B/…
Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege akifanya yake katika kikao cha baraza la madiwani!! instagram.com/p/B0QuHwNBc9q/…
January Makamba ametoa neno akisema ndio la mwisho instagram.com/p/B0OAAtXBgWI/…
Alichosema rais John Magufuli leo Julai 22, 2019 Ikulu baada ya kumwapisha waziri Simbachawene na Naibu waziri Bashe instagram.com/p/B0NocJNBVCL/…
FREEMAN MBOWE:TANZANIA TUMEFANYA UTAJIRI NI LAANA instagram.com/p/Bz-KwcYhiwe/…
Wateule wa mikoa wa chama cha ACT Wazalendo wakipokea barua zao za uteuzi kutoka kwa mshauri mkuu wa chama hicho, Maalim Sief Sharif Hamad instagram.com/p/Bz8LhMRhvs8/…