Wanasema hawajapata taarifa zozote kuhusu aliko tangu kutoweka kwake na wanataka uchunguzi uharakishwe ili arejee nyumbani salama. #wimbilabahari
80
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Robi King’a amesema hatua hiyo inalenga kulinda watumiaji na haki za wazalishaji dhidi ya bidhaa ghushi. #wimbilabahari
66
Dai kuhusu matumizi ya Cetirizine limezua mjadala Kenya. Je, kuna ukweli wa kitabibu au ni uzushi? Ungana nasi kesho saa 8:30 asubuhi kwenye #CitizenTV kujadili afya ya uzazi ya wanawake. Usiamini kila unachosikia, fahamu ukweli!
17
Mwenyekiti wa TSC, Dkt. Jamleck Muturi, amesema tume itaendelea kuhakikisha huduma za walimu nchini zinakuwa za kitaalamu, zenye ufanisi na uwajibikaji. #wimbilabahari
27
Pia wamemtaka kutafuta suluhu ya kudumu kuhusu mizozo ya kuandama mwezi wa Ramadhani na Dhul Hijja. #wimbilabahari
23
Mbunge Mupe ameyasema haya wakati akizindua ujenzi wa madarasa sita, afisi za walimu na maabara ya tarakilishi katika shule ya Ribe Comprehensive School. #wimbilabahari
61
Wakazi wanawalaumu KWS kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya matukio ya mara kwa mara ya mashambulizi ya wanyamapori sawa na kukosa kutoa fidia. #wimbilabahari
29
Hata hivyo, waziri Migos ameagiza uchunguzi kufanyika kubaini chanzo cha uvamizi huo. #wimbilabahari
32
Video: Kwa sasa anadai maisha yake yako hatarini kutokana na dhana kwamba wizi wa mitihani hiyo unahusisha baadhi ya wadau wa elimu walio na dhamana ya mitihani. #wimbilabahari
76
Takwimu za NSDCC zinaonyesha vifo vinavyohusishwa na HIV miongoni mwa watoto vikiwa mara mbili ya vile vya watu wazima. #wimbilabahari
21
1,200 TVET Scholarships available for Kenyan youth (18–35) pursuing Level 5 & 6 programmes in Food & Agriculture across 51 partner institutions! 🇰🇪
⚠️ Must have admission to a partner TVET first.
🗓️ Deadline: Wed, 18 Nov 2026 (4:30 PM)
Apply online 👉 forms.cloud.microsoft/pages/…
33
Waziri wa Afya Aden Duale amesema hakuna mgonjwa anayepokea matibabu wala aliye karantini, na nchi inaweza kutangazwa kuwa haina Ebola ifikapo Desemba 23. #wimbilabahari
41
Kikao cha Jumatano kiliahirishwa, na kuwazuia mawaziri wanne waliokuwa wamepangwa kujibu maswali ya wabunge kufika mbele ya Bunge. #wimbilabahari
27
Mswada huo wa Mwakilishi wa Kike wa Kirinyaga, Njeri Maina, sasa unaelekea Seneti kabla ya kuwasilishwa kwa Rais kutiwa saini kuwa sheria. #wimbilabahari
27



















