Pinned Tweet
It is not about having a good idea, having ideas is easy and trivial.
The important thing is how clever can you be to come up with a quick, cheap and easy way to test it.
Juhudi katika kazi inakutengenezea nafasi ya kufanikiwa ila haikupi guarantee ya kufanikiwa. Mafanikio yanachochewa na sababu zilizo nje ya uwezo wetu(Bahati).
40
Bei ni moja, kilichobadilika hapo ni pricing strategy.
Moja kati ya vitu ambavyo sikuwahi kufikiria kama vitakuja kutokea hivi karibuni ni bei ya router za Yas kushuka bei pamoja na ofa nono.
Kwa miaka takribani mitatu bei yake ilikuwa imegota kwenye kitita cha tshs 250k lakini mara hii imeshuka kiasi kila mtu anaweza kununua.
Bei yake ni kulingana na kifurushi cha mteja:
1. Mteja ambaye atachagua kifurushi cha tshs 70k kasi ya 10Mbps atalipia tshs 180k tu.
2. Mteja ambaye atachagua kifurushi cha tshs 100k kasi ya 20Mbps atalipia tshs 150k tu.
3. Mteja ambaye atachagua kifurushi cha tshs 150k kasi ya 50Mbps atalipia tshs 100k tu.
Kama utalipia gharama kama ilivyoelezwa hapo juu utapata router ya 5g na mwezi mmoja bure wa kutumia intaneti yenye kasi bila kikomo.
Kwa wale wenye uhitaji pekee nicheki: +255 677 439 148.
1
1
63
There's a nigga somewhere who's not responding to her calls and texts.
This quoted post is unavailable.
1
138


















