Mayogu retweeted
APPRECIATION TWEET KWA MR. SAMWEL NGULINZIRA (@S_Ngulinzira)
👉Hana followers wengi ila, amekuwa akitumia kila njia kuhakikisha agenda kuhusiana na makato ya malipo ya deni la bodi ya mikopo ya 6% inasikika na kuwa solved.
👉Ninampa pongezi kwa hili.
Mayogu retweeted
Dakika 60 za mahojiano zimekwisha. Tumemsikiliza Tundu Lissu na tumemsikiliza Professor P.L.O Lumumba. Bila upendeleo, tukiwa wa kweli na wawazi nani kazungumza vema na kajenga hoja kwa umakini? Retweet kwa Tundu Lissu na Like kwa P.L.O Lumumba
Mayogu retweeted
Unachat na babe wako on weekend unaona yupo online 30 minutes, kisha anaenda offline 15 minutes anarudi online tena 30 minutes, anaenda offline 15 minutes
Mayogu retweeted
Zimebaki siku chache kumchagua Rais wa Tanzania. Ngoja tupime hapa nani anakwenda kuibuka mshindi.
RT kama utamchagua Tundu Lissu
Like kama utampigia Magufuli.
Haya Twende kazi.
Mayogu retweeted
🤣🤣🤷🏽♀️🤷🏽♀️🤷🏽♀️ Kwa kweli nimecheka mpaka natoka machozi.
This post is from a suspended account. Learn more
Mayogu retweeted
Tuachane na upande wa Rais embu twende kwa wabunge
Retweet kwa @halimamdee
Like kwa @Bgwajima
Mayogu retweeted
Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Retweet kwa @TunduALissu
Like kwa @MagufuliJP
Mayogu retweeted
Replying to @geoffiejeff
Unatafuta mascreenshot unayopenda...unayaweka ili kujustify hoja yako😁😂😂😂😂😂 Kaa kwa utulivu

























