Pinned Tweet
Kila nikijitahidi nimuone Mwigulu Nchemba kama Waziri Mkuu nashindwa
Yaan inakataa kuingia akilini namuona kama Msanii msanii Fulani
Britanicca retweeted
Nauza account Ina followers 91K kwa 1M
Nyingine Yenye 10K nauza kwa 250,000
Ya 2000 followers ni 70,000
Britanicca retweeted
Haina madhara
Mara ya mwisho Rais aliyeko madarakani chama chake kushinda midterms ni 2002 (Bush.. tena kutokana na effect ya 9/11) Kabla ya hapo Clinton (1998) na Roosevelt (1934)
Ukishika Ikulu lazima ugaragazwe midterms.
Kwenye siasa za Marekani haiwezekani kabisa kushinda Urais na midterms
Mazoea ya Marekani ni Ukishika Ikulu, lazima ugaragazwe kwenye midterms. Midterms huwa ni kura ya maoni dhidi ya Rais aliyepo madarakani.
Tangu Vita vya Pili vya Dunia, chama cha Rais kimepoteza wastani wa viti 26 kwenye House kila midterms.
Kushinda midterms kama chama tawala ni MIUJIZA, na imetokea mara 3 tu kwa miaka 90 iliyopita:
1. 1934 - Franklin D. Roosevelt
Ameongeza +9 House na +9 Senate. Watu walipiga kura kwa sababu ya New Deal yake dhidi ya Great Depression.
2. 1998 - Bill Clinton
Ameongeza +4 House, 0 Senate. Hii ilikuwa kwa sababu Wamarekani walikasirika na Republican kutaka kumfukuza kazi Clinton kwa kashfa ya Monica Lewinsky. Uchumi ulikuwa vizuri sana na approval yake ilikuwa 66%.
3. 2002 - George W. Bush
Ameongeza +8 House na +2 Senate. Hii ni ile unayosema, ilikuwa effect ya 9/11. Uzalendo ulikuwa juu, watu walimpa Bush support.
Kabla ya hapo, ilikuwa 1902 - Theodore Roosevelt.
Kwa hiyo kauli yako ya pili nayo ni sahihi - haiwezekani kisiasa kushinda vyote viwili kwa nguvu. Ukishinda Urais, utalipia gharama kwenye midterms. Hata Obama 2010 alipoteza viti 63, Trump 2018 akapoteza House, Biden 2022 akapoteza -9 House ingawa alishinda +1 Senate. 9968
Ndiyo maana 2026 kwa Trump tena itakuwa mtihani mkubwa historia iko dhidi yake.
Kule JF tarehe 18 niliwadokeza kwa code jinsi ambavyo Makonda na Msigwa wamekula pesa ya ujenzi wa viwanja!
Leo yameibuka bungeni
鉁嶏笍鉁嶏笍鉁嶏笍
Hukumu ya Lissu watu wataumbuka Vibaya sana na haipo watu mnavyofanya speculation!!
Mara kabudi kavuka kwenda Zanzibar kupeleka hukumu, kwani kabudi ni nani hadi aandae hukumu?
Ukipewa Habari kuicharaza kwanza tumia akili si kila unachopewa unarusha tu!
Keshokutwa si mbali
Machoko wanakaribia kurudi madarakani, mlengo wa OBAMA!
Shetani mkubwa
Britanicca retweeted
Replying to @Kipanga1986 @amina_hafidh
Anakataa kuwa Kisamvu hakijaguswa Alafu unaendelea kusisitiza kuwa nyuma yake ? 馃榾
We Mzee acha UPUUZI acha kutisha watu nawe utasagiwa kunguni sasa acha UPUUZI acha watu waandamane ni haki yao cha msingi wasivunje sheria
Britanicca retweeted
Uanaharakati si Kuchafua nchi bali kuwajibisha Viongozi wasio makini ila nchi unaiweka safi, NENO HARAKATI LINATUMIKA VIBAYA SANA
Britanicca retweeted
Wananchi na wanavyama muwe makini na Wanaharakati Wengine
Nilishangaa siku moja Mange anasema 鈥淣AONA HARAKATI HUWEZI ZIFANYA TWITTER MAANA WANANCHI WENGI HAWAKO TWITTER,BORA FACEBOOK NA INSTAGRAM HIVO NAOMBA MUHAKIKISHE MNAMUANDIKIA META WANIFUNGULIE ACCOUNT ZANGU ILI馃憞馃従馃憞馃従
Replying to @Britanicca0 @AbroadTanzania
Kaongea sana mwisho anakua anasikika kama anapiga makelele wakat anajiona anaongea, chama kina utaratibu wake na mambo ya msingi huenda kwa vikao sio 馃棧
Britanicca retweeted
Ukiwa unafanya harakati Tanzania muda mwingine Changanya na akili yako! Watu wanafanya harakati kulingana na Ana chuki na nini au na Nani si kwa nchi 馃憤馃徑
This quoted post is unavailable.
Tuliyaona yanakuja haya














