Cute Maria retweeted
Ktk siku umejikoroga jn umefika MWISHO fata ushauri wa kaka Kubenea ktk jambo linalopingwa na watu wengine nn unapashwa kufanya ? Ameeleza kwa lugha ya falsafa pengine kutafsiri ngumu ! Ukija kumwelewa utakuwa umechelewa nabii.
Cute Maria retweeted
Somo la press ya Lema kwa Watanzania, wanaharakati ndio watu pekee wenye interest za wananchi at heart, wanasiasa sio wa kuwaamini.
Watanzania jiulizeni damage ambayo Lema angeendelea kuifanya nyuma ya pazi kama @MariaSTsehai @HildaNewton21 na mimi tusingemkalia kooni these past few months.
Tumemkalia kooni mpaka kadata akavua mask and showed his hand. Sasa nchi nzima tunajua jinsi ya kwenda nae.
Mwanzoni kuna wananchi walikuwa na doubt na yale wanaharakati tulikuwa tunasema juu ya Lema ila leo Lema mwenyewe kaondoa all doubt.
Watanzania, wanaharakati wenu ndio angels Mungu amewapa ili haki ipatikane…. Sisi Mungu katuweka hapa ili tuzuie siasa za kishetani kufanyika.
Imagine 3 women tumem-stop Lema on this tracks!!!!!!!
Mange, Hilda. Maria … blah blah blah
Alafu tena Mange kisha Hilda alafu Maria 😁
Dude!
Eniwei Abdul masharti yake magumu niliwaambia pesa huwezi kulamba ukabaki mpambanaji!
Lazima utimize masharti au ..
Wanawake tunawakosesha usingizi mibaba mizima kutwa wanatusegenya kwneye magroup kama mabinti!
Sisi hatutatetereka!
#TutaelewanaTu
Cute Maria retweeted
Rest in Peace baba, ulitubu kabla ya kifo chako. Ulihakikisha unaawacha Watanzania na ukweli kabla hujaenda.
Imagine ungekufa kabla ya ile interview kina Mange milele tungeishi watu waki tu doubt ila you cleared it kwa ushujaaa na ujasiri.
Uligoma kukutana na Mungu wako kabla hujaongea ukweli juu ya serikali hii inayofosi “mhaini” aombe msamaha. Kumbe kesi ni ya kuomba msamaha tu. Sasa hiyo mahakama si inafanya uhuni tuu maana wamiliki wa mahakama wanataka kupigiwa magoti tu.
Cute Maria retweeted
Thank you so much Sir @robertamsterdam 🙏 for standing with Hon @TunduALissu till this time , on behalf of all people who want Justice for him all around the world , we say God bless you 🙏 and thank you.
On the first anniversary of Tanzania’s sham elections, the brutal repression of political opposition and continued arbitrary detention of our client @TunduALissu expose the authorities’ contempt for their own people. The Commonwealth can no longer stand by. It must take decisive action against Tanzania’s government.

Replying to @robertamsterdam @TunduALissu
Much Appreciation! 🙏
Tanzanians deserve Peace, Justice, and Accountability. #Enough
#FreeTunduLissu #FreeTwahaMwaipaya #MO29
#Tanzaniamassacre
@AJEnglish @opinion @SkyNews @BBCWorld @nypost @nytimesworld @EconUS @USAmbTanzania @IntlCrimCourt
@latimes @washingtonpost
@cnni