Nachukia international break ila hii ya safari hii imekuja kama ambulance kuokoa maisha yangu, naipoke kwa mikono 2.
Kama ligi ingeendelea, majeruhi tulio nao, Soon tungekuwa tunaomba ball boys wavae viatu wacheze.
Maana sasa hivi bench langu linaonekana kama ward ya wagonjwa.
Chelsea wako tayari kutumia Milioni 10 kununua watoto 20 wasio na maana kuliko kutumia Milioni 100 kununua mchezaji mmoja mzuri.
šØš£ EXCLUSIVE: Chelsea send official written proposal to Barcelona for FermĆn López!
Initial proposal worth ā¬40m has been submitted this afternoon right after the game.
#CFC awaiting answer from BarƧa after sending a proposal today.
2-1, 85th minute. Arteta would've gone full dark arts, parked the bus and made them suffer till the 90th.
But this idiot? He's pushing even higher. Still playing that suicidal high line.
We scored a second but that motherfucker still won't drop deep to protect the lead while attacking through counter attack. He'll keep that suicidal high line and risk everything.
I'm done. That German bastard has to GO.
De Jong at RB with Balde rotting on the bench? Just shift Cancelo over, it's that simple.
Hansi Flick is a stubborn bastard. Fucking Hitler's descendant needs to GO.
My left winger defends better than my left-back, and my left-back attacks better than my left winger. At this point, Barcelona isn't playing football, we're just conducting a positional identity crisis.
Aston Villa iliyocheza na Barcelona, ikabebwa na Mungu isifungwe tano Leo hii ndiyo imekuja kucheza na United tena wana confidence ya pep guardiolas Barcelona, Wanajua United wakifunga na wao wao watafunga zaidi yao.
Beryen, Chelsea, Madrid, A. madrid na hata huyu United wote wanahitaji Top Goalkeeper for their Future.
Huyu Suzuki anafanya interview uwanjani bila hata kutuma CV.
Villa, waanade tuu Account number mapema.
Jackson kaenda Bundesliga maisha yamemshinda karudi Epl ghafla tuu he looks like 2002 Ronaldo De limaš
Kwasababu wanajua mna pesa, wanawauzia player wa £40M kwa £100M. Mkishamnunua mnategemea performance ya £100M, kumbe mchezaji ni wa £40M tu. Hapo ndipo uhalisia unajidhihirisha.
Wale midfielders watatu wa City hakuna anayestahili £100M. Mnanunua majina, Brighton wananunua mpira!
Few years Ago
"La Liga ni league ya mazoezi bana! Huku EPL Trent anatoa assist 15 , akihamia La Liga anafikisha 50 mpaka anaanza ku-assist hata wale wanaokaa benchi!š®"
Madueke akiendelea hivi, mwakani mda kama huu Saka atakuwa anafundishwa kifaransa na Mbwana Samatta huko le Havre AC wakijianda kucheza na wakina Macabi Tel aviv kwenye conference league.
The Greatest Metatronš„ retweeted
Mtoto wa Raisi wa Kenya amenyenyekea Mwanaume mpaka ameolewa. Kuna wewe na salary yako ya Tsh 500k-1.5mil unasema huwezi nyenyekea mwanaume. Shenzzy,
Games za leo zote zinaonekana ni WIN! Unaweka mkeka na confidence ya CEO anayesaini mkataba wa milioni 100. Unajiona tayari na unapanga matumizi ya winnings,
Sasa subiri baade uone vile Muhindi anakufanyia, Utashanga kuna Timu inashindwa kufunga hata mlango wa dressing room!
Sasa hapo wana utofauti gani na madueke, Mechi 99 goli 17 tuu, wote si matapeli tuu hao. Na hayo magoli 5 kwenye league si ndio anafunga Antony la liga alafu mnasifia eti amejipata la liga, nyie watu ni wanafki sana










