Mtu ambaye time anatoa ngoma yake ya "Kafiri" ft Kanana, Kuna line anasema "Sa hii niko na wife anaexpect, Sa hii niko na 3 albums na 6 mixtapes" then Dj Stingo anasema ni Scammer. Hii kitu imenisumbua siku nzima bhana, Stingo anachizi au !? Smh!
DJ Stylez calls King Kaka “the biggest scam” in Kenyan music, claiming he’s overrated with no memorable catalogue.
#NTVBeatzNBuzz
91
Pale Mtaani Kwa Siku ni 6k na Mwezi ni 100k, Unatumia Equipments zote !!
This quoted post is unavailable.
1
31
Hapa napo Stingo alichoma bhana, King Kaka huyu ambaye Mimi wa Huku Mivumoni kwa Gym Playlist yangu ina Ngoma zake ka 16 hivi ndio anasema watu hawajui his music catalogue !? Smh !!
"I genuinely think King Kaka is the biggest scam in the music industry. People look at him like he is a big artist, but they can't name his music catalogue." – DJ Stylez
75
Jamaa hapo mbele yuko Rada kinoma. Anascan Kiwanja Kama Prime Xavi Bhana then Mkono uko Tayari kuchomoa Bastola Anytime. Jichanganye Sasa, Hutoamini !!😂😂😂
60
RT...Kuna Kajamaa kako Kijijini Nimekaacha miaka 7. Juzi kananipigia simu kamepata mtoto mwingine wamempa jina langu, Kukauliza so huyu wa Ngapi ananiambia ni wa 5. I was like bro uko na watoto wa 5 na haujafika 30 !? Watu huko Nje Wanazaliana Bhana!!😂
1
54
AFCON ni hapo Next Year, Any Plans za Halmashauri ya Jiji Kuboresha Coco Beach !? Au tutaacha tu wageni waje kuogelea na kubarizi ikiwa rough, disorganized and dirty hivi !? Majamaa hawaoni hii area kama kivutio cha wageni ama !? Smh !!
45
Ulisema Ni T-Shirt hadi Statehouse au Sio !? Ngoja Tuone Ndindi Atasemaje hapa Umevaa T-Shirt kwenye Meeting !!😂😂
Happening…receiving a delegation of leaders and aspirants from Makueni, Machakos and Kitui Counties, led by @LindaMwananchi_ DPL Hon. Patrick Makau at LMHQ
#LindaUkambani
67



















