Ruthy❤️ retweeted
Little chat na mtoto mzuri @Neypaul01
Mkoba kama wangu upo Fashion Oasis Sinza Mori
Tunatambua na kupongeza tuzo za Malikia wa Nguvu kwa kuitambua sekta hii muhimu. Mapambano dhidi ya ukeketaji na ukatili wa kijinsia sio tu ya kimwili bali yana madhara makubwa kiakili pia. Asante kwa kusimama imara! 💙✊🏾
Linda afya yako ya akili😘























