el ngize retweeted
#ReggaeVibesKbc From 14:00hrs
kbc.co.ke/radio
Kidonda cha moyo hakiponi kwa chai na mandazi 🤔🤔.
Hata hivyo, #ReggaeVibesKbc twaponya roho.
Furahiday yako iko vipi lakini mpendwa mskilizaji??
#ReggaeMusicSoNice
el ngize retweeted
#reggaevibeskbc O'clock ticking.
kbc.co.ke/radio
el ngize retweeted
#ReggaeVibesKbc from 2PM
KBC Radio Taifa
kbc.co.ke/radio
Tumbili anayependa vioo huishi na hasira 🤔🤔.
Leo mlisema tuwekelee Classic Riddim Vs Full Attention Riddim eh..
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm in a Riddims style.
#ReggaeMusicSoNice
Kuku kuku, jogoo jina tu 🧐 🧐.
Hata hivyo, Eid Mubarak kwa ndugu zetu Waislamu.
#ReggaeVibesKbc Furahiday edition, hapa raha na burudani tosha.
#ReggaeMusicSoNice
Umeme hauna kiuno lakini waongoza kwa kukatika 😂😂.
Hata hivyo, jo tukatike na riddims kuanzia 2pm - 4pm.
Na leo kwenye mizani kinarudiwo, Caribbean Soul Riddim Vs Jamaica Rock Riddim.
#ReggaeVibesKbc mpango tosha.
#ReggaeMusicSoNice
Kila mwanaume ni mjinga kwa angalau dakika Tano kila siku, Hekima ni kutovuka kikomo hiki.. Wueeh 🙆🏾♂️🙆🏾♂️.
Hata hivyo, tuna shughli hapa.
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm. Kwenye mizani leo, Outcry Riddim Vs Sweet Yuh Riddim. Hapo vipi wakuu??
#ReggaeMusicSoNice
Waaminifu wapo, shida hawana miili na sura mtakazo 🤔🤔
Hata hivyo. #ReggaeVibesKbc hewani kuanzia 2pm.
Soko ni ya muda leo, Riddims bei ya jioni.
#ReggaeMusicSoNice
Akili ya kuambiwa , changanya na yako 🤔🤔
#ReggaeVibesKbc tbt edition ndio mpango 2.19pm - 4pm.
Njoo tumumunye reggae ya kizee aisee..
#ReggaeMusicSoNice
el ngize retweeted
Wakuu, ati Kidevu kamwambia ndevu nini ..🤔🤔🤔
Anyway, #ReggaeVibesKbc Monday edition hewani 2pm - 4pm.
#ReggaeMusicSoNice
el ngize retweeted
Walisema ya kale hayafanyi nini..
Hivyo basi ,Seasons Riddim Vs Drop Leaf Riddim kwenye mizani.
#ReggaeVibesKbc mpango tosha.
#ReggaeMusicSoNice.
el ngize retweeted
Back a yard!!
Yaani tuseme leave huisha hivyo jameni 🙆🏾♂️🙆🏾♂️. Anyway, tupatane hewani 2pm - 4pm for some pure authentic vibes.
#ReggaeVibesKbc
#ReggaeMusicSoNice
el ngize retweeted
Reggae, Riddims & Dancehall.
From 14:00hrs on KBC Radio Taifa
#ReggaevibesKBC
kbc.co.ke/radio
el ngize retweeted
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm.
Kwenye mizani leo World Fete Riddim Vs Bashment Time Riddim.
Ndio hiyo wakuu, kamati naambiwa hawaongeleshani 😅😅.
#ReggaeMusicSoNice
el ngize retweeted
Ukitaka uzuri, sharti......
#ReggaeVibesKbc Furahiday edition hewani 2pm - 4pm.
Na si itubambe pamoja wakuu..
#ReggaeMusicSoNice – at Nairobi, Kenya
el ngize retweeted
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm.
Mkisema tunawekelea..
Fair Ground Riddim Vs Bubble Gum Riddim. Shughli ya leo ndio hio.
Twende nalo basi wakuu..
#ReggaeMusicSoNice – at Nairobi, Kenya
el ngize retweeted
The killer squad boss, DIG Eliud Lagat. #ArrestEliudLagat
el ngize retweeted
If you see a tweet with #ArrestEliudLagat retweet it. Doesnt matter if satan himself tweets it. Tutapigana kesho
























