Wanafunzi wa Makavazi ambao ni wafanyakazi wa KKKT kutoka Makao Makuu na Dayosisi saba (7), wakishiriki ziara ya mafunzo katika Ofisi ya Rais – Nyaraka na Kumbukumbu, jijini Dodoma, pamoja na Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Zanzibar
facebook.com/share/p/1PsU1Ug…
Mkurugenzi wa Wanawake na Watoto wa KKKT, Luhekelo Sanga, akizungumza na wanafunzi wa darasa la Kipaimara kutoka Usharika wa Engarenarok, mara baada ya wanafunzi hao kutembelea ofisi za Makao Makuu KKKT zilizopo jijini Arusha...
facebook.com/share/p/1Crf3v5…
1
149
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa, amesema hospitali za Kanisa haziponyi miili pekee bali pia roho kupitia huduma zinazotolewa kwa upendo....
Bofya link kwa taarifa zaidi
facebook.com/share/p/1CJnpSR…
6
200
Askofu Dkt. Mollel amezindua mradi kukabiliana na Tabianchi huku lengo kuu la mradi huo likiwa ni kuimarisha ustahimilivu wa jamii dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia usafiri endelevu wa baiskeli za umeme (E-Bike)...
facebook.com/share/p/1K2TSce…
3
107
Katibu Mkuu KKKT Rogath Lewis Mollel na Mchg. Dkt. Themba Mkhabela (kushoto), Mkurugenzi wa Ukanda wa Afrika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Amerika (ELCA) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mara baada ya kikao...
facebook.com/share/p/18GEipr…










































