@Eng_Matarrai
iAccount based inGermany!
About this account
- Account based in
- Germany
- Connected via
- Tanzania Android App
! X says this location may be affected by a proxy or VPN.
Account-level information from X, not a live location or the device used for a specific post.
Father| Mineral Processing Engineer| Human Right Activist| Paralegal |Member @ChademaTz | @ManUtd | Boss Himself | StoryTeller| 430'2023|WhatsApp +255719542184
Serengeti, Tanzania
Joined July 2020
- Tweets57.8K
- Following980
- Followers30.1K
- Likes57.9K
Pinned Tweet
NANI ALIYEMUUA SOKOINE?
#UZI
🔲Mnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro).
JAPHET MATARRA retweeted
#TajiriLaKihaya
Hoja yako ina sehemu muhimu, Haki inaweza kucheleweshwa na momentum ya kisiasa inaweza kubadilika. Lkn hapa ndipo nadhani hoja yako inahitaji kujengwa upya.
Siku zote kucheleweshwa kwa haki si ushahidi kwamba mapambano yameshindwa.
Nakujibu kwa mifano 👇
1/7
#TajiriLaKihaya
Kama unaamini Tanzania kuna HAKI, basi unaweza kuwa unajiandaa kwa “shock” kubwa.
Kwanza, Tundu Lissu amekuwa mahabusu tangu Aprili 2025 akishtakiwa kwa uhaini kesi ambayo bado inaendelea…
Lakini swali langu si tu Lissu atahukumiwa au ataachiwa?
Swali ni,ikiwa mchakato utaendelea kucheleweshwa mpaka muda ambao uchaguzi mwingine umepita, nani atakuwa ameshinda?
Kwa sababu haki iliyocheleweshwa inaweza kupoteza maana yake kisiasa, hata kama mwisho wa siku hukumu itatolewa.
Na tusijidanganye kuhusu kelele za mitandaoni…
Tumewahi kuona watu wakipotea, wakikamatwa au kuuawa; mitandao ikajaa hasira kwa siku kadhaa, hashtags zikapanda, watu wakaomba likes na reposts 200 ili post iende mbali halafu kimya.
Mdude Nyagali, ali kibao, soka,Tesha,Polepole…nk
Hivyo tusije tukajipa faraja kwamba “Lissu akihukumiwa, nchi haitakaa kimya.”
Really? What exactly will happen?
Raia wataandamana?
CHADEMA itachukua hatua gani?
Jamii ya kimataifa itafanya nini zaidi ya statements?
Na sisi kwenye mitandao tutafanya nini zaidi ya kupost mara mbili tatu kuomba watu wa-repost na kusema tufanye hii post ifike mbali? 😂
Hili si suala la Lissu pekee.
CHADEMA, kama kuna njia yoyote ya kisheria, kisiasa na kidiplomasia ya kuhakikisha Lissu anapata haki na uhuru wake kwa wakati, itumike sasa.
Tusisubiri hukumu ndipo tuanze kujiuliza tulipaswa kufanya nini.
Let’s save Lissu kwa njia halali, yenye mkakati na yenye matokeo.
Swali la mwisho…
Unadhani Lissu akihukumiwa kifungo cha maisha au adhabu ya kifo, nini hasa kitafanyika?
Je, tutasimama na kuchukua hatua?
Au tutapiga kelele mitandaoni kwa siku chache, halafu maisha yataendelea kama kawaida kama ilivyotokea kwa wengine?
Hili ni swali ambalo CHADEMA, wapinzani, wanaharakati na kila Mtanzania anayejali haki anapaswa kujiuliza sasa, si baada ya hukumu.
Maana huko mahakamani kutegemea Lissu atapata Haki ni kujidanganya waziwazi…
Kingine hata #Mahatma_Gandhi hakufanya mapambano ya uhuru wa India kama project ya siku chache.
Alitumia miongo ya mobilization, civil resistance na political organizing kabla ya India kupata uhuru mwaka 1947.
#TajiriLaKihaya
Kama unaamini Tanzania kuna HAKI, basi unaweza kuwa unajiandaa kwa “shock” kubwa.
Kwanza, Tundu Lissu amekuwa mahabusu tangu Aprili 2025 akishtakiwa kwa uhaini kesi ambayo bado inaendelea…
Lakini swali langu si tu Lissu atahukumiwa au ataachiwa?
Swali ni,ikiwa mchakato utaendelea kucheleweshwa mpaka muda ambao uchaguzi mwingine umepita, nani atakuwa ameshinda?
Kwa sababu haki iliyocheleweshwa inaweza kupoteza maana yake kisiasa, hata kama mwisho wa siku hukumu itatolewa.
Na tusijidanganye kuhusu kelele za mitandaoni…
Tumewahi kuona watu wakipotea, wakikamatwa au kuuawa; mitandao ikajaa hasira kwa siku kadhaa, hashtags zikapanda, watu wakaomba likes na reposts 200 ili post iende mbali halafu kimya.
Mdude Nyagali, ali kibao, soka,Tesha,Polepole…nk
Hivyo tusije tukajipa faraja kwamba “Lissu akihukumiwa, nchi haitakaa kimya.”
Really? What exactly will happen?
Raia wataandamana?
CHADEMA itachukua hatua gani?
Jamii ya kimataifa itafanya nini zaidi ya statements?
Na sisi kwenye mitandao tutafanya nini zaidi ya kupost mara mbili tatu kuomba watu wa-repost na kusema tufanye hii post ifike mbali? 😂
Hili si suala la Lissu pekee.
CHADEMA, kama kuna njia yoyote ya kisheria, kisiasa na kidiplomasia ya kuhakikisha Lissu anapata haki na uhuru wake kwa wakati, itumike sasa.
Tusisubiri hukumu ndipo tuanze kujiuliza tulipaswa kufanya nini.
Let’s save Lissu kwa njia halali, yenye mkakati na yenye matokeo.
Swali la mwisho…
Unadhani Lissu akihukumiwa kifungo cha maisha au adhabu ya kifo, nini hasa kitafanyika?
Je, tutasimama na kuchukua hatua?
Au tutapiga kelele mitandaoni kwa siku chache, halafu maisha yataendelea kama kawaida kama ilivyotokea kwa wengine?
Hili ni swali ambalo CHADEMA, wapinzani, wanaharakati na kila Mtanzania anayejali haki anapaswa kujiuliza sasa, si baada ya hukumu.
Maana huko mahakamani kutegemea Lissu atapata Haki ni kujidanganya waziwazi…
Strategy huwa inaanza kabla ya hukumu.
Lakini pia tusijenge strategy juu ya assumption kwamba hukumu fulani lazima itokee.
Muhimu sana na tunachoweza kudai ni mchakato wa haki, unaofuata sheria na unaoheshimu haki za msingi.
Au nikuulize swali moja unisaidie kujibu👇
#TajiriLaKihaya
Hoja yako ina sehemu muhimu, Haki inaweza kucheleweshwa na momentum ya kisiasa inaweza kubadilika. Lkn hapa ndipo nadhani hoja yako inahitaji kujengwa upya.
Siku zote kucheleweshwa kwa haki si ushahidi kwamba mapambano yameshindwa.
Nakujibu kwa mifano 👇
1/7
#TajiriLaKihaya
Kama unaamini Tanzania kuna HAKI, basi unaweza kuwa unajiandaa kwa “shock” kubwa.
Kwanza, Tundu Lissu amekuwa mahabusu tangu Aprili 2025 akishtakiwa kwa uhaini kesi ambayo bado inaendelea…
Lakini swali langu si tu Lissu atahukumiwa au ataachiwa?
Swali ni,ikiwa mchakato utaendelea kucheleweshwa mpaka muda ambao uchaguzi mwingine umepita, nani atakuwa ameshinda?
Kwa sababu haki iliyocheleweshwa inaweza kupoteza maana yake kisiasa, hata kama mwisho wa siku hukumu itatolewa.
Na tusijidanganye kuhusu kelele za mitandaoni…
Tumewahi kuona watu wakipotea, wakikamatwa au kuuawa; mitandao ikajaa hasira kwa siku kadhaa, hashtags zikapanda, watu wakaomba likes na reposts 200 ili post iende mbali halafu kimya.
Mdude Nyagali, ali kibao, soka,Tesha,Polepole…nk
Hivyo tusije tukajipa faraja kwamba “Lissu akihukumiwa, nchi haitakaa kimya.”
Really? What exactly will happen?
Raia wataandamana?
CHADEMA itachukua hatua gani?
Jamii ya kimataifa itafanya nini zaidi ya statements?
Na sisi kwenye mitandao tutafanya nini zaidi ya kupost mara mbili tatu kuomba watu wa-repost na kusema tufanye hii post ifike mbali? 😂
Hili si suala la Lissu pekee.
CHADEMA, kama kuna njia yoyote ya kisheria, kisiasa na kidiplomasia ya kuhakikisha Lissu anapata haki na uhuru wake kwa wakati, itumike sasa.
Tusisubiri hukumu ndipo tuanze kujiuliza tulipaswa kufanya nini.
Let’s save Lissu kwa njia halali, yenye mkakati na yenye matokeo.
Swali la mwisho…
Unadhani Lissu akihukumiwa kifungo cha maisha au adhabu ya kifo, nini hasa kitafanyika?
Je, tutasimama na kuchukua hatua?
Au tutapiga kelele mitandaoni kwa siku chache, halafu maisha yataendelea kama kawaida kama ilivyotokea kwa wengine?
Hili ni swali ambalo CHADEMA, wapinzani, wanaharakati na kila Mtanzania anayejali haki anapaswa kujiuliza sasa, si baada ya hukumu.
Maana huko mahakamani kutegemea Lissu atapata Haki ni kujidanganya waziwazi…
Kama tunataka haki
Tunahitaji ushahidi, sheria, advocacy, pressure ya kitaifa na kimataifa, taasisi, organization na consistency.
Why? Kwasababu historia haikumbuki tu wale waliopaza sauti wakati wa crisis.
6/7