
@mancity @fcbarcelona mamba mentality
Tanzania
Joined December 2022
- Tweets14.3K
- Following2.3K
- Followers2.4K
- Likes70.3K
Pinned Tweet
Hapa ni ngumu sana kuja kuona mtu wa Forex anakubali kubattle kwa namna alivyoelezea mkali @Thereal_taivina
Msikilize hapa chini.
Hivi dhumuni kuu la mtu kusoma huwa ni nini hasa? Kwa sababu, watu wengi wanadai kusoma kumewapotezea muda. Na kama ni kweli muda unapotea, kwanini watu wanapeleka wanao shule kila kukicha?
Msikilize jamaa hapa chini maelezo yake kuhusu kusoma na muda.
2
241
Hawa wadau wa gym za mtaani huwa matokeo ni chap ila shida wanaipata nyumbani, coz wadau ugali wanaokula sio poa. Hakuna Cha diet ๐๐
Jamaa: hivi ni vichaa?
Kwambwa: I think
Hawa wadau unaona kabisa conclusion yao kwa watu wanaohudhuria concerts ni vichaa kisa wanarukaruka na kulipia pesa. Kwa sababu nje na concerts za nyimbo za kidunia Kuna mpaka za kidini.
JAMAA HAYUKO SAWA. ๐ฎ
Latto nimekwambia Boss wako ni msenge anakajeli watu, umekuja na Video ukasema nionyeshe alipokejeli nakuonyesha alipokejeli na kukuuliza nani anawaita vichaa? Hujibu swali unaingia huku unatoka kule.
Tulia Hashtag ya Podcast utapata we tulia tu.
2
118
Jamaa: hivi ni vichaa?
Kwambwa: I think
Hawa wadau unaona kabisa conclusion yao kwa watu wanaohudhuria concerts ni vichaa kisa wanarukaruka na kulipia pesa. Kwa sababu nje na concerts za nyimbo za kidunia Kuna mpaka za kidini.
JAMAA YAKO HAYUKO SAWA. ๐ฎ
Replying to @Thereal_taivina
Sitetei kwa sababu jamaa anatupaga Gigs za kutangaza podcast zake.
Natetea kwa sababu naona jamaa yuko sawa.
Hata wewe kuna mambo ambayo baadhi ya watu wanafanya ila wewe huyapendi na unawaona wanayoyafanya kama hawana akili na ni jambo la kawaida.
Maybe labda useme uliongea kwa sababu ya banter lenu kama wakamaria na watu wa Fx, kuchangamsha watu wako.
But mwamba yuko sahihi kutoa mtazamo wake.
102
Huu ushauri huwa nawaambia madogo hawaelewi na kila siku kanji anawaadhibu.
SIKILIZA ushauri wa mkamaria Hanscana kuhusu hela unayopaswa kubetia.
Hanscana:.....



