Farida Kiobya (@FKiobya) header
Farida Kiobya (@FKiobya) profile picture

|Advocate/Writer|Social Entrepreneur|Strategy and Partnership Associate @HakiRasilimali

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2019
Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)Photo by Farida Kiobya (@FKiobya)
A newly admitted advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts🇹🇿
3
1
12
“Unlike the stomach, the brain does not alert you when empty”- African Proverb
1
21
"Lengo kubwa la utafiti uliofanyika kuhusu Mradi huu wa gesi ni kuangalia ni kwa namna gani unaweza kuwanufaisha  watanzania na kuhakikisha watu ambao wameathiriwa na huu mradi waweze kulipwa fidia" @adamthony Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali #ExtractiveBaraza2024 #JustEnergyTransition
13
22
1,172
📣Attention students and recent graduates! We've got an exciting internship opportunity. Join our team and unlock your full potential with hands-on experience and expert mentorship. Don't wait, apply now and pave the way to your dream career! #Tanzania #NipeDili #Internship
32
3
80
17,265
Chagamoto kubwa wanazokutana nazo watoa huduma wazawa migodini ni ucheleweshaji wa malipo hii inawapelekea kudodora kwa utoaji wao wa huduma. Bado watoa huduma wazawa wanahitaji sana kujiimarisha kimitaji ili kuepuka changamoto hii. #PolicyForumBreakFastDebate #LocalContent
4
7
837
"Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kama NEEC na SIDO huwajengea uwezo wanawake kwenye vikundi na kuwapa mitaji ili waweze kushiriki katika kuuza bidhaa na huduma migodini lakini pia uwezo wa kuweza kushiriki kwenye fursa zingine mbali na madini." - Valeria Makonda
1
5
10
1,100
“Hakirasilimali ni mtandao wa asasi za Kiraia 16, zinazofanya uchechemuzi kwenye sekta ya madini, mafuta na gesi. Nasi tunaamini changamoto pamoja na haki za mwanamke ni zetu sote." @adamthony Mkurugenzi Mtendaji @HakiRasilimali #WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji
6
12
373
Farida Kiobya retweeted
“Mfuko wa @WomenFund_TZ unatambua Wanawake wana mahitaji tofauti, kulingana na maeneo walipo, hali yao kielimu, kiafya, kiuchumi na mengineyo” Gloria Mbia #WomenInExtractives @HakiRasilimali
2
16
32
2,373
Farida Kiobya retweeted
Ili kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya Uziduaji, ni muhimu kuwajengea uwezo wa kukamata fursa hizi kimtaji na kiujuzi. #WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji @HakiRasilimali
1
12
1
22
4,621
Farida Kiobya retweeted
“Changamoto na Haki za Wanawake ni zetu sote” @adamthony Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali #WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji
3
19
28
2,100
Wakati tunaelekea katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, @HakiRasilimali kwa kushirikiana na wanawachama wetu tumeandaa mjadala wa Kitaifa mkoani Shinyanga kuhusu ushiriki wa wanawake katika idara ya uziduaji. #WanawakeNaSektaYaUziduaji #WomenInExtractives
1
7
14
857
Wanachama mbalimbali wakijisajili tayari kuanza mjadala, ambao utaangazia mbinu za kufanya Ili kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya Uziduaji, sambamba na kuwajengea uwezo wa kukamata fursa hizi kimtaji na kiujuzi zaidi. #WanawakeNaSektaYaUziduaji #WomenInExtractives
4
5
248
Farida Kiobya retweeted
Moja ya eneo @HakiRasilimali wanalifanyia kazi, ni kuongeza ushiriki wa Wanawake kwenye sekta ya madini, gesi na mafuta. Mwamko unazidi kuongezeka. #WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji
3
6
510
Farida Kiobya retweeted
Innovation and Technology for Achieving Gender Equality in Extractive Industries. #WomenInExtractives #WanawakeNaSektaYaUziduaji
2
9
21
1,972
Working session on SDG 4 (Quality Education) 💻📊 The session involves analyzing and filling the SDGs tracking tool by stakeholders on the education sector in Tanzania led by @HakiElimu #vnr2023 #leavingnoonebehind
1
4
12
531
Tunayo furaha, Mkurugenzi Mtendaji wa @HakiRasilimali @adamthony kuteuliwa na Waziri wa Madini kuwa Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi (TEITI) kwa kipindi cha 2023 - 2026. @EITIorg @NRGInstitute @ICNLAlliance
4
16
7
37
12,817
"There is no such thing as a self-made man. You will reach your goals only with the help of others." – George Shinn
67
126
6
1,395
118,748