MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa kuanzisha Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), ni kuweza kutumia ujuzi, maarifa na uzoefu alionao katika kuchangia ustawi wa kiuchumi, kijamii na kiafya miongoni mwa Wazanzibari.
m.facebook.com/story.php?sto…