Sio Kwa Ubaya, hii picha hakikisha hauikosi kwenye Simu yako.馃槀馃憡
@Tanfootball @NBCPremierLeag
1
1
961
SAMAHANI MASHABIKI WETU
Jana tumeshinda Goli chache sana, mtusamehe wakati mwingine tutashinda mengii 馃槀馃槀馃槀
@NBCPremierLeag @NamungoFootball
1
1,207
Hawa ndo mlisema wanaitwa wauaji wa kusini 馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀.
Leo tunaoiga kwenye mshono.
@NBCPremierLeag @namungo_fc
2
1,068
Nyie mna uhakika Hawa ni wauaji wa Kusini? Msitake tutumie nguvu Bure.馃槖馃槖
@NBCPremierLeag @Tanfootball @NamungoFootball
1
1,007
Timu zingine bwana Nick Name za kutisha tu, kushinda mechi aah 馃槀馃槀
@namungofc
620
Third kit yetu hii hapa. Huu ni Uzi wa kufuatia DHAMBI kabisa.
Kuna watu tumewapita na matambala yao 馃槀
#JERSEY #wearetanzanite
1
614
Kikosi cha kutufikisha nchi ya ahadi 2024/25
#wearetanzanite
#teammojateampamoja
487
Fountain Gate Fc retweeted
The Club above all.
Next Stop VS Amani Queens. Dec 20, 2023.
Waje wakiwa wamejiandaa馃槂馃檶.
@Tanfootball
Fountain Gate Fc retweeted
Timu yetu ya ushindi dhidi ya @YangaPrincess_
#womenfootball
Watafurahi Leo na wataona maumivu ya huu Wimbo. 馃槀馃槀馃檶
@Tanfootball @YangaPrincess_
Huwa wanaimba "Leooo, Leo ndo leoo, leoo kivumbi na jasho" Sasa Leo tutawafundisha maana ya huo wimbo, maana huwa wanaona Raha kuwaambia wengine. Tukutane Azam Complex Chamazi.
@Tanfootball @YangaPrincess_ @JKT_Queens @azamtvtz @simbaqueensctz
3
564
Mbona hamkutuambia mapema kama hizi tano zinaruhusiwa mpaka huku kwetu?
@JKT_Queens Sisi ni people, tutakutana馃槶馃槶.
@Tanfootball @tplboard @azamtvtz @JKT_Queens
Tunachojua sisi TZ ni kuwa hakuna wa kututisha hapa.
Weka Kibu Denis anawatosha hao.
#AFCON2023
312
Our mission today, Go Talent Boys 馃挭馃挭馃挭
@tplboard @championship_tz @Tanfootball @MbeyaKwanzaFc @MbeyaCityFC_ @FGatePrincess
3
292
Soft touch Magician 馃敟馃敟馃槀馃檶 Hasnath Ubamba.
@FGatePrincess
#FootballManager
2
272
Fountain Gate Fc retweeted
Michezo ya ligi ya #NBCChampionship september 9, 2023.
#NBCChampionship2023_24
@tanfootball @championship_tz @nbc_tanzania
Ondoeni hofu Mashabiki wetu usajili unaendelea tu
@Tanfootball @championship_tz @tplboard @azamtvtz @SportPesaSA
1
2
221





















