Rafiki fresh (@FreshRafiki) header
Rafiki fresh (@FreshRafiki) profile picture

The online fruits ๐Ÿ๐ŸŒ๐Ÿฅ‘ and vegetables๐Ÿฅฆ๐ŸŒฟ๐Ÿ… shop

Arusha, Tanzania
Joined December 2016
Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)Photo by Rafiki fresh (@FreshRafiki)
UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI. Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul. Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo. Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA. Watanzania amkeniโ€ฆ
152
691
41
2,826
162,253
Rafiki fresh retweeted
Challenge Accepted ๐Ÿ‘‹ Piga picha kifaa chako cha kazini..
3
5
22
1,214
Somalia exported 3,718,966 livestock in 2024, including sheep, cattle, and camels, and will approach 4million in 2025, keeping the agriculture sector thriving and contributing significantly to the Horn of Africa nation's economy.๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด๐Ÿช๐Ÿ‘๐Ÿ„
13
1
26
2,201
Rafiki fresh retweeted
Rais Mama @SuluhuSamia umekua ukipambania sana kilimo kwenye awamu yako na umetenga pesa nyingi kuliko awamu zote kwa hili tunakushukuru, Ombi langu kwako hapa X (twitter ) vijana wengi wanafanya kilimo lakini kuna changamoto, Tunaomba kuonana na wewe kwa namna Allah atajalia.
16
22
3
41
2,887
Kuanzia kesho 17 Jan tutakuwa tukizungumzia KIUNDANI Ujasiliamali huu.. Tufatilie #SwahiliAgribusiness
6
10
1
55
2,736
Je kumtoa nje Ng'ombe wa Maziwa (Zero grazed dairy cattle) kunasaidia Nini? Stress - msongo - kupunguza msongo Msongo wa kufungiwa Mtoe mara moja moja. Zingatia 1. Kupandana holela 2. Asiende mbali kukwepa wizi 3. Asichanganyike na ng'ombe wa wengine (kupe & magonjwa yake)
3
14
735
Tired of spending hours building financial reports? ๐Ÿคฏ I just created the ULTIMATE CFO report template in Excel that combines beautiful design with powerful analytics... And I'm giving it away FREE. ๐Ÿ‘‡ Here's what makes it special: โœ… Clean, professional design that executives love โœ… Key metrics front and center โœ… Performance comparisons vs prior periods โœ… Automated OPEX breakdown โœ… Smart visualizations that update instantly The best part? This isn't just another template with random numbers... It's a complete financial command center that: 1๏ธโƒฃ Tells the full story behind your numbers 2๏ธโƒฃ Updates everything with one click 3๏ธโƒฃ Includes space for commentary and insights 4๏ธโƒฃ Makes month-end reporting a breeze I've even added: โ€ป Monthly performance tracking โ€ป Expense composition analysis โ€ป Month-over-Month trend spotting โ€ป Executive-ready formatting No more jumping between spreadsheets or struggling with messy reports. Want your copy? 1. Like this post 2. Repost 3. Comment "send" below (Must be following, otherwise I can't DM) P.S. For everyone asking - yes, this is ALL built in Excel! ๐Ÿš€
349
260
4
504
48,923
Kasi ya kuongeza kilogramu kwa ng'ombe Mzee ni ndogo Kwanini? Ukomo wa kukua umefikiwa Kukua nikuongezeka urefu kwenda juu & mbele na kujenga misuli mipya. Kwaio ukinenepesha ng'ombe Mzee usitumie gharama kubwa. - Chunga - pumba kiasi kdg - usikae na mfugo zaidi ya siku 90
1
3
8
542
Pale kwenye mnyororo wa thamani wa nyama na Maziwa serikali ikajenga coldrooms maeneo potential ya uzalishaji mifugo itaongeza sana thamani ya biashara hizi..
3
14
479
Mchanganyiko wa pumba kipindi cha kukua (ndama) & wakati anakamuliwa.. ni tofauti. Kipindi Cha kukamuliwa ongeza vyanzo vya madini.. (i) Unga wa mifupa (ii) Jiwe (iii) Premix Mfugaji anaelewa๐Ÿ˜
1
8
15
571
Pesa za mfugaji wa ng'ombe wa Maziwa zinarudi muda Gani? Jibu - siku 100 za kwanza baada ya kuzaa Hapa ni muda wa kuweka uwekezaji kupata Maziwa yakutosha! Sasa.. Mpe ng'ombe wako mpk 4kg za pumba yenye madini mengi Majani yakutosha Maji masafi muda wote.
2
10
21
770
Rafiki fresh retweeted
NAS Arsenal don't handwash their jerseys; they dry clean them and move with them all over shirkat because it is the closest they have ever had to a really worthy trophy. They even smile when they see you in one ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I lost a bet.
8
1
2
48
1,663
1 thing that you can NEVER take from me. UTU. Mpaka naogopa to be this humble
2
1
7
370
Tuzungumze ya field Ushauri ni mwingi lakini ondoka na hili.. Ng'ombe wa Maziwa biashara yao ni TIJA Uweze kupata Maziwa mengi kutoka kwa ng'ombe wachache. Fanya haya pia... - weka mpango wa kuondoa madume shambani - Tumia mbegu za jinsia ke kupandisha majike Yako . ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
1
6
20
1,092
Silaha yangu kukabili uharibifu wa mazingira na kuinua uzalishaji Ni kuongeza Tija kukata idadi ya mifugo Kuongeza uwezo wa uzalishaji Kuleta uelewa kwa Lugha rahisi mno Sayansi + biashara (kwa kiswahili chepesi) Gharama ya wino tu. Tshs 10,000/- Mawasiliano kwenye bio
2
6
300
Unajua kuandika andiko la mradi?? Mimi naweza kuandika kuhusu.. "Niche yangu" Yaani.. Biashara ya Nyama nyekundu & Maziwa Nashukuru Business plan nilizoandika Zinapita..๐Ÿ™๐Ÿพ Naamini Kuna mfanyabiashara mkubwa ataanzia kwangu. #swahiliAgribusiness
2
4
15
649
Kama tunakuwa kibiashara basi. . Kila mwaka (siku 365) anatakiwa azae. . Mimba siku ya 60 -80 baada ya kuzaa. . Akamuliwe mpk miezi 7 ya mimba. . Dry off siku 60
1
7
14
642
Almost mid december without any significant rains and fears of another drought year ahead. The race is not for the swift but those who can endure!
5
23
2
193
9,394
Congratulations to me @haroldmafita97 ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐ŸŽ‰
๐Ÿ† Big News! ๐Ÿ“ After reviewing hundreds of compelling entries, weโ€™re excited to announce the winners of the #YouthandElections in Africa Essay Contest! ๐Ÿฅ‡ 1st Place: Philomena Esi Agudu ๐Ÿฅˆ 2nd Place: Oluebube Christopher Offor ๐Ÿฅ‰ 3rd Place: Harold Henry Mafita (@haroldmafita97) Congratulations to these individuals for their creativity and fresh perspectives! Their essays will be published soon, and weโ€™re certain youโ€™ll be inspired. To everyone who participated, thank you for adding your voice to this important conversation. #YouthandElectionsinAfrica
1
3
127
Hongera nyingi kwangu @haroldmafita97
8
5
22
917