Gift retweeted
Replying to @moodewji
Vifaa vya umeme kwa ajili ya kusaidia walemavu wa miguu, kwakweli kundi hili la watu linapata shida sana katika usafiri kufika shule,hospital na maeneo mhimu,tulianza kuwafikia wachache ila kwa kuongeza nguvu kwa pamoja nadhani tutawafikia wengi.Hii ni zaid ya sadaka.0716500160
Gift retweeted
Replying to @moodewji
Kwa sasa itakua bora tukihamia kwenye teknolojia hii ya vifaa vya umeme kuwasaidia walemavu wa miguu, kwakweli itakua ni zaidi ya projecf na sadaka pia. Tumejitahidi kufikia wachache sana, ila nguvu ikiongezwa hapa tutawafikia wengi kurahisisha usafiri. Simu 0716500160.
Gift retweeted
Replying to @Omah_sila @Janielnaa
As @rihanna is pregnant, follow me for a quick follow up. I @SunnyAsare is single & ready to make you pregnant.







