Josee The Great retweeted
Sarafina Kifaru kutoka mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto akizungumza kwenye kongamano la vijana la vijana la #YoungandAliveSummit kuhusu namna njia za mawasliano za kidigitali zinaweza kutumika kwenye kutoa taarifa sahihi kuhusu masuala ya afya ya uzazi kwa vijana.
Josee The Great retweeted
Exciting progress! 🚀 Just wrap up a successful PY4 Planning for #USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto project. Looking forward to see our plans turn into impactful actions. @JhpiegoTanzania @USAID @elimuyaafya
Josee The Great retweeted
Dr. Maria Matei ni mmoja wa wanafuika wa mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto kutoka hospitali ya rufaa mkoani Katavi. Mradi umemjengea uwezo wa ziada unaomuwezesha kuhudumia watoto njiti. Juhudi za namna hii zinalenga kupunguza changamoto ya vifo vya watoto wachanga nchini.
Josee The Great retweeted
📢📢 CALL FOR PROPOSALS now open for Biodiversity Conservation and Sustainable Community Livelihoods projects in #Kenya and #Tanzania.
Apply and learn more here 👇🏽: eeas.europa.eu/delegations/k…
Josee The Great retweeted
Hello #Tanzania students!
🔸Are you aged 21 - 26?🙋🏾
🔸Got awesome English + Swahili writing skills?✍🏾
🔸Mad social media skills?💡
...Then DM us your email for a chance to intern at the World Bank Tanzania office!🚀
⏰DM deadline: Tuesday, March 26, 2024!
Josee The Great retweeted
DHIS2,
eLMIS,
HFR,
VIMS,
UCS-WAJA App,
GoT-HOMIS,
IMES,
CTC2, CTC3,
DHIS2-ETL,
HRHIS
Vitabu vya MTUHA n.k
Mhe. @ummymwalimu tuna mifumo mingi sana. Tunahitaji kuona mifumo hii ikilishana taarifa, itatusaidia sana kuboresha takwimu za afya.
Josee The Great retweeted
Leo nimehudhuria mafunzo kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii yanayoendelea kwenye halmashauri ya wilaya ya Ukerewe. Mafunzo haya yanayoratibiwa na mradi wa #USAIDAfyaYanguRMNCAH yamelenga kuwaongozea uelewa kuhusu masuala ya Uzazi na Malezi ili kuboresha afya ya Mama na Mtoto.
Josee The Great retweeted
Replying to @IdrisSultan
Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini,
-nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
Josee The Great retweeted
Harusi Vibes with @NALAmoney 💍
My heart is brimming with joy as I received a heartwarming wedding gift from my dear friend, @MsokaEmmanuel , all the way from the US!
Not only did he send their blessings, he also used the amazing @NALAmoney to make the process seamless. 🤩
Josee The Great retweeted
WE ARE HIRING ❕❕❕
Join our team and be part of the change.
Visit mdh.or.tz to apply.
We can't wait to have you.
#untileveryoneishealthy
Josee The Great retweeted
Replying to @HamisJoseph
Kwa Enzi zile TX;
Maana yake ni " Mtaalamu" tx walikuwa wafanyakazi wakigeni kutoka Nchibza nje. Experts!
Josee The Great retweeted
Mradi wa #USAIDAfyaYanguRMNCAH umeendesha zoezi la uchangiaji damu kwa siku 2 ndani ya manispaa ya Ubungo. Lengo lilikuwa kupata walau chupa 500 zitakazosaidia kupambana na upungufu wa damu hususan kwa wajawazito. Zoezi lilizinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Hashim Komba
Josee The Great retweeted
📣Request for Concept Notes - ARISE Research Grants | Call for Projects focusing on Gender Equality
☑Non-profit organizations can apply for grants of 20,000 - 50,000 USD.
Visit here to apply: www2.fundsforngos.org/?p=112…
Josee The Great retweeted
‼️Call for Proposals‼️
📣Ashley Lashley Foundation launches Global HEY Climate Fund to assist youth climate activists with a grant for their projects.
⏳Apply before 17 July 2023
Visit here to know more: www2.fundsforngos.org/?p=113…
Josee The Great retweeted
Interested in a career with the UN?
The Young Professionals Programme (YPP) is a recruitment initiative for highly qualified young people.
Applications for the 2023 Young Professionals Programme Exams are now open: careers.un.org/lbw/home.aspx…
Josee The Great retweeted
Replying to @HamisJoseph @Daudence3
Tulikuwa Shirsti Zamani na Muasisi wa Muziki wa Benga. Owing Mesiani! Napenda Momi, Saturday na Kitoga!
Josee The Great retweeted
📊👥 @USAID Afya Yangu is empowering health facilities to boost data demand and promote information use! Through our program, we're assisting facilities in visualizing their monthly performance, unlocking valuable insights and driving positive health outcomes. #USAIDAfyaYangu





































