HUNTER (@Hunterjay12345) header
HUNTER (@Hunterjay12345) profile picture

It’s all about Entertainment 🎬🍿🎶⚽️

Joined August 2022
Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)Photo by HUNTER (@Hunterjay12345)
Siku ya leo nmepigiwa simu asubuhi kuwa Mama yangu kafariki, Nilikuwa siamini mpaka pale ambapo nimeambiwa nipande gari kwaajili ya kurudi nyumbani kumzika Mama yangu.. Eeh Mwenyezi Mungu naomba unipe uvumilivu,kila nikijikaza nashindwa kujizuia..😭😭😭😭
257
104
10
919
24,777
Nimepoteza Baba mzazi leo 💔🕊️
222
78
12
799
26,860
Saa nane ya majonzi isiyofutika, Muda huu ndio tunaenda kuupumzisha mwili wa Mama yangu makaburini.. Eeeh Mungu naomba uniinue nipate nguvu ya kuyakabili haya mapito..😭😭
53
41
2
314
7,717
Siku ya leo nmepigiwa simu asubuhi kuwa Mama yangu kafariki, Nilikuwa siamini mpaka pale ambapo nimeambiwa nipande gari kwaajili ya kurudi nyumbani kumzika Mama yangu.. Eeh Mwenyezi Mungu naomba unipe uvumilivu,kila nikijikaza nashindwa kujizuia..😭😭😭😭
257
104
10
919
24,777
Who portrayed Michael Jackson the best❔❓
66
22
6
129
10,738
King Of Pop. King of ??
2,707
552
1,818
12,665
9,937,178
HUNTER retweeted
Unakuta watu kitaa wanasema jamaa kafanikiwa kwa sababu kaloga,jamaa kafanikiwa kwa sababu ya wizi wa vitu vya watu. Sasa kama rahisi mbona wewe hulogi au kuiba ufanikiwe sasa. Kuna story zingine jau sana.
24
43
3
66
1,502
EX WANGU. SEHEMU YA 1 . Ilikuwa majira ya usiku Joel akiwa anatua kwenye uwanja wa ndege nchini Tanzania baada ya kutoka nchini Canada kimasomo. Alijisemea" Rebecca atimaye na rudi kwa ajiri yako kumaliza deni la kukuoa ". Joel kwasababu akuja kupokelewa na mtu mwingine yoyote aliamua kutoka kwenda kwenye tax mója kwa mója . Alipanda tax nakumwambia" dereva tax ampeleke Kinondoni jijini Dar es salaam" . Dereva tax alikubari kuchukua mizigo yake nakupandisha kwenye gari lake. " Rebecca mpenzi wangu nimerudi kwa ajiri yako " alisemea Joel anafuraha mwenyewe . Joel alimpenda sana huyo binti aitwaye Rebecca nakumuhudumia tangia yupo chuo. Alienda akiwa yupo nafuraha kukutana na mwanamke aliyependa. " Dereva tax niapo tulishafika " aliongea Joel . Dereva tax alisimamisha gari na kutoka kushusha mizigo ya Joel . Joel alishuka na kuchomoa pesa dollar 6 hivi kumpa dereva tax . Dereva tax alichukua nakuondoka zake kumuacha . Joel alikuwa anafuraha kukutana na mwanamke anayempenda sana. Alibidi agonge mlango wa geti akiwa na furaha sana mwenyewe. Bahati nzuri Rebecca alikuwa ndani mulemule akutoka popote alikuwa na baba mtunzima mwenyewe umri kama baba ake. Rebecca baada yakusikia hodi ikigongwa muda mrefu " sijui atakuwa nani ? alijiuliza na kutaka kutoka nje . Yule Mzee mtu mzima aliyekuwa mule ndani aitwaye mzee Msisili alimvuta " unaenda wapi baby ? aliuliza. Rebecca alijibu akiwa karegeza sauti yake " baby usikii odi jamani ". Mzee Msisili " ok fanya haraka uwahi kúrudi siunajua leo nipo kwa ajiri yako ". Rebecca alimregezea jicho na kujifunga kanga vizuri sana na kwenda kufunga mlango . Rebecca alifungua mlango alishangaa ! kumkuta Joel yupo mlangoni na mabegi yake . " Niwewe Joel ? alijidahi kuliza . Joel " yap ni mimi " alijibu . Rebecca alijidahi " umekuja lini ? aliuliza . Joel alikaa kumtizana " mbona unaniuliza maswali mengi bhana naomba nipite nitakuelezea ndani " alijibu . Rebecca alikuwa kasimama mlangoni akimuangalia tu juu adi chini . " Rebecca bhana unanichelewesha nimechoka mimi naomba nipite " aliongea Joel . Rebecca alibaki kuunyaunya " honey umekuwa handsome kweli Marekani imekupenda sana " . Joel " asantee naomba nipite niingie ndani " alisema. Rebecca alibakia kuunyaunya tu mara hivi mara vile. Joel machale yalimcheza nakujua hapa sio bure kuna namna . " Rebecca unanipisha nípite au vipi ? alisema. Rebecca alibakia kuunya unya tu. Joel alichofanya alimpiga kimpensi nakuingia ndani mója kwa mója . Rebecca akiwa amejishika mikono kichwani . Joel aliingia ndani nakumkuta mbaba umri wa baba ake akiwa kalala kitandani . Alishtuka sana baada" what " na yule Mzee alishtuka sana baada ya kumuona Joel . Itaendelea.. -Nifollow @Hunterjay12345 -Retweet and like 💙 -Turn on notifications
14
53
2
106
10,672
Vile DullahtheKing anaangalia hii vita na kutamani kuchangia ila akikumbuka saivi yeye ni X(Twitter) kizungu anakausha 🤣🤣🤣
49
59
5
383
14,113
HUNTER retweeted
Binafsi mimi mtu akiniomba ushauri kuhusu mtu wake kama ni kuhusu ugomvi. Ushauri wangu huwa ni mmoja ni 'ACHANENI' Hakuna kusema utaonekana snitch wala nini? Mtu akitaka ushauri usimnyime mpe huo atajua yeye.
30
42
78
3,266
Happy Mother's Day! 💜
3
10
27
495
Hii Dunia Bila Mungu ni Nzito Sana..
1
9
60
1,242
Hii Dunia Bila Mungu ni Nzito Sana..
1
9
60
1,242
MAESTRO CHOTA CHAMA
1
73
981
MAESTRO CHOTA CHAMA
1
73
981
Kuna Watu Walijua Bila Msaada Wao Huwezi Kuishi Wakasahau Kua Kesho Yako Anayo Mungu. Tusiache kumtegemea mwenyezi MUNGU kwamaana kila jambo anatoa kwa wakati.✍️
1
4
21
388
Kuna Watu Walijua Bila Msaada Wao Huwezi Kuishi Wakasahau Kua Kesho Yako Anayo Mungu. Tusiache kumtegemea mwenyezi MUNGU kwamaana kila jambo anatoa kwa wakati.✍️
1
4
21
388
THIS. or. THAT
4
6
1
30
1,176
Bro Ukiona Rafikiako anakwambia kwa upole na huruma "Yule mwanamke achana nae" Ujue alishamdinya 😂😂😂
16
26
141
3,111