✧murunga✧ retweeted
Do we have friends who started dating in campus and they're still together and enjoying family life🤔??
✧murunga✧ retweeted
Kudate dame thick sana na wewe uko slim hukuwa tricky, anakuja kwako anavaa boxer zako, zinapanuka sana akishaenda hizo boxer inabidi uvae na suspender.
✧murunga✧ retweeted
Ule mburundiiii alikuwa ananiuzia muturaa ni kama aliiifukuzwa na ruto mamae. Haven't seen him for like a month 💀
✧murunga✧ retweeted
Kama umewekea Harambee stars kichwa cash out sahii na uwekee Amapiano boys kichwa .
✧murunga✧ retweeted
Incase nikose kupata Bibi Mkale itabidi nipige mjaluo signing Bora tu akue mweupe kiasi sahii ningekua nimeekelea kichwa katikati ya sianda nikiscroll TL tu nikiwaguzia Na morning borner
✧murunga✧ retweeted
Mimi ata nipate mwizi akichomwa siwezi interrupt juu sasa nafika kwangu napata wameanua nguo zangu zote.
✧murunga✧ retweeted
Babu Owino amefanya hadi people who never post waanze kupost....SODF is Kenya, Chesaa 😂😅🤣



















