"I’m not afraid of someone who doesn’t even scare me, truthfully — they don’t even know their own tomorrow, not even the one who invented the calendar.
Sometimes, you have to sell poison just to afford milk."
38
Samfurniture and decor retweeted
Zijue tabia 6 za Wanaume wa Daraja la juu
1. Hawalaumu watu wengine kwa matatizo yao.
2. Hawakai kwenye mahusiano ambayo hawajisikii kuheshimiwa
3. Hawajaribu kumfurahisha kila mtu.
4. Kipaumbele chao, Familia na kazi
5. Wanajali afya yao ya akili na mwili
6. Mungu kwanza














