
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
- Tweets7.7K
- Following263
- Followers5.1K
- Likes3.5K
Ratiba ya ziara ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakayoifanya Mkoani Kigoma kuanzia Novemba 3-9, 2026.
Baada ya Kigoma ziara yake itaendelea katika mikoa mingine ya Magharibi, Nyanda za Juu Kusini na Morogoro. Ratiba zake tutawapa.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Huku ni KUENDELEA kuwatisha na kuwakatisha tamaa wanawake hasa wanawake vijana kuingia kwenye siasa
Kuteka kutesa na kuuwa hii inanikumbusha Dafroza Kila siku ni vile sisi wengine tuko tayari kufa @SuluhuSamia huu ni uoga na ushamba wa uongozi
Heri ya siku ya kuzaliwa Kiongozi wa Chama mstaafu @214056942202886 . Tunakutakia kila la kheri unapo timiza miaka 50 hapa Duniani.
Tunakufurahia
Tuna kusherekea
Tunakupenda
Tunakuombea.
Furahia siku yako Kiongozi.
Happiest birthday.
Makamu wa Raisi anaweza kuwa Abdul sio mbaya sasa tufanyeje @SuluhuSamia
Heri ya kuzaliwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Senior Ismail Jussa . Mungu akupe afya njema na umri mrefu wenye mafanikio katika kila jambo. Vijana tunajivunia kwa malezi yako na upendo wako kwetu ,wewe kwetu Vijana ni darasa. Mungu akubariki siku zote .
Replying to @DorothyGwajima1
@DorothyGwajima1 huyu ni kijana aiyepigwa na mabaunsa na huko bagamoyo na sasa Hali yake mbaya amepelekwa muhimbili kutoka bagamoyo, muhimbili wanasema damu imevilia kwenye ubongo anahitaji msaada wa haraka na familia yake haina uwezo,wanalala nje mpk sasa
Viongozi na wanachama wa @actwazalendo wakiongozwa KC @SemuDorothy walikwenda Mahakama Rufaa kusikiliza maombi maalumu dhidi ya kesi ya kupinga uteuzi wa viti maalumu. Kesi hiyo itendelea kesho Juni 2, 2026.
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Siku ya Mtoto wa Afrika
"Bajeti ya Serikali lazima ionyeshe kwa uwazi kabisa uwekezaji kwa watoto wetu.
Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wa @ACTwazalendo
@JaneRithe
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Asante sana chama changu ACT WAZALENDO
Leo Juni 6 ni kumbukumbu ya kuzaliwa wa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe
Sote tunamtakia maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.
Na wewe uliyeokotwa jalalani vipi hii kitu inapanda au @j_kabudi

















