Pinned Tweet
Leo nimepanda gari kurudi home kutoka town. Fare ilikuwa Ksh110, but conductor akatuambia tulipe Ksh50 tu juu โsacco imelipiaโ hiyo Ksh60.
Tangu lini sacco ikaanza kulipia passengers fare? ๐ค
Matatu stakeholders walilipwa, and right now itโs very clear. ๐
Kuna mtu anaweza kuniconnect na form inaeza nipea 750K before the end of this week? ๐ญ๐ Asking for a very ambitious friend.
Ni kama mwenye alipewa tender ya baridi alikua ameenda vacation July ndo amerudi Sasa Na ako ngori mbaya Sana๐๐๐
Enyewe we have a disorganized government,Mbadi anasema kama sio serikali kuingilia kati bei ya mafuta ingekua around 300 and above,on the other hand kindiki anasema ingekua around 400 and above ๐ค
Mchezo wa taoni.
Hii fuel prices are crazy ๐ง wenye hatuwezi work from home we are cooked๐ฉ Wacha nirudi kwetu tu juu wueeh ๐ฅฑ
#Rejectfuelprices
Val๐น๐ retweeted
Muslims announced Eid on Friday so that Christians don't beg for meat because of lent period.
Some of the hardest decisions in life are about our health. Today I met a woman who couldnโt decide whether to start dialysis. In that moment, I was reminded again: good health is the real wealth. Take care of your body while you still can.




