Pinned Tweet
Kapcut 13,000/=
Kanva 5,000/=
Google AI Pro (Gemini, Flow AI..) 50,000 - Mwaka na miezi 6
Piga: 0622 032 919
Wakuu biashara siyo mchezo.
Kuna vita inaweza anzishwa ili kuua biashara yako wao wabaki kwenye market.
Mbaya zaidi unaweza uawa. Biashara haitaki unyonge.
Biashara ni vita hakikisha unakuwa mshindi.
Inabidi tuanze na kushughulika na gharama, taratibu za kuanza biashara mpaka kupata leseni plus utaratibu wa kodi.
Vizingiti ni vingi mno.
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
kitu kimoja muhimu ningekiongeza: Usiandike unachotaka kufanikisha pekee, andika pia gharama, muda na rasilimali unazohitaji kukifikia.
Ndoto bila mpango ni matamanio tu. Mpango bila utekelezaji ni maandishi kwenye karatasi.
Think big, plan smart, execute consistently. 💯
The Godfather retweeted
BRO TO BRO
Usijitoe sana kwa mwanamke asiekuheshimu kwa kigezo cha kujenga uaminifu.
Kila Mwanaume aliewahi kumpa umuhimu mwanamke kwenye maisha yake aliishia kuangamia,Adam alipotezana kwa kumsikiliza Eva,hata Mandela alipoteza nuru kwa kumsikiliza Winnie.
Amka Bro,✍
The Godfather retweeted
Router ya Airtel ni nzuri kama huna router ya Halotel.
Router za Airtel, Vodacom, Yas na Halotel ni nzuri kama huna TTCL Fiber. 😂
Fiber bado ni game nyingine.
The Godfather retweeted
Kuna kundi la watu ni wepesi kuwachoka haraka...
1/Kila akikugusa /ukimgusa kumsalimia lazima akupige kizinga
2/Mtu anae ongea sanaaaaa,aise wanaboa kinoma
3/Mtu wa story za watu...umbea mwingi sometimes na uwongo juu
4/Watu unaowapa michongo ya pesa hawataki...but wakikuona wanapiga vizinga
5/Halafu kuna wenetu wale miyeyusho....utasikia unaona dem flani nimechapa,hata yule nae nimepita nae...😂😂yani kila ukimgusia dem yoyote kitaa kachapa...oya hawa wana miyeyusho kinoma 😂😂😂
Ongeza wako hapa 👇
Tunaelekea mwisho wa mwaka fanya hivi
Chukua karatasi na kalamu kisha jibu haya maswali kwa umakini.
- Unataka kuwa nani?
- Vitu gani unatakiwa kuwa navyo?
- Mpaka sasa umefanya kipi?
- Una mikakati gani?
- Kwa miaka 5/10 mbele kila mwaka umepanga kutimiza kipi?
Think big
Kama hujanileta,
huwezi nirudisha nilikotoka.
Huwezi kuwa mimi
na mimi siwezi kuwa wewe.
Kila mtu na karama yake
kila mtu na njia zake.
Tuliumbwa tuje tutimize
makusudi yetu.
So kama hujanileta
huwezi nirudisha nilikotoka.
Hakuna kitu cha maana duniani kama kupambania ndoto yako.
Watu watakuona hauna maana, hawakuheshimu, wanakudharau.
Baada ya miaka kumi watakusalimia kwa heshima.
Usiiache ile ndoto yako.
Ukishindwa kuitumia vizuri pesa unayoipata, hata upewe 5M kila mwezi huwezi fanya maendeleo kamwe.
Pesa inahitaji discipline. Mafanikio yanahitaji mtu mwenye maono.
Maono yatakulazimisha uanze kidogo kidogo.
Fuata ndoto zako, ipambanie ndoto yako.
Watatokea watu watakupa idea tofauti tofauti. Utaona watu wakifanikiwa maybe haraka kuliko wewe.
Utapewa kila sababu kwa nini ufanye kitu wanachokwambia
Ukweli ni kwamba USIPOKAA UKAHESHIMU NDOTO ZAKO utajikuta unatimiza ndoto za wengn
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
🤣🤣🤣🤣🤣
Ninacho kikataaa ni hiyo brand kununuliwa na mchina.
Wale jamaa kwa niashara za apa na bidhaaa zao hawataki ata brand, wao wenyewe ni brand, ni kitu cha kuleta bidhaa na kuuza na wanauza.
Wasitupange
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
Lakini huyo mteja wa shamba unaeza ukastruggle kumpata kama unaitaka pesa yako haraka tofauti na hisa
Replying to @John_zedev
Kwa uwekezaji wa hisa, angalia:
Rate of Return: Kiwango cha faida.
Compound Growth: Faida inayozalisha faida nyingine.
Risk: Uwezekano wa kupoteza mtaji.
Inflation: Kupungua kwa nguvu ya ununuzi wa pesa.
Mfano: TZS 3M ikikua kwa ROR27.2% kwa mwaka kwa miaka 5, inafika TZS 10M.
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
Inawezekana ikafika ila Kwa nilivyochunguza Uwekezaji wa Hisa sio rafiki kwa mtu mwenye mtaji mdogo.
Kwa Eneo nakuunga mkono japo uharaka wa kuliuza ukiwa na shida ndio changamoto ila kama ni mvumilivu unaweza piga hela zaidi ya hiyo
The Godfather retweeted
Replying to @John_zedev
Kwa mfano kama hisa Moja ni 2000/= maana yake kwa hiyo 3,000,000/= ÷2,000/= utapata shares 1,500 Sasa baada ya miaka hiyo mitano hiyo hisa ikifika TSh 3,000/= utachukua hizo hisa zako ulizonunua mwanzon 1,500×3,000/= ambayo ni sawa sawa na 4,500,000/= kwa 5years













