Le Fafanuzi Champs may come up with monologue kuwa MV Sangara ilikua inajaribu kutest kama wakigonga Bismarck Rock watapinduka.
91
Kuna washua Miyeyu sana aisee kama huyu Baba yake Meghan Markle.. Mzee anakirampasi cha Mlevi wa wanzuki.
147
One thing ni kwamba Wyt People knows how to humble Afrique Prezos.. last time pale kwa Matanga ya Queen walibebwa kwenye Mwendokasi jana wamepangwa foleni ya Ice Cream na wakirudi huku hata Mwenza akienda saloon ni Mwendo wa King'ora.
69
Alhaj lazima alifuatwa atoe 10%+ ya kwenda ili awekeze Raskazone huku akiwa na kumbukumbu za uwekezaji pale Koroshoni akajioonea bora aende zake Lamu.
138
Wananchi beat up Gabarone on & off the pitch, the coach left the match with Ngeu.. they should play at least 5 home games without spectators. 馃榿
141




