Pinned Tweet
Kuna visiting day mzae alikuja kama amebeba chupa ya dasani, fruits na gazeti. Wengine wakisherehekea kuku na chipo nilipewa hiyo chupa nikajam vibaya sana, kuonja kidogo kumbe ni konyagi, zilishika zaidi.
Sheriff retweeted
Unapigwa ngeta na mzungu unaenda kufile case makarao wanakushika ati wewe unatumia drugs 🤧😅😅
Leo tunaweza vibe vizuri na wewe mpaka udhanie it's us against the world alafu kesho I ghost you like you never existed. That's just me. Toxic? I don't think so. Izi attachments za upuusi huwa najaribu kuavoid as much as possible.
Sheriff retweeted
Nishai piga nzi kofi ikiwa kwa thigh ya dem kwa matatu akaanza kusema namharass sexually,wamama wa soko wakaanza kuambia kadere aingize gari police station,sijawai ambia manzi sorry mingi kama zenye niliambia huyo ,na dereva mwenye alikua na hiyo gari alinielewa .
Men fi men
Sheriff retweeted
😂😂 Nimevaa kama mtu ako na pesa, kumbe hata fare ya kurudi home bado ni negotiations! 😭🤣💔
Sheriff retweeted
Kesho naenda Lurambi matanga bna mlete hizo orders za Mkombero fresh fresh mapema🙂🫴🏾
Sheriff retweeted
huwa nashangaa mtu akisema anangoja afike kwa nyumba ndo aive, you can literally light up your blunt and walk around smoking borake ukuwe aware of your environment
Sheriff retweeted
Nimekaa hapa na kina Mutiso taxin zimeshika wananiambia ati ukiwa na salary ya 30k heri uishi kwa nyumba ya 20k ndio ujitume zaidi na upate motivation. Ati ukiwa na salary ya 100k na uishi kwa the same house utakua lazy and comfortable, mairungi iko na mambo

















