Lux🇺🇬 (@LovyDallas) profile picture

yes we can

Joined February 2020
Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)Photo by Lux🇺🇬 (@LovyDallas)
Kwa sasa Tanzania kuna mwanasiasa mmoja tu ambaye akiongea unaweza kusikiliza kwa umakini na kusema “hapa kiongozi anaongea.” Kuna mwanasiasa mmoja tu anayeweza kuongea kisha siku kadhaa baadae ukasikiliza tena speech yake kwa upya ule ule. Anaitwa Tundu Antiphas Lissu, sijaona mwingine.
170
181
14
1,190
95,385
Hii benk Sasa Malalamiko yamekuwa mengi sana Ona Naandika Kama ilivyo Mkuu Nina ishu strange Kidogo! Mi ni Mteja na @NMBTanzania ! Naishi hongkong Mwaka wa 4 Sasa! Nilipokuja hapa Nikataka kutumia Card yangu ya Mastercard kwenye ATM za hapa! Inakataa, nikawasiliana na NMB , wakaniambia nimeomba Kadi nyingine iko branch! Mwezi wa tano, waka Nina mwaka na nusu sijarejea Tanzania! Je nini hiki? Niliwasiliana na NMB kwamba sijawai omba kadi Ila wakasema ipo imeshapelekwa niifate branch dar es salaam (branch X) nikajiuliza swali sijaomba kadi yeyote na niliyo nayo Ina expire 2025 ! Tatizo ni Nini au wanataka kuniibia?
12
7
1
44
13,731
😂😂😂
104
86
14
1,259