
Gospel Artist | Teacher | Husband | Entrepreneur | CEO – @naonavyema & @lugano_kidsshop Brand |Entertainer | Inspirator ¦Serving God with All My gifts Welcome🙏
Tanzania
Joined July 2015
- Tweets47.4K
- Following14.7K
- Followers36.4K
- Likes272K
Pinned Tweet
Naitwa LUGANO EDOM 🎤 🎤 🎤
GOSPEL MUSIC MINISTER
NYIMBO ZANGU ZIPO YOUTUBE
KATIKA CHANEL YANGU
KARIBU UTAZAME AUDIO 🔉 NA UTAZAME VIDEO 📹
MUHIMU ZAIDI BONYEZA SUBSCRIBE
👇 👇 👇
youtube.com/channel/UCqdrSXD…
BONYEZA RT Retweet moja Tu
❤️ Sameheana na vumiliana. Kama Kristo alivyokusamehe, nawe wasamehe wengine. Usibebe uchungu moyoni; kusamehe ni upendo, si udhaifu. 🙏
📖 Wakolosai 3:13
#NenoLaMungu #LuganoEdom
Namwomba Mungu aniepushe na kiburi
..usiache kunijulia hali....jua tu maisha yangu ya leo sio hayo yajayo....Ahadi za Mungu zaja kwangu saa yeyote....Mungu hapangiwi wapendwa.Hata wewe usomae ujumbe huu Mungu anaenda kubadilisha maishaa yako je upo tayari?
Neema ya Mungu iwaokowayo watu wote imefunuliwa nayo inatufundisha kukataa ubaya na Tamaa zote za kidunia haleluya Haleluya Asifiwe Yesu
