
PCVE Expert|Views are mine😉|Justice Lover ⚖️|Quran is my 📖|+259 (Zanzibar)|Ibwera my roots|Co-Founder @kijana_hai| Zanzibar National Coordinator - THRDC
Dar es Salaam & Zanzibar
Joined June 2013
- Tweets22.1K
- Following2.2K
- Followers4.6K
- Likes11.8K
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
UCHAGUZI 29 OKTOBA. Ee Mungu Tunawaombea marehemu wetu raha ya milele. Tuwazike kwa heshima, kuwafariji wafiwa, kuuguza majeruhi, kusaidia waathirika. Tuombe toba kuondosha sifa za taifa letu kwa kutotambua HAKI ndiyo msingi wa yote na haina mbadala. Twakuomba utusikie
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Today, 7th November 2025, we, the undersigned Civil Society Organizations (CSOs), strongly condemn widespread human rights violations that occurred before, during, and after Tanzania’s 2025 General Elections.
These include killings of civilians, unlawful arrests, abductions, enforced disappearances, suppression of media freedoms, an internet shutdown, and denial of due process rights.
There are verified reports of excessive use of force against unarmed demonstrators, including reprisal killings of civilians, some in their own homes. Families have been left traumatized, and children have witnessed violence against their parents.
Journalists were not spared: Master Tindwa (Clouds Media) was killed at his home in Temeke, Kelvin Lameck Mwakangondya (Baraka FM, Mbeya) was killed while on duty, A journalist from Azam Media was seriously injured, and two others, Godfrey Thomas (Ayo TV) and Alphonce Kusaga (Sunrise Radio), were arrested in Arusha. A religious leader, Sheikh Msopa, was shot dead at his home in Dar es Salaam.
We also note reports of mass arrests and detentions of hundreds of civilians, particularly youth, across several regions, many still held without bail or court appearance. For six consecutive days since 29th October, the nationwide internet shutdown restricted access to information, monitoring of elections, and exposure of rights violations, in direct breach of Article 18 of the Constitution and international obligations.
We stand in solidarity with all victims and urge the Government to:
1️⃣ Release all detainees or bring them before the court.
2️⃣ Allow families to bury their loved ones.
3️⃣ Permit independent investigations into the killings.
4️⃣ Prosecute those responsible.
5️⃣ Uphold freedom of expression and the media.
6️⃣ Work toward reconciliation and national healing.
7️⃣ Compensate affected families.
Signed by: LHRC, Twaweza, Foundation for Civil Society, JamiiAfrica, Msichana Initiative, Centre for Strategic Litigation, and Internet Governance Tanzania Working Group.
📄 Full statement attached.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Leo Mei 06, 2025 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Jumuiya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) wamefanya ziara ya kimkakati na kukutana na Uongozi wa Mahakama Kuu Zanzibar. Kikao hicho kimefanyika Mahakama Kuu, Tunguu, Unguja, Zanzibar. Lengo kuu la kikao hicho lilikuwa ni kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kufanya Mkutano wa pamoja kati ya Majaji, Mahakimu, Mawakili na wadau wengine wa haki (Bar – Bench Forum).
THRDC iliongozwa na Mratibu wa Kitaifa Wakili Onesmo Olengurumwa @OlengurumwaO , Suleiman Mujuni Baitani – Mratibu THRDC Zanzibar, Wakili Paul Kisabo @Advocate_Kisabo – Mkuu wa Idara ya Utetezi THRDC na Wakili Shadida Omari – Afisa Programu THRDC Zanzibar, na Wakili Salma Omary – Afisa Programu ZAFELA. Mahakama Kuu Zanzibar iliongozwa na Mrajis Mhe. Jaji Valentina Katema, Naibu Mrajis Mhe. Jaji Faraji Shomari, Mkurugenzi wa Mipango Mhe. Mohamed Salim na maofisa wengine wa Mahakama Kuu Zanzibar.
Katika kikao hicho wamejadili namna ya kushirikiana kwa pamoja katika maandalizi ya kufanya Mkutano wa pamoja kati ya Majaji, Mahakimu, Mawakili na wadau wengine wa haki (Bar – Bench Forum). Kikao kimeafiki kuunda Kamati Maalumu ya kufanya maandalizi ya mkutano huo. Kamati hiyo itajumulisha Mahakama, Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Chama cha Wanasheria Zanzibar, Wizara ya Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar na Sekretarieti kutoka THRDC, EALS, ZAFELA na PALU.
Kikao cha leo ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya kikao cha taasisi zinazohusika na masuala ya haki za binadamu, utawala bora pamoja na wadau wengine wa haki ambacho kilifanyika Aprili 8, 2025 jijini Dodoma na kuazimia kuunda Kamati ya Kitaifa kwaajili ya kuandaa Mkutano wa pamoja kati ya Majaji, Mahakimu, Mawakili na wadau wengine wa haki (Bar – Bench Forum).
Vilevile hii ni sehemu ya utekelezaji wa mradi ambao Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya ya Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) na Jumuiya ya Wanasheria wa Afrika (PALU) unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) unaolenga “Kuboresha Utawala wa Sheria, Utawala Bora, Nafasi ya Kiraia, na Uwajibikaji nchini Tanzania kupitia Ushirikiano Ulioimarishwa.”
*Imetolewa na:*
*Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC - Zanzibar)*
*Mei 06, 2025*
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Building Strategic Engagement and Partnerships among rule of law actors. With me are Chief Justice of Zanzibar, Hon. Khalid Ramadhani, Chief Kadhi, Hon Shekh Othman Omary, Deputy Kadhi , Registrar’s HC Zanzibar , President Zanzibar Law Society and representatives from PÀLU , EALS, ZAFELA and THRDC -Zanzibar.
THRDC Zanzibar plays a fundamental role in ensuring judicial reforms process are effective, inclusive and based on human rights approaches. We are very proud to see the current progress made by the Judiciary of Zanzibar for past few years. For the last few years the Judiciary of Zanzibar has made a significant change in upholding the rule of law, judicial reforms, access to justice, particularly in ensuring fair administration of justice and strengthening public trust in legal institutions.
This collaboration aligns with Zanzibar’s Judicial Strategic Plan and broader governance reforms aimed at promoting justice and human rights. We also seek to explore opportunities to deepen engagement between the Judiciary, bar associations, civil society, and key stakeholders to improve legal awareness and strengthen civic space protections. @LawyersofAfrica @ealawsociety @TanganyikaLaw @zafela @THRDCOALITION @ThrdcZanzibar @judiciarytz @Mwabuk2Boniface @EUinTZ @SwedeninTZ @MBaitani
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
So excited to have this special visit from ACT Party Leader @SemuDorothy akiwa katika ziara yake ya kutembelea wadau mbalimbali. We value the role of political parties katika harakati za kujenga democracy na rule of law. Tunasisitiza kwa vyama kuweka mambo y’a haki za binadamu kwenye ilani zao za uchaguzi. Vyama vya upinzani jitahidini kuwa pamoja mnapotafuta mageuzi makubwa nchini. @ACTwazalendo
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
A blind person. Very eloquent. Great messages. Perfect English. Very calm. A uniting force. A good leader. Compare with other African representatives. Comment if you must.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
**THRDC Yashiriki Katika Uzinduzi wa Ripoti Muhimu Kupinga Ukatili kwa Watoto Viziwi Dar es Salaam**
Dar es Salaam, 30 Juni 2024 – Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeonyesha dhamira yake thabiti ya kulinda haki za watoto wenye ulemavu kwa kushiriki kikamilifu katika uzinduzi wa ripoti muhimu inayoangazia ukatili dhidi ya watoto viziwi. Uzinduzi huu, uliofanyika tarehe 29 Juni 2024 katika ukumbi wa Lion Hotel, uliandaliwa na Furaha ya Wanawake Wajasiriamali kwa Viziwi Tanzania (FUWAVITA).
Ripoti hii inatoa mwanga juu ya hali halisi ya ukatili unaowakabili watoto viziwi nchini Tanzania na inatoa mapendekezo muhimu kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kupunguza na hatimaye kumaliza kabisa ukatili huu. THRDC, kupitia mwakilishi wake kutoka dawati la watetezi wenye ulemavu, Bw. Emmanuel Majeshi, alitoa pongezi kwa FUWAVITA kwa kazi yao kubwa katika kuandaa ripoti hii, ambayo inaashiria hatua muhimu katika kulinda haki na ustawi wa watoto viziwi nchini.
Mbali na kushiriki katika uzinduzi, THRDC pia iliwasilisha salamu za Mratibu wa Taifa wa Mtandao, ikisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya mashirika mbalimbali katika kulinda haki za watoto wenye ulemavu. Ripoti hii inatarajiwa kuwa nyenzo muhimu kwa serikali, Asasi za Kiraia, na wadau wengine katika kuunda mikakati madhubuti ya kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto viziwi.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Young minds gathered at the @pamoja_youth for the #VijanaMakiniMeetup on June 1st. Led by Mr. @MBaitani, discussions on youth empowerment & participation in the decision-making process in Zanzibar were vibrant and inspiring. Thanks to all who participated and made it successful.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Asasi za kiraia zinazotetea Haki za Binadamu na ardhi zimetoa tamko la kupinga zoezi la ubomoaji wa makazi katika vijiji vinane vinavyopakana na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Katika tamko hilo Asasi hizo zimesema hadi kufikia sasa wakazi zaidi ya elfu 20 wamekosa makazi na wanahitaji misaada ya kibinadamu kufuatia zoezi la Bomoabomoa ambali Asasi hizo zinadai linaongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Nurdin Babu kwa ushirikiano na jeshi la Polisi.
“Vyombo vya dola, hususani Jeshi la Polisi likiwa na Kikosi Chake cha Kutuliza Ghasia (FFU),Wanamgambo na wengine vikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, kwa siku ya tatu mfululizo vinaendesha operesheni iliyogubikwa na uvunjwaji mkubwa wa haki za binadamu kikatiba na kisheria ya kuwahamisha kimabavu wakazi wa vijiji vinane halali vinavyopakana na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)” Zimesema Asasi hizo.
“Maelfu ya wanavijiji hivyo, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto, hawana makazi na chakula baada ya nyumba zao kubomolewa kwa nguvu kwa kisingizio cha kuvamia uwanja huo ambao ulipoanzishwa wao walikuwa tayari ni wakazi wa maeneo hayo” zimeongeza Asasi hizo.
Kufuatia hali hiyo Asasi hizo zimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kusitisha zoezi hilo sambamba na kupeleka misaada ya kibinadamu kwa wahanga.
Pia zimetoa wito wa kusimamishwa kazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, pamoja na Wakuu wa Wilaya za Hai na Arumeru kwa kusimamia zoezi hilo.
Mbali na hivyo zimemtolea wito wa kuunda Tume Huru ya kuchunguza zoezi hilo na athari zake.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Nukuu ya Wakili Onesmo Olengurumwa juu ya umuhimu wa kuweka na kutunza neno la siri binafsi katika vifaa vya kimtandao .
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
ZIARA YA MENEJA PROGRAMU KWA TAASISI YA UMWEMA MOROGORO
Meneja Programu wa Mtandao wa watetezi wa Haki za binadamu Tanzania (THRDC) Bw. Remmy Lema akiambatana na Msaidizi wa dawati la wanachama Bi. Neema Seki wametembelea taasisi ya Umwema (shirika lisilo mwanachama) iliyopo Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro.
Umwema imesajiliwa rasmi 2009 .Taasisi hii imejikitakatika nyanja kuu mbili ambazo ni, utawala bora na afya na lishe.
Umwema pia ilieleza kuwa, mwaka 2023 ilifanikiwa kufanyamradi wa kudumisha Amani, wakishirikiana na taasisi ya TISER (mwanachama) nakweza kuukailisha vyema.
Licha ya hayo Umwema ilionyesha nia na ari ya kujaribu kuwa wasuluhishi wa migogoro ya ardhi, inayoonekana kika maeneo yao ya kazi kama, Tanga, Iringa, Mvomero n.k.
Aidha taasisi ilionyesha nia ya kuwa mwanachama wa mtandao na kukabidhiwa
fomu kwaajili ya kujiunga.
Meneja programu aliwaekezea kiundani kuhusu mtandao na namna unavyo fanya kazi zake, nakuhitimisha kwa kuwapatia baadhi ya machapisho kwaajili ya kupata uelewa zaidi juu ya Mtandao .
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
ZIARA YA MENEJA PROGRAMU KWA TAASISI YA TISER
Meneja Programu wa Mtandao wa watetezi wa Haki za binadamu Tanzania (THRDC) Bw. Remmy Lema akiambatana na Msaidizi wa dawati la wanachama Bi. Neema Seki wametembelea taasisi ya Tanzania Initiative for Social and Economic Relief (TISER) iliyopo Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro.
TISER imesajiliwa rasmi 2012 na kuanza kutoa elimu kwa mabaraza mbalimbali yanayohusu usuluhishi wa migogoro ya ardhi baina ya wafugaji na wakulima katika mkoa wa Morogoro.
Aidha taasisi imekuwa ikifanya tafiti mbalimbali ya namna ya kutengeneza mazingira rafiki baina ya wafugaji na wakulima ili waweze kuishi kwa ushirikiano bila migogoro.
Meneja programu ameipongeza Taasisi ya TISER kwa kuchaguliwa kukusanya maoni juu ya rasimu ya katiba ili kuweza kupata maoni yatakayosaidia kupata katiba kamili. Pamoja na kupata tuzo ya shirika bora la mabalozi wa amani (peace building and conflict management) waliotuzwa mwaka 2019.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
*THRDC YAFANYA ZIARA KWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA BUNGENI DODOMA*
Tarehe 7 Julai 2024, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ulifanya ziara katika ofisi za Bunge na kukutana na Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dr. Pindi Chana jijini Dodoma.
Lengo la ziara hii lilikuwa kujadili mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukamilishaji wa Mpango kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu; Elimu ya Haki za Binadamu Nchini kama msingi wa uboreshwaji wa haki za binadamu nchini.
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao huo, Wakili Onesmo Olengurumwa, ameiomba Wizara kuendelea kuboresha mashirikiano yaliyopo ili kuboresha hali ya haki za binadamu nchini. Kwa upande wake, Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesisitiza juu ya jitihada katika kuongeza kasi ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupinga matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.
Majadiliano pia yalihusisha ushiriki wa serikali katika mikataba ya kikanda na kimataifa ya haki za binadamu na kutafakari njia za kuwa na sera inayolinda na kutambua Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania. Ikumbukwe kuwa mwezi Oktoba 2023, Mtandao huo uliidhinisha Sera Mfano (Model Policy) inayofafanua haki na majukumu ya watetezi wa haki za binadamu nchini.
Waziri Pindi Chana amekubaliana na uanzishwaji wa mpango wa ushirikiano kati ya Wizara na Watetezi wa Haki za Binadamu ili kukabiliana na changamoto zilizopo.
Ziara hii iliongozwa na Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa THRDC na Wakili Nuru Maro, Afisa Uchechemuzi wa Mtandao. @Sheria_Katiba
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
THRDC MEETS WITH THE MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS
On May 7th, 2024, THRDC had a crucial meeting with *Ambassador Dr. Pindi Chana*, Minister of Constitutional and Legal Affairs in Dodoma along with Ministerial Directors of Departments Including Adv. Richard Kilanga (Human Rights); Adv. Emmanuel Mbega (Human Rights) and Edith Shekideye ( Legal Aid Services Unit).
From THRDC Adv. Onesmo Olengurumwa, THRDC National Coordinator led our delegation alongside with Adv. Nuru Maro, Coalition Advocacy Officer. This session was held at Bunge premises to strategize on government involvement in human rights mechanisms and ensuring protection for Human Rights Defenders in Tanzania.
Our agenda was packed with discussions on vital topics including:
1️⃣ Finalizing the National Human Rights Action Plan Two (NHRAPII)
2️⃣ Active participation in regional and international human rights mechanisms.
3️⃣ Advancing the Proposed Human Rights Defenders Policy
4️⃣ Establishing a standing inter-ministerial committee for coordinated state reporting.
5️⃣ Promoting human rights education nationwide.
We wholeheartedly express our appreciation to Hon. Dr. Pindi Chana for endorsing the development of an action plan aimed at implementing the five areas of collaboration to enhance the human rights landscape in our nation.
Hon. Chana also underscored the importance of expediting human rights education to combat gender-based violence (GBV) and violence against children in Tanzania. Furthermore, Hon. Chana has affirmed the government's ongoing partnership with THRDC to bolster the nation's human rights landscape.
We appreciate and commends continued efforts of the Government of URT Tanzania towards the improvement of human rights situation and engagements with CSOs in the country. We're thrilled about the collaboration possibilities to push forward the work we've initiated! 💪 @Sheria_Katiba
#HumanRights #Advocacy #Tanzania
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Kuelekea uchaguzi 2024, 2025, THRDC yaungana na TCD kuwakutanisha wadau kujadili Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa
Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu (THRDC) leo Mei, 8 2024 unaungana na Kituo cha Demokrasia Nchini (TCD) kwa pamoja wadau mbalimbali kuwatanisha wadau mbalimbali kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
Mkutano huo wa Kitaifa unaofanyika kwenye Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) unalenga kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
Miongoni mwa watakaopata fursa ya kuzungumza kwenye mjadala huo ni pamoja na Balozi wa Uswisin nchini Tanzania, Dedie Chassote,Balozi wa Marekani, Mh. Michael Battle,Msajili wa vyama vya Siasa, Mh.Jaji Francis Mutungi, Mwenyekiti wa TCD, Prof. Ibraim Lipumba.
Wengine ni Dr.Rasul Minja kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Wakili Anna Henga, Mwakilishi wa wadau wa maendeleo (DPs), Hodan Adou, unaongozwa na Deus Kibamba ambaye ni Mkurugenzi TCIB, ambapo pia Mratibu THRDC Kitaifa , Wakili Onesmo Olengurumwa ni miongoni mwa wadau waliopo kwenye mkutano huo.
Vilevile viongozi mbalimbali kutoka kwenye vyama vya siasa, Asasi za Kiraia na wadau wa demokrasia nchini ni miongoni mwa washiriki.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Mwenyekiti wa kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Profesa Ibrahim Lipumba amesema serikali haikufanyia kazi mapendekezo yao juu ya hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za Mitaa.
Amesema katika mapendekezo waliyoyatoa kupitia mkutano wa siku mbili wa wadau wa Demokrasia nchini uliofanyika Dodoma mnamo 22 na 23 August 2023 waliazimia mambo kadhaa ikiwemo kukwamua mchakato wa Katiba mpya ili kupata Katiba yenye misingi imara ya Demokrasia.
Hata hivyo kutokana na muda kuwa hautoshi kuelekea chaguzi hizo walipendekeza mabadiliko madogo yaliyohusu uwepo wa Tume huru ya Uchaguzi,kuruhusu mgombea binafsi,Rais kutangazwa mshindi endapo atapata kura zaidi ya asilimi 50 na vinginevyo uchaguzi kurudiwa.
Jambo jingine walilopendekeza ni ushindi wa Rais kuhojiwa Mahakamani.
“ Serikali haikuona umuhimu wa kufanya mabadiliko madogo kwa hivi sasa,ilipeleka miswaada mitatu Bungeni ambayo baada ya mijadala na marekebisho ilipitishwa na kuwa sheria” Amesema Prof. Lipumba
Ametoa kauli hiyo katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari na kujenga uelewa juu ya sheria za uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mkutano unaofanyika leo 08 May 2024 katika ukumbi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salam.
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
Joseph Selasini Asema Tasisi ya Uraias huenda inakwenda kinyume kabisa na dhamira ya Rais Samia ya Maboresho ya Democrasia. Nini maoni yako
Chief Suleimān M. M. Baitani retweeted
When asked what is the most important part of a democratic government, 50% of respondents to the ABA Survey of Civic Literacy said fair & free elections, 30% said balance of power, 8% cited an independent press & 6% said an independent judiciary. More: ambar.org/k8qt9ykq









































