Mtv (@MTVDRC) header
Mtv (@MTVDRC) profile picture

Compte officielle de la chaîne de télévision Malivika TV (MTV DRC) E-mail: [email protected] Tél: +243 990 667 466

République Démocratique Du Con
Joined February 2023
Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)
DRC/Ebola/Butembo Wafanya kazi wa afia wanao saidia kupambana na Ebola wadai malipo yao ya muda mrefu. Wauguzi na madactari wasema wafanya kazi katika mazingira magumu bila kukipwa kwa muda unao faa wenzio wakiambukizwa na hata wengine kufariki Dunia.
49
Waazi washutumu askari tiifu kwa serikali kuhusuka katika shambulizi na mauaji ya watu pa Kantine wilayani Beni.
95
DRC/mapigano Hali ya wasiwasi yaripotiwa pa Kambale Km 7 na bulambika,kambegeti,manyamirera,hadi hombo wilayani kelehe kivu kusini. Wakaazi wa vijiji wakiripoti kuwa wapiganaji wazalendo na jeshi tiifu kwa serikali FARDC wameonekana wakimbia mapigano kwakujilinda.
82
SOS Minebwe ya hitahi msaada wa zarura was Dawa, chakula.
59
Nini mchango wa watumishi wa mungu katika Dunia HII kwa wanadamu. 1 kuwaelekeza kwenda Mbinguni 2 kuwadanganya ili wasifanye kazi zao 3 kutolea mali yao kuwa sadaka 4 kuwalekeza maisha mazuri Duniani 5 kushindikiza serikali 6 kuwa waunganishi 7 kugawa familia ama unyumba za watu
74
Watu zaidi ya thelathini wauwawa na watu wanao dhaniwa kuwa ADF katika kijiji cha katine wilayani Béni.
87
DRC/Kamango/Beni watu wa wili wote wazungu wakamatwa na vyombo vya usalama vya DRC pa kamango Beni kwenye mpaka wa DRC na Uganda. Taarifa zasema watu hawa nikutoka Pakistan uchunguzi ukiendelea hadi sasa.
1
132
Mapigano makali yashuhudiwa wilayani Masisi Kivu Kaskazini na sehemu mbali mbali kivu Kusini kati ya muungano wa jeshi la serikali na wazalendo dhidi ya ARC jeshi la FRN.
64
GOMA. James Swan muwakilishi wa kati Mkuu wa Umoja wa Matifa MONUSCO nchini DRC ahitimisha ziara yake ya kikazi Mjini Goma ambako alikutana na Rais wa FRN Joseph Kabila.
72
DRC/ LUBERO / MAIKENGU: Zaidi ya Nyumba 40 na Pikipiki 3 Zimechomwa moto wakati wa shambulizi lililo tejelezwa na watu wanao dhaniwa kuwa ADF , Jumanne Novemba 3, 2026
80
DRC/Lubero Wakaazi wa kijiji cha Maikengu kipatikancho karibu na Kambau eneo za Mangurudjipa walazimika kukimbia kijiji chao kutokana na mashambulizi ya watu wenye silaha wanao dhaniwa kuwa ADF.Taarifa zasema Duka ziliporwa wakati wa shambulizi mbaya .
69
DRC/Butembo Wafanya biashara wa katika Mji wa Butembo kivu Kaskazini waomba serekali kupunguzia kodi kutokana na hali ngumu ya kimaisha inayo tokana na vita Mashariki mwa Taifa hilo lenye mzozo kwa Muda mrefu. Mjini huo ukiwa na wakimbizi wa ndani wanao kimbia vijiji vyao .
74