
#Tanganyikan| Entrepreneur | Footwear Specialist๐ฅพ๐๐ ITech๐ป& Accessories | Bridging People, Business & Brands | Movies๐ฅ & Film๐ฌ https://nitter.cf/t.co/k7GugOkeqQ |
Tanganyika
Joined November 2025
- Tweets593
- Following708
- Followers1K
- Likes239
Baraka Maviatu๐๐๐ฅพ๐๏ธ๐ retweeted
Naomba Repost 15+๐๐ฝ
RGB LED Floor Mood Lights
Size:120cm
TSh 45,000
โ๏ธ0754604534 au WhatsApp๐๐ฝ
wa.link/agctt5
Daladala zimekuwa uti wa mgongo wa usafiri kwa miaka mingi. ๐๐น๐ฟ
Lakini swali la msingi ni: Je, mfumo wa sasa wa uendeshaji unaweza kuhimili mabadiliko ya teknolojia na upanuzi wa BRT na Trams katika miaka 10 ijayo?
Huu ni muhtasari wa Waraka wa Kimkakati kwa Wamiliki.
๐งต๐1/10
9/10
Mapendekezo Mageuzi ya Miezi 12:
๐๏ธ Miezi 1-3: Tathmini ya mali, madeni na kuunda timu.
๐๏ธ Miezi 4-6: Kuanza mifumo ya kidijitali na mafunzo.
๐๏ธ Miezi 7-9: Kujenga ushirikiano na benki, bima na mamlaka (LATRA/DART).
๐๏ธ Miezi 10-12: Kupima faida na kupanua biashara.
1
108
Mwenye connection tumtafute huyu mzee kwa udhamini wa Safari lager. Halafu tunachapa safari festival kila mwaka kumuenzi legend.
Hapo zinawenywewa safari tuu. Na burudani kwa wingi.
Dar es Salaam haijawahi kula ngombe zaidi 1500 kwa siku kaka. Piga ua garagaza.
Nchi nzima tunakula ng'ombe 12k-15k halafu dar ile ng'ombe 5k peke yake?
Kwa jiji la DSM inawezekana tunakula Ngombe zaiddi ya 5200 kwa siku, Kwa mantiki hiyo tunapaswa kuzalisha Ngombe zaidi ya 6,000 kwa siku. Kama Taifa tungekuwa serious eneo la ufugaji ingekuwa future economic potential. Tuwekeze kwenye uzalishaji wa mbegu bora na viwanda vya Nyama
6
258
Baraka Maviatu๐๐๐ฅพ๐๏ธ๐ retweeted
New Price๐จ
iPhone 18 Pro
256Gb-3,550,000
512Gb-4,200,000
1TB-5,500,000
iPhone 18 Pro Max
256Gb-3,9550,000
512Gb-4,700,000
1TB-6,200,000
All colors available
E-sim only
Non-Active with 1yr warranty
โ๏ธ0652795468
Baraka Maviatu๐๐๐ฅพ๐๏ธ๐ retweeted
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji.
Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32.
Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA
#BajabirAt6
Baraka Maviatu๐๐๐ฅพ๐๏ธ๐ retweeted
OFA YA JOSERA KWA WAFUGAJI.๐
Supramil 5kg: Jumla 43,000 | Rejareja 48,000
Milk Replacer 25kg: Jumla 190,000 | Rejareja 195,000
Frumi Plus 2kg: Jumla 12,000 | Rejareja 14,000
Rimi 2kg: Jumla 10,000 | Rejareja 12,000
Jumla: pc 3+. Ofa kwa muda mfupi!
๐ 0680095351
@mbeziagrovet


























