M2 (@Mic4426) header
M2 (@Mic4426) profile picture

Peeling back the layers of tech jargon to reveal fascinating stories of language, history, and innovation.

Tanzania
Joined July 2023
Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)
๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ต๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram. Uzi uko chini ๐Ÿ‘‡
3
2
14
2,667
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage! Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening! Shuka nami ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4
7
19
4,495
Kampuni ya Qualcomm imetambulisha chip mpya ya Snapdragon 7 Gen 3. ๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚: ๐Ÿ”˜ Ni chip mpya ya simu za Android ambazo zitauzwa kwa bei ya wastani (midrange). ๐Ÿ”˜ CPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 15% ๐Ÿ”˜ GPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 50% hivyo itaboresha games katika simu za Android za bei ya wastani. ๐Ÿ”˜ Imetengenezwa na TSMC katika kiwango cha teknolojia ya 4nm. ๐Ÿ”˜ Inakubali mawasiliano wa WiFi 6E na 5G ๐Ÿ”˜ Inawezesha kamera kurekodi 4K HDR ๐Ÿ”˜ Inakubali display za QHD+ kwa refresh rate ya 120Hz ๐Ÿ”˜ Inatumia kiasi kidogo cha umeme hivyo inatunza charge kwa asilimia 20% Itasaidia simu za bei ya chini za Android zitakuwa na uwezo mkubwa wa kucheza games.
2
10
1,007
Miaka 20 iliyopita zuck aliweza kukutana na mke wake anaitwa Priscilla Chan kwenye chuo Cha Harvard university ilikua party Moja hivi ya wanafunzi walikutana kwenye maeneo ya chooni ๐Ÿ˜€ sio ndani.
1
1
8
655
๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ Sasa watu wataweza kupokea utabiri wa Hali ya hewa kupitia akili bandia imekuja kuchukua taarifa ya masuala ya anga kwa kukupa taarifa kamili kuhusu Hali ya hewa Imekuwaje ๐Ÿค”!! Uzi ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
3
12
32
4,739
Alarm zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena๐Ÿš€
3
5
433
Muonekano mojawapo wa icon za mwanzoni kabisa za YouTube! @YouTube โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
1
5
11
614
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…1777, Articles of Confederation,โ€”katiba ya kwanza ya Marekani, inathibitishwa na Baraza la Mabunge ya Mabara. ๐Ÿฆ…1811, Josรฉ Miguel Carrera alichukua udhibiti wa serikali ya Chile kwa njia ya mapinduzi ya kijeshi, akawa Rais wa kwanza wa nchi hiyo.
1
3
7
473
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…Ya 1666, Mwandishi wa Kiingereza Samuel Pepys aliandika ripoti ya kwanza ya kubadilishana damu-(first report of a blood transfusion), ambayo ilikuwa ni baina ya mbwa wawili. ๐Ÿฆ…Ya 1834, William Thomson, aliingia Chuo Kikuu cha Glasgow akiwa na umri wa miaka 10
1
1
11
656
Kila hatua Chache tunazopiga ni kwa sababu yenu.. Naendelea sana kuwashukuruni nyote kwa hizi hatua chache tunazosogea pamoja Ni kidogo lakini kina thamani kubwa sana Asanteni๐Ÿ™ 1900hrs 300 Followers โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
4
7
553
Gari hiyo ambayo Moja ya sifa yake kubwa ni kuwa na betri imara Ina 800v ambalo unaweza kuichaji kwa dakika 15 na kujaa itakupelekea kuendasha gari lako mpaka umbali wa km 700 sawa na miles 435.
2
1
7
232
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…Ya 1673, Christopher Wren aliteuliwa na Mfalme Charles II wa Uingereza kama mjenzi mpya wa Kanisa Kuu la St Paul la pale London. ๐Ÿฆ…Ya 1979, Ronald Reagan alitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Marekani akiwa huko NYC.
2
5
312
๐Ÿ’จ Shot on Pixel 7 Pro ๐Ÿ“ธ ๐Ÿ“Kariakoo, Dar es Salaam ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
18
13
2
241
15,268
Kutana na Honor X50i+ ni simu iliyozinduliwa 10/11/2023. Muonekano wake umezua gumzo sana na kushtua watu wengi. Je unafikir nini chanzo cha watu kuiongelea sana simu hii?๐Ÿ˜… โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
1
4
14
1,125
๐Ÿ†• WhatsApp imetambulisha mfumo na teknolojia yake mpya ya Relay Servers ambayo inasaidia kuficha IP address za mtu kwenye calls. Mfumo huu haupo by default hivyo inabidi mtumiaji mwenyewe ndio achague option hii kwenye app ya WhatsApp.
3
3
15
1,509
TV YA AJABU ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Aiseee Dunia inakwenda Kasi sana umeshawahi kuona Tv ambayo havunjiki Wala kuhalibika ๐Ÿ˜ƒ.. Angalia hii video TV inauzwa millions 11
5
25
81
9,385
๐Ÿ’ก Samsung na Google zinapaswa kushirikiana ili kukuza soko la Saa-Janja (smartwatch) za Android
1
1
24
670
Honor Magic 6 unaweza kutumia macho yako kufanya yafuatayo ๐Ÿ‘‡ - unaweza kusogeza picha, video, au files jingine kupitia macho. - unaweza kufungua app yoyote iliyopo kwenye simu bila kuigusa bali kutumia macho yako.
1
1
8
323
๐Ÿšจ ChatGPT bado inakabiliwa na matatizo ya kifundi na haipatikani kwa watumiaji wengi. โš ๏ธ OpenAI inachunguza tatizo hilo na inahisi kuna uwezekano wa shambulio la DDoS katika mfumo wake. โš ๏ธ Watumiaji wengi hawawezi kutumia ChatGPT kwenye wavuti au kutumia GPT Builder mpya.
2
13
432
โšก๏ธWataalamu wa magari wanatuambia tufanye service kwa kufuatisha kilometer, ila naona kuna utata. SAHIHI Service si inafanyika kulingana na OIL inavyochomwa. Kwamba kama unatumia Oil ya 5000KM basi kwa umbali huo uwezo wake unakuwa umeisha na engine inahitaji Oil mpya.
8
4
32
5,570