Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Rayon Sports ๐จ๐ฒWilly Andre Onana akiwa Sambamba na Wakala wake ๐ท๐ผ Alex Karenzi wamewasili Tanzania Leo na Shirika la Ndege la Rwanda kwajili ya kukamlisha Uhamisho wa mchezaji huyo ambaye anatajwa kujiunga na Simba sc .
Iโm Here to Confirm โ๐พ