Faith || Family || Football ||

🇹🇿 🇺🇬 🇰🇪 🇿🇦
Joined January 2013
Ligi Kuu. The only league we can truly call our own.
5
14
2
405
75,046
Yesu anaendelea kumsulubu Ronaldo.
⚠️🇵🇹 Portugal manager Jorge Jesus last night: “I didn’t read Cristiano’s statement, I was watching Portugal U21 game”. “I will now have time to read it”.
4
27
2,478
Mabao yote matatu ni zawadi. Kenya wametupa zawadi mbili, na sisi tumewazawadia. Very little football between the two sides....long balls and set piece goals.
Replying to @MichaelMwebe
Timu yetu ipo taratibu sana kipindi cha kwanza tulikuwa tunaweza kufunga goli zaidi ya tatu
1
2
34
2,209
Kipa wa Kenya kaonesha upendo mkubwa sana kwa Tanzania. Hatuna budi kuipokea hio zawadi ya bao la pili.
4
3
70
3,217
Afrika Kusini wana utajiri wa mabeki wa kati kwa sasa. Ukiachana na Mbokazi ( Miaka 21), wanaye Olwethu Makhanya (miaka 22) anayecheza Rangers, Scotland. Wana Ime Okon (miaka 22) anacheza Hannover, Ujerumani. Kuna Tylon Smith (miaka 21) anacheza New England Revolution, Marekani. Kuna Seema wa Orlando Pirates (miaka 23)
🗣️"Pitso Mosimane anapaswa kufikiria kumrudisha beki Rushine De Reuck katika kikosi cha timu ya taifa ya South Africa Bafana Bafana" "Ninaamini kwamba timu ya taifa inapaswa kumfuatilia.Ana uzoefu, ana ubora hivyo natumaini watamfikiria" -Steve Barker,Simba SC head coach
6
3
68
6,199
Despite claims from both Kenya and Tanzania that they could individually host the AFCON, neither country currently possesses two fully compliant stadiums for the tournament. In contrast, Uganda is the only one of the three hosts that has actually completed a new stadium.
Excuse me Uganda? Is this stadium supposed to be ready in two months? #AFCON2027
3
7
1
56
3,559
The road to Benjamin Mkapa Stadium is closed due to upgrades ahead of AFCON 2027. Access is strictly limited to private vehicles heading to Uhuru Stadium (the annex).
Tanzania is a good nation when it comes to mind games and crafty work for their teams in CAF games. This is the bus they accorded our U23 team, and the road to training. There are reports that some of their senior team players are included in tomorrow’s game. Whoever is leading that Kenyan delegation to Tz must be on top of his game. The documentation shouldn’t be counter-checked, na ikiwa poa don’t even visit your changing rooms tomorrow. Mtaingia grao kama mmechoka wote. @pepeta_ke #AFCONU23Q
2
8
111
13,716
Ukiwa kanda ya ziwa unakutana na jezi za simba na yanga Ambazo hujawahi kuziona popote yaan grafiki mpya najiuliza viwanda gani vinafyatua hizi😂😂😂
53
29
5
393
18,945
Timu yetu ya Taifa ya wakubwa haitakiwi kucheza NDONDO. Mechi dhidi ya ASFAR ilikuwa ni ndondo. Haishangazi kusikia ndondo nyingine dhidi ya Morocco U23 imehairishwa.
1
1
61
2,586
Serengeti Boys ni development team, haihitaji mambo mengi wala presha ya sijui mbona hawaandikwi au wanacheza mashindano wakati mashindano mengine yanaendelea. Kila mwaka kuna mashindano na yanakuja na maingizo mapya ya wachezaji lengo ni kuibua, kukuza na kuvipa jukwaa vipaji vionekane.
Lakini kiasi fulani Tunaonekana Tupo Semi Pro bado hatujafikia level ya Professionalism haiwezekani Kombe la dunia linaendelea, Huku sisi Baadhi ya washiriki wa Wanatoka Zone hiyo ( CECAFA ) halafu bado Ratiba ya CECAF AFCON Qualifiers U17 ipo pale pale. Siku itakuja kutokea j5 serengeti boys imeshinda 🆚Costa Rica halafu pia siku ya pili unaona Serengeti Boys imefungwa na kenya Unajiuliza Vipi tena 😂😂🙌
2
1
28
2,070
Nchi zote tatu, Tanzania, Kenya na Uganda zimelipa ada sawa ya uenyeji. Hakuna mkubwa. Kila nchi itapewa makundi mawili. Tanzania ilipata makundi matatu kwenye CHAN kwa sababu Uganda hawakuwa tayari. Sasa wako tayari, huwezi kuwaambia wabaki na kundi moja!
Replying to @MichaelMwebe
Tanzania makundi matatu, Kenya mawili Uganda moja
3
27
2,466
We demand the unconditional release of our beloved ambassador.
Tanzania's rebranding ambassador
3
18
2,209
Worst case scenario kwa Zanzibar au Arusha ni kupeleka final Group stage matches ambazo zinatakiwa zichezwe kwa wakati mmoja. Pia kuna mechi za raundi ya 16 na robo fainali.
All that investment na kumbe kuna hatari ya Arusha kutokupata hata game moja? What was the feasibility study? Let’s be real. Zanzibar lazima wa host. It’s a no brainer.
2
1
44
3,754
Wamkazie nani? Timu 24. Makundi 6, kila nchi imepewa makundi mawili. Tanzania lazima ichague kundi Moja kukaa Arusha au Zanzibar.
Broo unajua zenj wakikaza kidogo game nyingi zinaweza kupigwa kule
3
2
2
33
3,218
CAF wamesema kila nchi itabeba makundi mawili. Kundi moja likiwa Dar, kundi lingine tunapeleka Zanzibar au Arusha? Zanzibar ilipata Kundi Moja kwenye CHAN kwa sababu Uganda walikuwa na uwanja mmoja tu.
Afcon Game nyingi zitapigwa zanzibar kwa huku Tanzania na ndio sehemu itakua poa sana , ule uwanja na mazingira yake sio mchezo
2
1
2
48
4,382
Mwaka 2019 hadi 2022, mpaka kati ya Rwanda na Uganda ulifungwa. Rwanda akaegemea zaidi kupitishia mizigo Dar hadi Oktoba 29 ilipomshtua kuwa lolote linaweza kutokea kwenye siasa za Afrika Mashariki. Anawekeza Tanga na Mombasa. Hataki mambo ya kuweka mayai yake yote kwenye kikapu kimoja. Pia ni nzuri kibiashara maana yake Tanzania na Kenya wote tunashindana kuifanya Rwanda awe mteja wetu mkubwa. Tanzania imempa Rwanda 'Bandari kavu' wakati Kenya nao wanamtongoza kwa kumruhusu ahifadhi na kusafirisha mafuta kwa bomba lake.
Replying to @MichaelMwebe
Hiyo ni move nzuri hata mimi ningefanya...... nilidhani ndo wameondoka mazima kwetu
1
1
22
2,790
Rwanda kama ilivyo Uganda hawataki kutegemea bandari ya nchi moja tu. Wanacheza karata zao Kenya na Tanzania kujihakikishia upatikanaji wa mafuta endapo kutatokea vurugu kwenye Taifa mojawapo.
Rwanda 🇷🇼 walikuwa wanashusha mafuta yao Dar es Salaam?
3
4
55
3,802
Kwenye AFCON hatukushinda mechi yoyote kwa sababu timu iliundwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa counter attacks tu. Gamondi alilazimika kutumia 3-5-2. Kocha aliluwa pragmatic tena nakumbuka watu waliponda alivyofanya hio tactical switch lakini tulipofuzu raia wakabadilika. Chukua viungo mafundi wetu wote wajaze lakini mbele ya mataifa mengi ya Afrika bado Taifa Stars ni underdog, maana yake timu itatumia muda mwingi kuutafuta mpira. Nani utamweka kama DM mmoja ( Single pivot) kwenye mechi za Taifa Stars ahimili mzigo? Unapoongelea Taifa Stars lazima utambue hapa ni sawa na kuitazama Pamba Jiji kwenye Ligi, mahitaji yake ni kujilinda zaidi.
Afcon hatukuwa na Himid na tulikuwa fine. Mabula ni mzuri zaidi kwenye defensive style kwa mfano si offensive, Pia wote Mabula na Muda hawagombei namba na Himid
3
6
1
32
2,573
Mechi ya Guinea Bissau kocha kaachana na 3-5-2, akawa anahitaji kiungo mmoja wa kukaba. Hapa unahitaji mtu yupo comfortable kuutafuta mpira ndio maana akaenda na Himid. Tukashindwa wenyewe kuweka mpira kambani kipindi cha kwanza. Wao wakapata mabao mawili waka switch low block. Game over. Mabula ni more offensive, mechi ya Guinea ameingia jamaa washafunga geti ( lowblock) akawa anapiga pasi bila bughudha. Mechi yake ya mwisho ya JSK, kocha kamuambia apande mbele, Arthur Bada abaki chini kulinda timu. JSK walipata shot moja tu ambayo alipiga Mabula.
1
1
203
MichaelMwebe retweeted
The ability to say “we can’t afford it” sounds like good financial management to me. Others would just incur further debt. Mad respect to Botswana . That country has very mature energy
It’s so unlike Botswana to be this broke.
3
7
1
41
3,488
Mudathir na Mabula wote wanatembea zaidi. Kama unatawala mechi ni wazuri, watakusaidia kushambulia zaidi. Ila kama timu yako ni underdog ambao wanashambuliwa zaidi au unataka kutumia DM moja pekee bado Himid atacheza tu. Taifa Stars sio Simba, Yanga au Azam. Taifa Stars ni underdog kwenye mechi nyingi. Mechi dhidi ya Guinea Bissau, Gamondi aliingia kwa lengo la kushambulia zaidi ndio maana akaweka DM mmoja, Himid na tukashambulia vizuri, tatizo likawa kushindwa kutumia nafasi. Mechi ya Madagascar akaamua kutafuta mzani wa kushambulia na kujilinda akaanza na DM wawili, Himid na Mabula. Kwa sababu Himid analinda zaidi, Mabula anakuwa na nafasi ya kwenda mbele. Kwenye AFCON 2025, ilibidi Gamondi atumie viungo watano kwa sababu hatukuwa na DM mwenye uwezo wa kutupa defensive cover kihivyo. Nova na Mabula wote ni passers zaidi sio watu wa kupoka mipira au kunusa hatari.
Sawa lakin Muda sasa yupo fit, sidhani kama Himid atakupa uhakika katika mechi kuliko Muda, Jana kuna mda ilibidi Mabula arudi chini Mao asogee Juu, ambapo uwezekano wa muda kutimiza majukumu hayo ni makubwa kuliko Himid.
2
1
29
2,590