Msaky™ (@Msaky_JR) header
Msaky™ (@Msaky_JR) profile picture

Nothing But Prayers //Ain't woman alive that can take my Mama's place Chemical Engineer🚨 Manchester United //Young African fan

Kilimanjaro, Tanzania
Joined September 2024
Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)Photo by Msaky™ (@Msaky_JR)
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
5
54
1
53
382
Msaky™ retweeted
Asante Mungu kwa kuniamsha salama naomba unitangulie kwenye kila kitu nitakacho kwenda kukifanya leo kikapate baraka zako, Amina 🙏 Kumekucha watu wa Mungu 🌄 Good morning X family 👋
27
35
39
416
Msaky™ retweeted
Bro To Bro 👊👊
18
36
1
61
869
Msaky™ retweeted
Mungu, sina hata maneno sahihi ya kueleza ninachopitia. Ninachohitaji tu ni Wewe kuingilia maisha yangu na kurekebisha yale yote ambayo mimi mwenyewe siwezi kuyarekebisha. Good morning X familia.
20
30
35
421
"Usihesabu ngapi ulipoteza au ulifeli mara ngapi. Hesabu uwezo uliobaki nao wa kuanza upya kwa nguvu. Mshindani wa kweli hafi kwa kuanguka chini, anakufa kwa kukataa kusimama tena." Good Morning Everyone 🌄🌄🌞
19
24
35
490
Msaky™ retweeted
Tunaishi kwenye dunia ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa hii inafikirisha sana Good morning X Family
26
32
38
318
Msaky™ retweeted
Zaburi 119 9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. GOOD MORNING
19
27
32
264
Kila siku ni zawadi kutoka kwa Mungu. Usianze siku yako kwa kuhesabu changamoto ulizonazo, bali kwa kushukuru kwa nafasi nyingine ya kuishi, kupambana na kutimiza ndoto zako. Good morning X family 🌄
11
15
21
269
Kwani Man UTD shida ni wachezaji, kocha, wadhamini au uongozi? 🙌🏿
3
151
📌🔨
20
45
1
145
2,754
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
14
111
1
114
1,575
Call/WhatsApp 0789333388
Naomba repost yako tuu 🙏 Tronic cable njia nne 25,000 Tronic cable njia sita 35,000 Tv guard 15,000 Fridge guard 15,000 📍 Arusha, Tengeru Call/WhatsApp 0789333388
1
4
9
181
Msaky™ retweeted
Kitambo sana hatujashusha handle kukuza akaunti zetu, Wagonga Ulimbo tuinuane. Shusha handle hakikisha unafollowback tukuze akaunti zetu ase🙌🏾
57
43
160
2,767
Msaky™ retweeted
Ijumaa yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu Good morning fam 🙏
16
23
47
699
Msaky™ retweeted
It's Friday 😇 Up and greatfull🙏 Good morning X family 👋
21
33
41
639
Good morning Katika maisha usiwe mwema kwa watu kwa sababu tu unatarajia siku moja watakurudishia wema huo Saidia pale unapoweza heshimu wengine na toa moyo wako kwa nia njema
27
45
1
66
1,162
Good morning Katika safari ya maisha kuna watu ambao walikushika mkono wakati hukuwa na kitu. Kuna waliokutia moyo ulipokata tamaa waliokusikiliza ulipokuwa na huzuni na waliokusaidia bila kutarajia malipo
29
38
59
993
Mungu Asante Kwa Zawadi Ya Siku Hii Mpya Na Pumzi Uliyonipa Asubuhi Ya Leo.Ninakabidhi Akili Yangu,Mwili Wangu,Kazi Na Safari Zangu Mikononi Mwako.Niongoze Katika Kila Hatua Nitakayopiga,Nifundishe Kusema Maneno Ya Busara,Na Uniepushe Na Hila Zote Za Adui. Good🌄Morning
8
16
26
381
Msaky™ retweeted
Anatafutwa Account wa kampuni ya Logistics. Mshahara wa kuanzia ni 600,000 na negotiation ipo. If interested nicheki DM nikuunganishe na mwenyewe.
3
18
1
28
2,583
Msaky™ retweeted
It's Wednesday, Up and greatfull, good morning X family 👋.
19
28
42
667